Search results

  1. M

    Kwanini Lowasa hasomagi taarifa za kamati yake bungeni?

    Miaka yote nimekuwa natamani sana kumuona Mh. Lowasa akisimama bungeni kusoma taarifa ya kamati yake ya ulinzi na usalama na mambo ya nje kwani viongozi wengi haswa wenyeviti hutumia nafasi hii kutoa mapendekezo ambayo huwa ni mwiba kwa serikali na kuonyesha utendaji wa serikali katika idara...
  2. M

    Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    Nimekuwa nafuatilia kwa kiasi siasa za nchi yetu kwa muda haswa kuelekea uchaguzi mkuu mwakani na kutaka kujua nani anafaa kumrithi JK. Ukitazama watu wengi waliojitokeza kwenye CCM wawe wazee au vijana bado sifa zao za uadilifu ndani ya chama na nje ya chama ni za kutiliwa mashaka sana...
  3. M

    Wagosi washerehekea kuondoka kwa mzee makamba ccm....

    Baadhi ya wagosi (watu watokao na wanaoishi mkoa wa tanga) wamefurahishwa sana na kitendo cha mzee makamba kutoka ndani ya ccm. Wengi wamefurahia suala hilo haswa kwa sababu ya ubabe,dharau,kebehi na matusi waliyokuwa wakipata kutoka kwa mzee makamba wakati wote wa uongozi wake. Mzee makamba...
  4. M

    CHADEMA: Slaa deserves more!

    Kuna tetesi kwamba mafanikio waliyopata chadema mwaka huu kwenye uchaguzi ni juhudi binafsi na mvuto aliokuwa nao aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia chama chao...inasemekana amekiweka chama katika nafasi nzuri, ameongeza idadi ya wabunge na kukipa heshima kubwa chama kupitia mvuto na uwezo wake...
  5. M

    Kinana anahusika na kampuni ya Six Telecoms inayoendeshwa na Rashid Shamte

    Hili liko wazi baadhi ya wahusika wakuu wa makampuni ya Six telecoms,Push Mobile na Wia wote wako jengo moja ambao ni Mzee Kinana na Peter Noni. Fuatilieni brela na TCRA and connect the dots..
  6. M

    Usajili mpya wa timu ya upinzani bunge lijalo....

    1. John shibuda 2. Arcado ntagazwa 3. Tundu lisu 4. James mbatia 5. John mnyika 6. Freeman mbowe 7. Augustine mrema 8. Kafulila 9........... Kuna wengine??? Hii timu itakuwa inatisha sana, italeta chachu sana na changamoto za kutosha...itakuwa raha sana kuangalia kipindi cha bunge lijalo live...
  7. M

    Makaratasi ya kupigia kura yaanza kusambazwa mikoani.....

    dalili zinaonyesha mambo sasa yameiva na muda umefika...toka jana makaratasi ya kupigia kura yameanza kusambazwa kwenda kwenye mikoa mbalimbali yakitokea bohari kuu ya serikali, hali ya ulinzi ni nzuri lakini lipo kosa moja linalofanyika, magari binafsi bila ulinzi yanakodishwa na wale waliopewa...
  8. M

    Elections 2010 January makamba ashinda kwa kishindo bumbuli.......

    January Makamba, mtoto wa katibu mkuu CCM na msaidizi wa raisi uandishi wa hotuba, ametangazwa kuwa mshindi katika kura za maoni jimbo la bumbuli baada ya kuwashinda wagombea wenzie kwa zaidi ya asilimia 80 (80%). Taarifa tulizozipata mpaka sasa baadhi ya wagombea wameyapinga matokeo hayo kwa...
  9. M

    Elections 2010 Makamba atinga jimboni Bumbuli leo na ufanya vikao vya siri.....

    Hali imekuwa ngumu upande wa Mzee Makamba baada ya wananchi wa Bumbuli kumkataa mwanae Januari Makamba na kumuunga mkono mtu mwingine katika nafasi ya ubunge. Mzee Makamba amepagawishwa na taarifa alizopatiwa na watu wake wakaribu jimboni kwamba hali ni ngumu na wananchi wengi wamekuwa...
  10. M

    Elections 2010 Anna Kilango kutorudi bungeni...?

    kweli nguvu ya mafisadi imeonekana jimbo Same mashariki, na ukiona Mama Ana kilango analalamika kiasi kile bungeni basi AMINI ni masikitiko kutoka moyoni kwake....hali yake jimboni ni mbaya sana na hata watu wake wa karibu wamemshauri hali ni ngumu sana, fitina zilizopandwa ndani ya jimbo na...
  11. M

    Elections 2010 Mzee makamba huenda akaamua kujitosa mwenyewe bumbuli...

    baada ya malalamiko mengi dhidi ya mwanae Januari na kutokubalika katika jimbo la bumbuli, Mzee Makamba amedokeza huenda akaamua kuingia mwenyewe kwenye ulingo...mzee Makamba alinukuliwa akiyasema hayo pale alipoulizwa na wazee wenzake kijijini kwake.. Kumekwa na malalamiko mengi dhidi ya...
  12. M

    Elections 2010 Mzee Shelukindo asusiwa vikao vya kutembelea jimboni....

