Search results

  1. M

    Nachelewa kupata bao la pili

    Hilo ni tatizo ila linatibika nenda hospitali hilo ni tatizo la homoni pia inaonekana mwenzio hakuandai ipasavyo
  2. M

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    na makonda nae baada ya kumharibia mdahalo mzee warioba leo wamempa wilaya uwiii
  3. M

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    majanga tu hadi kina mboni wamesaliti taaluma yao
  4. M

    Mgomo: Dodoma, Ruvuma, Songea, Morogoro, Mwanza, Mbeya wawapokea wafanyabiashara wa Dar

    wengine hawajui wanachangia tu bila kujua madhara ya wanavyochangia
  5. M

    Vurugu bungeni zasababisha Bunge kuahirishwa asubuhi hii

    ni shida hatutaki viongozi wanaoongoza kwa nguvu bila hekima na busara
  6. M

    Shule yenye wanafunzi zaidi ya 300 wanafundishwa na mwalimu mmoja asiye na taaluma ya ualimu

    nimempenda huyo mwalimu anafanya kazi kubwa sana
  7. M

    Vituo vya daladala vyenye majina ya ajabu

    mnyamani kipo mtwara
  8. M

    Families torn apart by Ebola

    ni shida kwa kweli na hivi watz tulivyo wazembe?
  9. M

    Ombi kwa ITV, tunaomba mdahalo urudiwe

    Wameongea vzr bila ushabiki wa vyama nami naunga mkono urudiwe na wapewe muda mrefu zaidi ya leo wa kuzungumza ikiwezekana wagawanye makundi mawili ya watoa mada wakuu na kila kundi wafanye mdahalo siku yao
  10. M

    Kuapishwa wabunge leo mtikila itakuwaje?

    Kitaeleweka
  11. M

    Hivi rushwa ya Mil 90 inaweza kuwapa ushindi Kalenga?

    Tutashinda kwa nguvu ya mungu
  12. M

    Kamati ya Bunge Maalum la Katiba hatimae imependekeza kwa Rais posho ya tshs 500,000!

    wapuuzi warudi tu hata katiba mpya hatuitaki tena
  13. M

    Polisi wazuia msafara wa mgombea ubunge wa CHADEMA

    Tutashinda kwa sanduku la kura pamoja na vikwazo vyao safari iliendelea
  14. M

    Tanzia: JF tumempoteza Member mwenzetu K007

    Pole sana yeye katangulia nasi tutafuatia kikubwa tumuombee apumzike kwa amani
Back
Top Bottom