Search results

  1. E

    High income generating, low investment capital

    Wakuu kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu nimejifanyia analysis kujua kwa nini nina income kidogo ukilinganisha na mahitaji ya kila mwaka. Katika kujifanyia fair anaysis nikapata vikwazo saba, one of them is that I'm not engaged in high income generating activities leave alone lacking regular...
  2. E

    Mtaji milioni 25 - 30

    Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata mkopo bank wachina wakaanza kuzingua, sasa natafuta plan B ya kufanyia hizo hela 25 - 30m ili inipe...
  3. E

    Napendekeza,mdahalo ya wagombea iwe ni sehemu ya Katiba

    Ndugu wanabodi nimetafakari jinsi tulivyouziwa mbuzi kwenye gunia tukampata kiongozi wa sasa ambaye mambo mengi anayofanya si tu yanakiuka manifesto ya chama chake lakini pia wananchi hatukupata nafasi ya kuelezewa kwa kina yale amabayo angefanya. Kama tungefanya mdahalo tungeweza kumpima huyu...
  4. E

    Majeshi yetu yanahitaji kujengewa uwezo juu ya Demokrasia

    Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa majeshi yetu toka turudi kwenye mfumo wa vyama vingi, cha kushangaza pamoja na kwamba tuna takribani miaka 28 toka mfumo wa vyama vingi uwepo majeshi yetu yamekuwa stagnant, yaani hawaendi na muda na matakwa ya wakati. Jeshi letu JWTZ linaitwa Jeshi la Wananchi...
  5. E

    Believe it or not we have an irrational president! time to be vigilant!

    I have been closely following the conduct of this guy ever since he came to power i have come to conclude that we have an irrational president! why do i say that? to start with his conduct has been quite unusual and sometimes beyond human comprehension. This has entailed me to go online and get...
  6. E

    Hivi tume ya uchaguzi wanajisikiaje kusimamia vitu feki na kula mishahara bure?

    Wanabodi ni ukweli usio na kificho kwamba kwa hali ilivyo na maelekezo waliyopewa wasimamizi wa chaguzi mbalimbali zilizokwishafanyika na ambazo zitafanyika hatuwezi kuwa na uchaguzi wa kuaminika (credible election). Rais ambaye ndo anateua wakuu wote wa tume ya uchaguzi alishaweka bayana kwamba...
  7. E

    Ndugai aelimishwe, hakuna kitu kinaitwa "ofisi ya ukaguzi ya taifa"!!

    Katika kuhalalisha kutofanya kazi na professa Musa Assad, siku hizi spika wa bunge bwana Job Ndugai ameanza kutafuta maneno ya kutumia, siku hizi nasikia anatumia maneno "ofisi ya ukaguzi ya taifa". Naombeni watu mlio karibu na huyu mtu mmwambie kwamba katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  8. E

    Kuna unyang'anyi wa kidola unaendelea Tanzania

    Wanajanvi, kabla ya kuleta thread hii nimejiridhisha kutoka chanzo zaidi ya kimoja, leo asubuhi kuna mtu amenipa habari za kushtusha, sikutaka kuamini lakini nikaenda chanzo kingine na chenyewe kikajiridhisha toka chanzo kingine na wakasema ni kweli. Ni hivi sasa hivi matajiri wananyanganywa...
  9. E

    Kufungwa maduka ya kubadilisha fedha madhara yaanza kuonekana

    Leo nikiwa viunga vya mji wa Arusha kuna wageni wawili kutoka nje ya nchi walikuja na pesa zao za kigeni wakitaka kupata huduma, wakaambiwa kwamba maduka yote yamefungwa kwa amri ya serikali. Walishangaa sana wakatuuliza nyie watanzania mbona mnafail kila kitu? Mmoja akasema mfukoni mwake ana...
  10. E

    Je, Jeshi la Polisi linaweza kukataa amri haramu ya wakuu wake?

    Juzi niliona video footage moja kwenye mtandao wa voice of America mkuu wa jeshi la polisi nchini Simon Sirroanalalamika kwamba jeshi la polisi linaingiliwa na watu mpaka wanalielekeza namna ya kufanya kazi na akaongeza akasema wasilazimishe kujenga uadui na majeshi yetu. akatoa rai kwamba...
  11. E

    Ni sheria ipi inaipa exemption TBC?

