Search results

  1. TAWA

    Nchi inawaza kushinda uchaguzi tu

    Ukiangalia mwenendo wa siasa wa nchi yetu kwa sasa, ni dhahiri shairi viongozi wetu wanawaza kushinda uchaguzi tu hakuna lingine. Tangu wamechaguliwa akili na mawazo yao yapo kwenye namna gani watashinda tena uchaguzi. Hii inadhihirishwa hata namna ya maendeleo wanayotuletea. Ni yale maendeleo...
  2. TAWA

    Uchaguzi wa Serikali za mitaa eneo unaloishi hali ikoje? tueleze hapa

    Toa maoni yako na kile ulicho kishuhudia katika eneo lako kijiji, kitongoji au mtaa unakoishi juu ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 kuanzia hatua ya uandikishji katika daftari la wapiga kura mpaka uteuzi wa wagombea.
  3. TAWA

    NMB Chalinze kumeoza, mnaohusika litazameni lile tawi

    Katika pita pita zangu za kutafuta ridhiki huwa napita sana chalinze na kufanya biashara kidogo pale na wadau wangu wa eneo lile. hivyo katika muktadha huo Bank ninayoitumia ni NMB tawi la chalinze kwani ndiyo tawi la Bank pekee lililopo eneo lile ingawa pamechangamka kibiashara na uwekezaji...
  4. TAWA

    Mbunge Prosper Mbena wa Morogoro Kusini Mashariki(CCM) amelisusa jimbo

    Ni dhahiri ameshindwa kuliongoza jimbo la Morogoro Kusini Mashariki. Haonekani Bungeni wala jimboni. Tulimuona alipokuja kuhudhuria msiba Wa mama yake Mzazi tu. Baada ya hapo hatujui alipo. Sasa huyu ni msemaji wetu, ni Mwakilishi wetu lakini naamini huko aliko sidhani kama anajua shida...
  5. TAWA

    Hivi ikitokea ameshindwa yupo Wa kumwambia ondoka!?

    Bwana Bodi heri ya sikukuu ya pasaka, natumai mmekuwa na mapumziko mema ingawa kwa sisi wasaka tonge muda huu tayari tupo kazini tunapambana na hali hii nzuri inayoletwa na uchumi Wa viwanda. Kwenye kaa yangu hapa kibdandani kwangu, nikawaza wazo hilo linalosomeka kwenye kichwa cha habari...
  6. TAWA

    Benson Bana na Said Mkumba wako wapi?

    Hawa watu ni wanasiasa waandamizi katika nchi hii, mmoja alikuwa mbunge Wa bunge LA Tisa na mwingine alikuwa mchambuzi mahili Wa siasa katika awamu ya nne. Kwa sasa hivi wapo wapi watu hawa!? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. TAWA

    Kwanini unatumia nguvu nyingi sana kuwaambia watoto wako kuwa wewe ndiye baba yao!?

    Wasalam ndugu wa JF, Kinachoendelea kwa sasa kwenye kijiji chetu ni sawa na baba mbabe, mlevi na asiyesikiliza watoto zake kuwalazimisha wamuheshimu na kumuita yeye ni baba. Baba huyu amekuwa katili kwa watoto hawa kiasi yeyote anayethubutu kumuuliza au kumkosoa juu ya hali ya Nyumbani anakula...
  8. TAWA

    Siasa ni itikadi, itikadi ni imani. Huwezi badili imani

    Vyama vya siasa vinaongozwa na itikadi ambavyo kwa itikadi hizo vyama hivyo huamini. Wanachama na wapenzi wa vyama hivyo huamini katika hizo itikadi. Ni mara chache sana kuona itikadi ya chama chako kuwa si sahihi. Ni uchache wa siasa kuhama chama kwa kuwa kuhama chama ni kubadili imani
  9. TAWA

    Wako wapi Wilson Mukama, Shamsi Vuai Nahodha na Mustapha Mkulo!?

