Search results

  1. djesco

    Kumfuma mke akichat na mwanaume mwingine

    Mkuukiukweli kila mwanamke utakaemuoa alikuwa na mtu wake, mimi wakati nakutana na mama mtoto 2010 aliniambia kila kitu nikakubaliana nae ila hakuniambia kama kuna jamaa wa kijijini kwao ambae alikuwa nae na bado wako nae, miaka ikasonga hadi mwaka jana ndo mambo yalianza kubadilika nikajifanya...
  2. djesco

    Mada Huru: Ni Mtangazaji yupi anayekuboa zaidi?

    Duh!? Haya ndugu
  3. djesco

    Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

    Nimepita asubuhi naona ipo mkuu
  4. djesco

    DART wameomba SUMATRA nauli ziwe kati ya 1,200 - 1,400

    acha kubwia viroba wewe maana utaanza kuvua nguo muda si mrefu mbele ya kadamnasi ila usiombe Nyoso awepo maana ataku-nyoso
  5. djesco

    Mwanamke anayetukana ananikosha sana

    hii kali ya kufungulia mwaka
  6. djesco

    Kiboko Albino agunduliwa Masai Mara

    ha ha aaaaaa mie mwenyewe nimeshangaa ila inaonekana kama ameathirika na kemikali fulani hivi
  7. djesco

    Wakili wa Mama Lwakatare adai mteja wake alitimiza maelekezo ya NEMC

    Yote yanawezekana inawezekana mama mchungaji alitoa kidogodogo kwa maofisa wa NEMC sasa wamemgeuka ila sheria ni msumeno,inakula mebele na nyuma ngoja tusubiri tuone
  8. djesco

    Sheria ya Muziki Inaanza Kula Vibaya

    tatizo shule kiongozi wao walijua wamepata ila ngoja baada ya muda fulani wataanza kulalama nyimbo hazipigwi,afu ni uonevu kodi ulipe serikalini,ulipe kodi ya pango, ulipe watangazaji,mafundi mitambo,n.k afu na nyimbo nazo ukipiga ulipie!? huu ni uonevu na wakikomaa vituo vingi vitashindwa...
  9. djesco

    Sheria ya Muziki Inaanza Kula Vibaya

    mkuu uiadhibu radio kwa kosa gani!? yaani ukilazimishe kituo kipige nyimbo anazozitaka waziri!? kama kila siku wapige nyimbo za tz na sie wapenzi wa mayenu itakuwaje!? raha ya mziki uchanganye na haka ka-amri ka kumlipa msanii kila unapopiga wimbo wake redioni wala haitachukua muda tutaona...
  10. djesco

    Sikukuu ya Mwaka mpya 2016 imekosa msisimko kabisa

    Hela hakuna msisimko utatoka wapi!?
  11. djesco

    Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    kamdhalilisha kweli mshikaji maana duh!? kama name yeye in mwana jf hata hatatamani tena kumuona huyu dada
  12. djesco

    Tecno sasa inapokea Updates

    Huu uandishi huu haya tu
  13. djesco

    Budget phone kutoka Asus yenye 1GB RAM,8GB HDD for80US $.

    Asa itazimwaje mkuu!? Inaonekana huajelewa vyema.Iko hivi kama simu yako juu jima lake ni Samsung ila ukiingiza zile imei number kwenye ile application ya tcra ikakwambia ni lg ama HTC hapo lazima izimwe so hii itawakumba sana wenye simu ambazo ni cloned
  14. djesco

    Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa, aondolewa ulinzi

    Ndo maana umekaa kiu-udaku udaku
  15. djesco

    Kipindi cha Jicho pevu Azam TWO ya Azam TV

    Mh!? Kung'olewa meno bila ganzi nako kutahusika maana wabongo tuko njema kwenye ung'oaji wa meno.
  16. djesco

    Wasukuma waanza rasmi kufanya shopping ndani ya Rock city mall

    Jamani katania tu loh!!!!!
  17. djesco

    Asante Kikwete kutupatia Maghufuli, bila yeye sijui ingekuwaje?

    kiukweli Mkwere alishaona mambo hayaendi na kama hali ingeendelea kama ilivokuwa miaka mitano ijayo haki ya nani yale ya Burundi yangetuhusu maana watu walishachoka maana kila siku unasikia hela zimeibiwa afu watu wanabembelezwa kujiudhuru,asa mkwere akaona bora ampe kijiti Ngosha ili walau...
  18. djesco

    Civil War Burundi na madai ya nchi za Africa kujitoa ICC

    inaumiza sana sijui waafrika tumekosa nini kwa Mungu maana kila baya Afrika vita,njaa,maradhi,udikteta vyooote afrika yaani duh!? Bora walioishi kipindi cha ukoloni
Back
Top Bottom