Search results

  1. I

    Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa kurudiwa saa 5 usiku leo

    Asante mdau I missed this on Saturday, Macho yangu yatakuwa kwenye TV leo.
  2. I

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Mdau siwe na wasiwasi, acha hao CCm wapige kelele watanzania wa sasa hivi sio wajinga wana akili timamu. Hao wanaosema Slaa ni mdini hebu muangalie hiyo orodha hapo halafu think before you say anything! Big up mdau kwa data.
  3. I

    Elections 2010 Nguvu ya Dr.Slaa Mwanza kumpeleka Kikwete tena Mwanza?

    Hapo umenena, muhimu hapa ni kupiga kura. Nec imesema watabandika majina siku nane kabla ya siku ya Uchaguzi ili tuaangalie majina yetu kama yamo. Mdau hapa amesema kuwa kuna website ambayo ina majina ya wapiga Kura, Is tru? If it is basi atupe hiyo link. Nafikiri umefika wakati Watanzania...
  4. I

    Kazi ya BOT ni nini? Shilingi yazidi kuporomoka, sasa $1=Tsh. 1,500

    """This is the time to make good use of our natural resources; we must closely scrutinize the export our minerals to make sure the exports returns home in the form of foreign currency. We must massively advertize, and modernize our infrastructure to improve our tourism sector, expand and make...
  5. I

    Tumpe Rais Kikwete heshima yake

    Hiii ndio nilikuwa nasema muda tunaoutumia kuandika humu tuutumie hiyo hivyo katika kupiga kura, Na hiyo ndo itakayoweza kuwatoa hawa ambao wameifanya nchi hii kuwa yao. Hakuna short cut! Piga kura muondoe yule usiyemtaka.
  6. I

    Elections 2010 Wana-CCM safi kwa nini msijiengue na kuunda Chama Kingine?

    Kuna viongozi ambao kwa kweli kwa kuwaangalia angalau unaona wanaweza kuibadilisha nchi kama tu watakuwa na ujasiri wa kujitoa kwenye CCM, Kama alivyosema Rais Nyerere, Upinzani Halisi utatoka humo humo kwenye Chama Tawala. Mtu kama Magufuli (to me he is my favourite among all Tanzanian...
  7. I

    Kikwete siyo safi! - yes I said it!

    I agree with you, What we do is always talk, talk, and talk, the question is , "What do we do to change the situation?"
  8. I

    Elections 2010 Uchaguzi huo unakuja Watanzania akili kichwani, It is about time tuwaondoe hawa Watu

    Ni muda mrefu tumekuwa tukichangia humu kwa point nzuri sana, kwa uchungu mkubwa sana dhidi ya mambo yanavyoendeshwa katika nchi hii. Ni wakati umefika kuonyesha commitment yetu katika nchi yetu hii nzuri iliyoharibiwa na viongozi wapenda rushwa na wasiojali maisha ya wananchi wao. Mimi, wewe...
  9. I

    Baada ya hotuba ya Mh. Rais; Naanza Kula Rushwa

    Kama Mheshimiwa Raid anasoma hii forum au angalau kama kuna watu wake wanaingia humu tunaomba ajibu hivyo vipengele 6, mambo yaliyotajwa hapo juu yakidhibitiwa hao wafanyakazi wanaweza kabisa kupata kiwango cha mshahari wanachoomba, bila ubishi kabisa.
  10. I

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Hotuba kali ya JK dhidi ya TUCTA

    [SIZE=3]Ulitishia kuwa kama mfanyakazi amechoshwa na maslahi duni aondoke serikalini!!! Pity! Yaani unafikiri hiyo flooded labour market inaweza fidia experienced workers in various institutions!!!! May be in the long run! Find a polite language to address serious issues, my dear...
  11. I

    Africaoline wana matatizo gani?

    Jamani sisi tunaotumia mtandao wa Africaonline kwa ajili ya matumizi ya internet tumeonja joto ya jiwe toka jumamosi mpaka leo hii ninapoandika hii bado hatuna internet. Network hakuna toka jumamosi mpaka leo hii jumatatu. Tumejaribu kuwapigia simu mara kwa mara lakini tumekuwa tukijibiwa kuwa...
  12. I

    The Tale of two pictures: Whats wrong?

    Yeah kweli ni tofauti, there is noway you can compare those two.
  13. I

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Why Not? Inawezekana kabisa ikawa ni kwa sababu mume wake hamfikishi kileleni.
  14. I

    Pinda Jiuzulu kazi imekushinda!

    Shame Shame Shame!!!!
  15. I

    Plot to assassinate Speaker Sitta

    Politics, Politics, Politics!!!!!
  16. I

    Unafanyeje ili ndoa yako idumu?

    Jenga Urafiki na mwenzio, Sala na kikubwa sana Uvumilivu!
  17. I

    Pinda Jiuzulu kazi imekushinda!

    Bwana Tumaini! Kuhusu Rostam usiseme kabisa, acha kama hivyo hivyo ilivyo, I guess he is above the law. Yule ndio CCM kama ulikuwa hujui, yaani inatapisha, sometimes I ask myself what is wrong with these Government leaders; yaani ni kama wanaongea vitu bila kufikiria the consequences baadaye...
  18. I

    Kikwete amefanya nini??

    You are boring! Kwani mpaka uchangie kama huna la kusema???
Back
Top Bottom