Search results

  1. T

    NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA JET-LUMO(Mwisho wa lami)

    Nyumba ya kisasa kabisa inapangishwa kwa bei nafuu kabisa, ina vyumba Vitatu vya kulala, dinning, sitting room, kitchen pamoja na uzio.Ipo JET-LUMO(Mwisho wa lami). Kwa anayehitaji apige simu namba 0714 94 60 10.
  2. T

    Utambulishoo huu noma sana

    du noumer sana!
  3. T

    Msikie mbulula huyu

    ha ha h ah ah ah ah ah ah ah ah aha
  4. T

    "Tengua kauli".... "Sitengui"

    ha ha ha ha h ah ah ah ah ah ah ah ha ha ha ha ha ha
  5. T

    Ukitaka kupona usiifunike

    mh makubwa:shock:
  6. T

    Part Time Job for a Certificate holder in Insurance & Risk Management or Certificate of Proficiency

    Ladies and Gentlemen. Kama kuna yeyote ambaye ana Cheti kwa ngazi ya Certificate katika fani tajwa hapo juu tafadhali tuwasiliane kuna kazi ila itakuwa Part time na ni kwa Dar es salaam tu. Umri uwe kati ya Miaka 18 - 30. Kuhusu masuala ya Malipo ni makubaliano tutazungumza ana kwa ana in a win...
  7. T

    'MESEJI' ya HUJUMA...

    Mbona hueleweki ama ndio huko kupanic.Hebu soma ulichokiandika kama utakielewa
  8. T

    Mikataba ya Cheka na Promoter ni full comedy.

    Bongo tambarare
  9. T

    Camera iliyoyotumika kwenye movie ya APOCALYPTO

    Hoja yako haina mashiko.wewe kwa akili ya kawaida kabisa ya kuvukia bara bara unaweza kumfananisha Mel Gibson na wasanii wa bongo,Acha masihara.Unakuna pale mkono unapofika na ukimwiga tembo utapasuka msamba.
  10. T

    Who cares

    Mtaka cha uvunguni sharti ainame.
  11. T

    Who cares

    Mbona hakuna tatizo ndoa ni kusaidiana bwana.
  12. T

    Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

    Jamani kila siku kulalamika tu, hakua mambo mengine.
  13. T

    Simba mtumieni victor costa kama kiungo

    Kaka timu haipangwi ili kujaza nafasi 11 zinazotakiwa ila lazima comination sahihi itafutwe hivi kweli unaweza mpango Beki Victor Costa kama kiungo, wachezaji huwa wanabadili namba ila huwezi mpanga costa kama kiungo HAIWEZEKANI na kama wewe unajua mpira kweli unaweza kuliona hilo.Ungesema namba...
  14. T

    hivi inawezekana ama ni kwangu tu?

    Ndugu yangu Manshiroo. inawezekana usemi wako kwamba asiye kujua hakuthamini ukawa ni sahihi in some circumstances ila kwa ishu yako naendelea kusimama kwenye kile nilichokisema kwa kuwa umeonyesha udhaifu wa kupitiliza na kwa maneno mengine wewe pia si mwaminifu, sina lengo la kumtetea mumeo...
  15. T

    hivi inawezekana ama ni kwangu tu?

    Kwa maelezo ya kisa chako ninashawishika kwa aslimia 100 wewe ndio tatizo kwenye ndoa yako na si mumeo kwa maneno machache inaonekana HUJATULIA unahitaji KUPEPEWA.Unachokitafuta utakipata tu.
  16. T

    ah!!!! Jaman yamenikuta msaada plz

    Its funny.Ila kumbuka ukipenda boga penda na ua lake.
  17. T

    Kilichofanywa na NHIF si Uungwana

    Uko very right kaka, huo ni ushauri mzuri sana kwa wahusika ukishatuma we endelea na mingo zingine.Mimi niliwahi itwa kwenye interview baada ya hapo nikamfuata SECRETARY aliyenipigia simu kuniarifu kwamba nahitajika nikamuuliza ametoa wapi namba yangu akaniaonyesha VC yangu nilipigwa na...
  18. T

    Kazi Nje.....Mashirika ya UN!!!

    Thanx 4 info blaza.
Back
Top Bottom