    Wanabodi ni hivi karibuni TCRA ilitangaza kusudio la kufuta leseni kwa baadhi ya makampuni ya Ving'amuzi kama yataendelea kuonyesha TV ambazo ni free on air, Kwa kuitikia mwito huo makampuni kama DSTV, Azam na wengineo walilazimika kuondoa TV channels za ndani. sisi tulio na decoder za DSTV tu...
  12. E

    Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi atungiwe sheria maalum

    Nimekuwa nikitafakari juu ya utendaji wa tume ya taifa ya uchaguzi toka tuingie mfumo wa vyama vingi kwa kweli hauridhishi na unatia shaka impartiality yake. Kwa utaratibu tulio nao sasa rais ndo anateua mwenyekiti na anaweza kumfukuza kazi muda wowote. Jambo hili siyo tu linamfanya mkuu wa tume...
  13. E

    Mkandarasi ameagizwa asisambaze umeme majimbo ya upinzani! Ubaguzi huu Tanzania ni kwa manufaa ya nani na ili iweje?

    Wanabodi. Leo mchana nimepata bahati ya kuongea na mkandarasi mmoja sitaki kumtaja anashughulika na miradi ya usambazaji umeme vijijini, katika maongezi yetu alinishangaza pale aliponiambia kwamba katika kazi alizopewa moja ya mashartu aliyopewa kimya kimya ni kwamba yale majimbo au vijiji...
  14. E

    Star TV mnajitahidi lakini toeni fursa sawa kwa wachangiaji

    Nimekuwa nikiifuatilia star TV vipindi vya mijadala ya asubuhi, kwa ujumla mijadala wanayoweka ni mizuri lakini tatizo liko kwenye utoaji nafasi kwa wazungumzaji, akiwepo mzungumzaji ambaye mlengo wake ni kutetea serikali au ccm anapewa nafasi kubwa na wakati mwingine huyo mtu anaongea maneno ya...
  15. E

    Tunahitaji jeshi huru la polisi

    Wadau siku zote nimekuwa nikiwasikia wanasiasa na watu wengi wakidai tume huru ya uchaguzi, wako sahihi lakini uchaguzi huu wa uliopita wa kata 43 nimejifunza kitu kipya tunahitaji kuwa na jeshi huru la polisi. Kama inavyojulikana kwa nature ya jeshi huwa linapokea amri na kazi yake huwa ni...
  16. E

    Kwa yanayoendelea, Jeshi la Polisi lisajiliwe kama Chama cha Siasa

    Haina maana yoyote watanzania kuendelea kuwa wanafiki, kwa mujibu wa katiba jeshi ni chombo cha kulinda raia na mali zao, na linapotokea jambo kama uchaguzi polisi inatakiwa iwe kama refree wa ngumi, kuachanisha inapobidi lakini wakiachiana unaacha watwangane ngumi kwa mujibu wa sheria. Kinyume...
  17. E

    Vyombo vya habari havitimizi majukumu yao

    Wadau, toka rais Magufuli aiengie madarakani kumekuwa na mabadiliko makubwa, mengine chanya mengine hasi, ukifuatilia vyombo vya habari vya nje kama CNN, BBC, CBS news na vinginevyo kiongozi wa nchi anapoingia madarakani mara nyingi vinaomba vimfanyie interview ili pamoja na mabo mengine wajue...
  18. E

    Sikubaliani na utumiaji nguvu

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na vitendo vya utumiaji nguvu watu wakishindwa hoja, na kwa bahati mbaya midomo ya wanasiasa imekuwa haina breki matokeo yake wananchi wameanza kujichukulia sheria mikononi. Mara ya kwanza nilimsikia mheshimiwa Kitwanga akiwa bungeni akitishia kuhamasisha...
  19. E

    Kujifungia ndani kwa Rais Magufuli kutaligharimu taifa

    Ni juzi tu rais Magufuli alitoa amri ya kutoondolewa kwa wamachinga sehemu ambazo walikuwa wanafanya biashara zao maeneo ya katikati ya mji ususan mji wa Mwanza. Kwa kuitikia amri yake jana mji wa Bukoba na Mwanza watu wameanza kujenga vibanda vyao pembezoni mwa barabara na kupanga vitu mbele ya...
  20. E

    Napongeza Maoni Gazeti la Mtanzania kuhusu Habari ya Tukivitaka vyama vingi tuheshimu utamaduni wake

    Katika gazeti la Mtanzania toleo la jana jumatano October 26 2016, Sehemu ya maoni ya mhariri ilikuwa na kichwa kikisomeka "TUKIVITAKA VYAMA VINGI TUHESHIMU UTAMADUNI WAKE". nimeguswa na maoni ya mhariri kwa sababu nyingi sana, mhariri mambo mengi aliyotaja anglau kwa ufupi ni kuwanyima vyama...
Back
Top Bottom