Search results

  1. Godman

    Arsenal anatolewa na Bayern Munich leo

    Hatimaye yametimia, James Tupatupa, Mtangazaji wa Clouds TV aliahidi kuwa atachinja Ng'ombe endapo Asernal itatolewa, yeye aliamini Arsenal itafuzu katika hatua, hilo zoezi la kuchinja Ng'ombe linatakiwa liwe Mbashara...
  2. Godman

    Mkosoaji wa Serikali ‘aliyetekwa’ siku 5 zilizopita Mbeya apatikana Igunga

    Siyo kupungua, kilichopo ni kukosekana kwa taarifa ya matukio yenyewe, hata hili tukio bila kupata taarifa hapa tusingejua, maeneo ninayoishi kuna pori ambalo miili ya Watu wasiojulikana huokotwa mara nyingi tu.. Kwa kuwa kuna barabara kuu ya kwenda Nchi za kusini mwa Afrika Watu huisi huenda...
  3. Godman

  4. Godman

    CCM ni chanzo cha mafuriko yanayozikumba kaya zetu

    Kama ulinielewa kwenye hoja yangu nilikwambia kuwa si maeneo yote hatarishi yalikuwa hivyo tangu awali, hatari nyingine husababishwa na mabadiliko ya tabia ya Nchi, hali ya hewa na shughuli za kibinadamu, hata hilo Bonde la Msimbazi awali halikuwa hatari kama ilivyo sasa. Ukiangalia hilo Bonde...
  5. Godman

    CCM ni chanzo cha mafuriko yanayozikumba kaya zetu

    Huu ni utetezi tu, Binadamu mwenye utashi anakosaje hizo akili?
  6. Godman

    CCM ni chanzo cha mafuriko yanayozikumba kaya zetu

    Binadamu hamna jema, nguvu ilitumika mtakuja na hoja ya Haki za Binadamu hapa!
  7. Godman

    CCM ni chanzo cha mafuriko yanayozikumba kaya zetu

    Hivi huyo Raia anayejenga bondeni haoni kuwa ni bonde? Mara ngapi Serikali inawataka Wananchi wahame maeneo hayo hatarishi lakini bado Watu wanarudi? Wengine wamepewa hadi viwanja maeneo salama lakini bado hawaendi huko. Elimu inatolewa na Mamlaka ya hali ya hewa mara kwa mara hutoa taarifa...
  8. Godman

    CCM ni chanzo cha mafuriko yanayozikumba kaya zetu

    Kipi ambacho siyo kweli kwenye maelezo yangu? Unachotakiwa kuelewa si maeneo yote hatarishi yalikuwa hivyo tangu awali, Kuna baadhi ya maeneo yalikuwa salama lakini kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na mazingira maeneo hubadilika na kuwa hatarishi.. Pale Hanang'i Wananchi wameishi enzi na...
  9. Godman

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Basi usingeleta hoja ambayo huna ushahidi nayo! Utasema vipi kuwa Rais hajatukanwa ikiwa hufuatilii matusi?
  10. Godman

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Mleta Uzi siyo mfuatiliaji wa mambo au hana chanzo sahihi cha kupata habari, Ina maana yeye hajaona Rais alivyotukanwa bali kaona kukosolewa tu...
  11. Godman

    CCM ni chanzo cha mafuriko yanayozikumba kaya zetu

    Siyo kila kitu ni cha kulaumu Serikali au CCM kama ulivyodai, binafsi nilisikiliza Mahojiano ya Mtangazaji wa Clouds TV na baadhi ya Watu wa maeneo ya Rufiji ambapo kuna Mafuriko, Watu hao wamekiri kuwa Serikali iliwataka wahame maeneo hayo hatarishi siku nyingi za nyuma. Sambamba na hilo...
  12. Godman

    Rais Samia atenga siku moja kila mwezi kusikiliza kero za watanzania

    Hawezi, kwa siku zinaweza kuingia sns hata 10,000, ataweza kusoma kweli? Labda wasaidizi wake wamsaidie!.
  13. Godman

    Rais Samia atenga siku moja kila mwezi kusikiliza kero za watanzania

    Kwa shida tulizonazo Watanzania haziwezi kutosha
  14. Godman

    Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

    Inauma sana, yaani bora mtu usijue..
Back
Top Bottom