    Ni wiki ya pili sasa Mh.Shelukindo yuko jimboni Bumbuli akizungukia jimboni na kuongea na wananchi kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi n kukagua maendeleo katika maeneo. Mh. amekuwa akikumbana na vikwazo vikubwa ikiwa ni pamoja na viongozi wa chama kutompa ushirikiano wa...
  13. M

    Kwanini obama mpaka leo hajaja tz pamoja na safari nyingi za jk us....?

    Nimekuwa najiuliza sana,hivi safari zote za JK ndani ya US zinakuwa kutoka mualiko wa nani? Je Raiis wa marekani anakuwaga na taarifa za ujio wa raisi wetu, maana kuna wakati raisi anakaa zaidi ya wiki US na hatuoni matukio ya kukutana na raisi au kiongozi mkuu yeyote kule mara nyingi. sasa...
  14. M

    Elections 2010 Nani kuwa waziri mkuu 2011 tanzania.......spika je?

    naomba tujaribu kutabiri nani anaweza kuwa waziri mkuu mwakani katika serikali ijayo ya JMT. inasemekana Mh.Pinda hakuwa chaguo la mzee la kwanza, Je kuna wengine??? wapo pia waliotangaza nia ya kugombea ubunge kwenye majimbo kwa kudai wametumwa ili waupate uwaziri mkuu mwakani kwa kuwa wamekuwa...
  15. M

    Elections 2010 Ubabe wa Makamba... ashinikiza mwanae awe mbunge....

    Hivi unajua kwamba mzee makamba aliwahi kufukuzwa shule baada ya kumpa mimba mwanafunzi wake yeye akiwa mwalimu???? Jee unajuaaliyemshauri nyerere makamba apewe nafasi kwenye chama ni marehemu mzee kawawa baada ya kumuona akiwa anacheza sana ngoma kwenye sherehe..... Jee unajua kwamba mzee...
  16. M

    Vita vya kugombania jimbo la Bumbuli yaiva....

    Katika majimbo ambayo tayari moto umeanza kuwaka kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 nafasi ya ubunge ni jimbo la bumbuli.... Wiki magazeti mengi yamekuwa yakiongelea kuhusu mzee shelukindo...jana gazeti la rai liliandika wa bumbuli wamemuambia mhe.shelukindo basi...leo kuna gazeti la mkakati..lina...
  17. M

    Mzee makamba, shekifu kusimikwa ukamanda leo mkoa wa Tanga..

    Leo CCM itawasimika makamanda wake wa mkoa wa tanga katika mkutano utakaofanyika Mombo, Tanga. Wanaotarajiwa kusimikwa ni: Mzee makamba (katibu mkuu wa ccm): Kamanda wa mkoa wa Tanga, Mh. Shekifu (mkuu wa mkoa wa Manyara): Kamanda wa wilaya ya Lushoto. Wengine watakaosimikwa ni pamoja na...
  18. M

    Kwanini jk anafaa kuiongoza tz kwa awamu ya pili?

    mengi yamesemwa kuhusu JK kutofaa kwa awamu nyingine, lakni ni kweli hakuna yale mazuri yanayoturuhusu tumpe awamu ya pili?? katika hili naomba tuchambue zile sababu haswa zinazoshawishi JK apate awamu ya pili.... 1. mengi ya yale yanayoonekana hajayachukulia hatua ni mambo yaliyotokea wakati...
  19. M

    Sheria mpya ya mawasiliano ya ki-electronic na posta yaja...

    WADAU KUNA MJADALA UNAENDELEA KUHUSU SHERIA MPYA ZA MAWASILIANO YA SIMU NA POSTA...KAMA KUNA MDAU MWENYE DETAILS ZA MUSWAADA ATUPATIE....NIMEPATA VIPENGELE VIWILI AMBAVYO VIMEKUWA MOTO KATIKA MSWAADA HUO.... 26-(3) Every licensee shall within three years from the commencement of this Act and...
  20. M

    Mabadiliko hata ndani ya ccm yanawezekana...

    Ni katika utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua wengi sana tunahitaji mabadiliko ya hali ya kisiasa,kiuchumi,kijamii na hata ya uongozi katika nchi yetu ye Tanzania. walio madarakani, na wale walioko nje ya madaraka wanakubali kweli ipo haja ya mabadiliko lakini wengi wetu ni waoga wa...
Back
Top Bottom