Search results

  1. Mchizi

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Muite Jabari. ni la kiswahili nadhani lina asili ya kiarabu means fearless linatumiwa sana na wamarekani weusi kama Jabari Parker nba player Jabari Smith NBA player,Jabari banks,
  2. Mchizi

    Umri wa kustaafu ukipunguzwa, nafasi za ajira kwa vijana wanaohitimu elimu ya vyuo vikuu zitapatikana

    Hata umri wa kustaafu ukishuka hadi miaka 30 bado tatizo la ajira serikalini litakuwepo.Mwajiri mubwa ni sekta binfsi na si serikali
  3. Mchizi

    Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Haya mikoa yoteTanzania itaitwa dar ili mtulie huko huko
  4. Mchizi

    Kelele na vumbi za Kiwanda cha Cement cha Kwa Mchina Kange ni uonevu kwa wananchi

    Hicho kiwanda itakuwa kinatumia technology ya kizamani sana. Miaka ya 90 kurudi nyuma hicho ndio kilikuwa kilio cha wakazi wa Tegeta wazo .Ilikuwa haipiti mwezi hujasikia kwenye radio au TV suala la mavumbi toka kiwanda cha cement wazo
  5. Mchizi

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Tambua standard zao ni zilezile dunia nzima. Kuku wa KFC kule kentucky ni yule yule utakaye mla Abu Dhabi au London
  6. Mchizi

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    dola 1.5m hiyo ni karibu billion 4 za kibongo
  7. Mchizi

    Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

    Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu
  8. Mchizi

    Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

    Kitimoto ni kama maji ,usipo yanywa utayaoga.
  9. Mchizi

    Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Wana nongwa kwavile aliyeshinda anatoka chama cha upinzani
Back
Top Bottom