Search results

  1. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Kalengamab huyu mwakalinga hata atakaposhindwa kwenye kura za maoni mwaka 2010 pia usisite kutupa taarifa kama ulivyotoa taarifa ya kumsindikiza uwanja wa ndege! Ila nakukumbusha tu kuwa" only the wise can dance the melody of the night" na kama mwakalinga ni msikivu basi yatosha kusema" words...
  2. K

    AY arudi shule; kujiunga na chuo fake?

    Asante sana Yo yo, siku hizi vyuo vya mtaani vimezidi na sio hivyo tu siku hizi usanii umezidi kwemye elimu hasa ya juu. mimi siku moja nilipata e mail kutoka majuu eti wanatangaza possibility ya kupata cheti cha degree yoyote uitakayo ndani ya mwaka mmoja, na zaidi eti hata ukitaka bila...
  3. K

    Dr. Isaack Ndodi: Hisia mchanganyiko

    Kwani Dr Ndondi akija hapa hata kama halipwi hatapata wateja? ninaamini kwa ushuhuda uliotolewa na katabazi, na Dr Ndondi mwenyewe akija kama mgeni mualikwa wa JF wateja watapatikana tu japo lengo la kumualika JF halitakuwa kutafuta wateja. jamani kizuri chajiuza kibaya.....!
  4. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Wana kyela kuweni macho! kuna usemi mmoja aliwahi kuusema mwanasiasa mmoja hapa Bongo nanukuu "alikwina?" na mimi nauliza tena huyu Mwakalinga au Mtanzania whatever the name, alikwina? hadi leo hii ndio aibuke? hawa sasa ndio mapandikizi wa kisiasa. tuachieni Kyela yetu!
  5. K

    Vijana wa Bara Wapewa Vitambulisho Vya Ukaazi Z'bar?

    tatizo la wa Tanganyika wanasahau sana historia ya kule visiwani ambako watu wanavumilia wee baadae wakichoka damu inaanza kumwagwa Game wabara wanasahau pia kuwa chokochoko mchokoze pweza, binadamu hutamuweza! linakuja hilo
  6. K

    Maalim Seif Shariff Hamad Aitikisa SMZ

    Usimlaumu Hamad amesema kile anachokiona kinatokea Pemba, halahala to me this look like a timely bomb just waiting for the right time to erupt!
  7. K

    Kaka na Dada hawa...Mhh!

    Nawapa pole wazazi wa watoto hawa! lakini kukimbia tatizo sio utatuzi wa tatizo, kuwasusa hakuwasaidii hao wazazi wala watoto wakosefu. Wajaribu kuwa consult wazee wa jadi wa kabila lao huenda ufumbuzi ukapatikana.
  8. K

    Pinda, Muungano, na Hatima ya Zanzibar

    Hakika porojo tu, hakuna hoja ya maana katika hayo waliosema hao wajiitao umoja wa wazalendo
  9. K

    Meremeta 00:00:00. EXTRA

    Nani alisema misemo ya wahenga huanguka! Si imesemwa " Ukweli hata ukiuzika chini kiasi gani, bado utatafuta njia ya kuibuka" (No matter how deep you bury the truth, it will always manage to surface), sasa ndio wakati wa ukweli kuibuka, hongera mzee mwanakijiji na Jopo zima la Cheche za Kifikra!
  10. K

    Misemo na Maneno ya zamani

    Ngongingo Lakuchumpa Lakuparama Dole tupu Kula bunda-kuondoka Kumwaga ung'eng'e kutema mayai
  11. K

    Salva Rweyemamu amjibu Lipumba juu ya mafanikio ya Rais Kikwete

    Nafikiri amesahau pia kuwa Kikwete hakuanza kampeni za kuwania kuingia ikulu mwaka 2005, labda tumuulize, je anajua Ben Mkapa alishindana na nani katika ile hatua ya mwisho ya kutafuta uteuzi wa CCM kwa nafasi ya Rais, inawezekana hata hili amesahau pia. Sijui ni kusudi au anafumba tu macho...
  12. K

