MEMBERS OF TECHNICAL COMMITTEE RESIGN FROM TANZANIAN ROYALTY CORPORATION OVER POOR MANAGEMENT PERFORMANCE ON THE EXPLORATION AND MINING PROJECTS IN TANZANIA
Tuache kuongea uongo hasa viongozi wetu, ni waongo kupita kiasi. Wanasema tanzania inaongoza kwa amani africa mashariki na kati!! Kweli hii! Wakati mwaanchi ukitofautiana kidogo na watawala unapata kichapo. Tena imepitishwa na pm wa tz. Ila wajue wanachochea moto wenyewe
Amani kidogo tuliyonayo ni kwa sababu watatnzania ni wastaarabu tu, Lakini Police ndio wavuruga amani nambari one hapa nchini wakitumiwa na Chama Cha Majambazi
Sasa tutanufaika nini kwa team ambayo kila mara inakosakosa kushuka daraja? Vitu vingine jamani vinatia kichefuchefu ata kuvisikia. Huyu jamaa amalize tu muda wake maana ni kero kubwa sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.