Hii nimeiona mahali je itafanya kazi kweli?
Kipi cha ajabu, Kikwete na Lowassa walikuwa marafiki, sasa ni historia, vivyo hivyo video hizi ni historia iliyopitwa na wakati! Bila kifo cha CCM, Ukombozi wa pili wa nchi hii, hauwezi kupatikana. Yeyote mwenye uwezo wa kusababisha kifo cha CCM...
Hatma ya CCM ni uwamuzi wao katika uteuzi wa mgombea urais anayekubalika wakikosea tu UKAWA wanachukua nchi kilaini na hakika mbinu za kuchakachua zitashindwa.Jeuri yao kuwa yeyote watakayemuweka atakubalika si sasa ni Enzi za mwl nyerere pekee
Hatma ya CCM ni uwamuzi wao katika uteuzi wa mgombea urais wakikosea tu UKAWA wanachukua nchi kilaini na hakika mbinu za kuchakachua zitashindwa.Jeuri yao kuwa yote wakamuwea atakubalika si sasa ni Enzi za mwl nyerere pekee
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere kuwa Chuo cha Mfano kama ni kweli kuwa Serikali imefanya kweli kwa kuuweka Uongozi mpya ambao ni wasomi na weledi. Sisi wanafunzi tunaorudi Chuoni hivi karibuni tunafarijika kwa kuwa tulinyanyasika sana huko nyuma. Mabadiliko haya ni matokeo ya malalamiko...
Kweli Mkuu sisi tunasoma hapo hatujui kama tutapata kazi maana elimu inayotolewa ni ya kimagumashi. Kuna vijifisadi vimejificha pale wanaona wameiweka serikali mfukoni.
Vitoko vinaendelea Chuoni hapo. Baada ya Serikali kuamua kulipa mishahara moja kwa moja kwenye akaunti za wafanyakazi wamegundulika wafanyakazi hewa zaidi ya elfu 14 na chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ni moja ya sehemu iliyokutwa na wafanyakazi hewa. Ajabu iliyoje wafanyakazi walioacha...
Tawi la Chuo cha Kumbuku ya Mwalimu Nyerere, Zanzibar sasa kina Mkuu mpya mahiri baada ya Kigodoro cha Magotti kuondolewa kwa aibu. Kiongozi mahiri kwa tawi la DSM yuko njiani na hivyo mafisadi wote wa elimu chuoni hapo wanakiwa kujiondoa wenyewe kabla ya ufagio wa chuma kuwafikia.
Nasikia serikali inazidi kuwabana mafisai katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, naamini si muda mrefu chuo kitarudia hadhi yake ya zamani. Ufagio wa chuma utakapowapitia wahusika waliowasafi watabaki kukiendeleza chuo hicho.
Eti kile kigodoro cha Dr. Magotti cha Zanzibar bado kipo. yule Mwl wetu kilaza wa 2.8 G.P.A. yupo, muomba rushwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike yupo, wale wadada wapenda waume za watu wapo, wachakachua matokeo ya wanafunzi wapo na yule mtaalamu wa kurudisha miaka nyuma yupo, wale wanaume wambea...
Naona umeadhiriwa na lile gonjwa linalowasumbua hapo chuoni hadi vifo vimeongezeka, nakushauri kapime ili ujielewe. Umesahau kuwa hicho ni chuo cha umma umelewa na wenzako hadi umejisahau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.