    CUF na Operesheni "Zinduka"

    Ukisikia kuanza kuishiwa mtaji wa kisiasa ndio huku! CUF msituletee siasa za kizamani kama mlivyotaka kuleta kule pemba watuy wakashindwa kuzikana kwa sababu ya tofauti za kiitikadi. Unafiki uko wapi Dr Slaa kuowa diwani wa CCM, kwanza mi nafikiri Dr Slaa anastahili pongezi kwa hili, kaweza...
  13. K

    Trafiki amnyanga'anya gari dereva, apinduka nalo mtoni

    Haya mambo ya kupeana kazi kwa vimemo, ona sasa !jamani vigari vyenyewe tunanunua kwa hela ya ngama! kwenda kutiana hasara kijingajinga kiasi hiki, wakipigwa ooooh raia kauchuka sheria mikononi, sasa huyu askari ye sheria inamruhusu kkukamata na kuendesha gari ya mtu! kuna siku tutaja laumiana...
  14. K

    50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    Ole wao siku yao yaja hakika watalia na kusaga meno! hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kuwaonya viongozi juu ya kutenda mabaya kwa wananchi akiwaambia kuwa siku tukifa wajukuu zetu watacheza na kukojoa juu ya makaburi yetu! maana hawatakuwa na la kujivunia juu yetu! na kwa hii orodha hakika hakuna...
  15. K

    Salva Rweyemamu amjibu Lipumba juu ya mafanikio ya Rais Kikwete

    Juzi kwenye gazeti la mwanahalisi kulikuwa na makala iliyoandikwa na Salva Rweyemamu, ambaye ni mkurugenzi wa habari wa ikulu na mwandishi wa habari wa muda mrefu (alikuwa ni miongoni mwa waanzilishi wa gazeti la rai), makala ile ilikuwa ni majibu ya Salva kwa Profesa Ibrahim Lipunba ambaye ni...
  16. K

    Dona kwa afya

    Tafadahli naomba ushauri wenu, mimi nina mdogo wangu, mwaka 2006 alifanyiwa operation kitaalamu inaita colostromy (sijui ni sawa) kwa sababu alikuwa na tatizo la abdominal obstraction, sasa mwaka huu ameonesha nia ya kutaka kufunga ramadhani, nimemzuia lakini anasisitiza, Je kuna madhara yoyote...
  17. K

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Kanisa katoliki kupitia kwa Askofu Methodium Kilaini wa jimbo kuu la dar wamemjibu Kingunge kuwa hawatarudisha huo waraka hadi hapo atapojibu hoja kwa kufafanua hoja ipi ndani ya waraka ule ni tatizo, na wamesisitiza kuwa tangu mwaka 1912 wamekuwa wakitoa waraka wa aina hiyo kila unapokaribia...
  18. K

    Vitabu vya Willy Gamba (Elvis Musiba)

    Hivi na yule mtunzi aliyekuwa akitunga vitabu vya Inspekta Fog, alikuwa nani vile, nakumbuka kitabu kimoja Sukuma namba nane!
  19. K

    Vitabu vya Willy Gamba (Elvis Musiba)

    Hahaha! mimi nilivutiwa zaidi na Njama, si mnakumbuka kile kikundi kilichokuwa kinajiita KULFURT au GONGO LA CHUMA, kilikuwa na wakala wake Nairobi na Arusha, siwezi sahau kikosi cha kisasi kilivyo sambaratisha wale mawakala wa makaburu waliokuwa wanamiliki magereji makubwa kule Zaire (sasa...
  20. K

    Nightmare experience for Tanzanian exchange student in the United States

    Musa hawa jamaa ndivyo walivyo ubaguzi kwao ni dini. pole sana hii iwe fundisho kwa wengine wanao fikiri USA ni pepo!
Back
Top Bottom