    Wilson Mkama aliyewahi kuhudumu kama Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi ccm kwa kipindi fulani huku akikumbukwa sana katika uchaguzi wa marudio kule Igunga Tabora baada ya kuachia ngazi aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Ndugu Rostam Azizi. Atakumbukwa zaidi kipindi cha tambo za watu wa Lumumba...
  10. TAWA

    Mbowe shtuka, Mashinji anakupeleka chaka

    Mheshimiwa mwenyekiti Wangu utakubaliana nami kuwa chama chetu taratibu kimeanza kupoteza mvuto wake wa asili uliokuwepo hapo awali. Wajinga wengi wanadhani labda ni kutokana na kile wanachokiita ni utendaji wa kiwango cha juu cha mheshimiwa sana pale white house. Lakini sisi tunaojua fikra na...
  11. TAWA

    Piga kura yako kupendekeza kocha msaidizi simba, iwapo Masud Djuma anakuwa kocha mkuu.

    Nani anafaa kuwa kocha msaidizi simba iwapo Masud Djuma anakuwa kocha mkuu!? - Poll on strawpoll.com
  12. TAWA

    Hivi kweli tutajenga viwanda au ndiyo tutaishia kusajili wanachama kutoka kwenye vyama

    Wasalam Kwa siku za karibuni siasa yetu imeingia katika utaratibu mpya wa hama hama ya wanachama na watu mashuhuri kutoka chama kimoja na kwenda chama kingine. Naona utaratibu huu umeshika kasi, kiasi tunaanza kusahau jukumu lililo mbele yetu la ujenzi wa uchumi wa viwanda. Tunatumia muda...
  13. TAWA

    Mnaomuelewa katibu mkuu CHADEMA nisaidieni kitu hapa

    Wanajamvi salamu, Binafsi naona toka kuchaguliwa kwa huyu katibu mashinji, chadema inaporomoka kwa kasi ya kimbunga kwenda chini. Chadema kama inakosa mwelekeo. Imefika wakati sasa kila mtu amekuwa msemaji ndani ya chama. Hakuna tena separation of power kama ilivyokuwa kipindi cha doctor. Now...
  14. TAWA

    Chagua Rais wa TFF hapa

    Bonyeza link kumpigia kura mgombea unayetaka ashinde urais wa TFF Nani anafaa kuwa Rais wa TFF? - Poll on StrawPoll.com
  15. TAWA

    Piga kura hapa ya makamu wa rais TFF

    Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais TFF 2017 - Poll on StrawPoll.com
  16. TAWA

    Mtazamo wangu: CCM itakuwa CHADEMA na CHADEMA itakuwa CCM ni suala la muda tu.

    Kwa jinsi mambo yanavyokwenda katika taifa letu tutegemee CCM itageuka kuwa CHADEMA kwa kuwa watetezi wa wanyonge kama walivyofanya CHADEMA miaka miwili au mitatu nyuma kisha CHADEMA itakuwa CCM kwa kukataa kutekeleza mambo ambayo ni zahiri ni tunu kwa taifa hili. Pia tutegemee kubadilishana...
  17. TAWA

    Walio karibu na Mbunge Prosper Mbena, wamwambie haya

    Jimboni kwake tuna shida nyingi, tena siyo shida za kukalia kimya. Tunapatwa na mshangazo kuona mbunge wetu kuwa kimya. Ukimya huu labda ungefanywa na mbunge ambaye jimbo lake walau limejiyosheleza. Wakati wabunge wa wenzetu wakipigania nafasi ya kueleza shida za majimbo yao, sisi wa kwetu si...
  18. TAWA

    Akishindwa 2020 Atakubali kutoka?

    Hivi hata tukiamua kufanya uchaguzi wa kijiji hiyo 2020 huyu mwenyekiti wetu atakubali kutoka madarakani kama atashindwa? Kwa hali ninavyoiona sijui kama atakubali ukizingatia kwamba kila mtu anamuogopa hata baraza la wazee wanaosimamia upigaji wa kura. Mimi nadhani tusipoteze pesa za...
  19. TAWA

    Rais wa Zanzibar arejea nchini akitokea Djibouti

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Shein amerejea nchini leo akitokea nchini Djibouti alipokuwa na ziara ya kikazi nchini humo. Pia alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar aliweza kujibu maswali ya waandishi wa habari ikiwemo suala la mafuriko linaloikabili nchi hiyo kwa...
  20. TAWA

    Moja ya sababu zilisopelekea 'Armed Struggle' Africa ni kukomeshwa kwa vyama vya siasa.

    Inawezekana viongozi mliopo hamfahamu, nataka tu kuwakumbusha kuwa, moja ya sababu uliyompelekea umwagaji damu kwa baadhi ya mataifa ya Africa wakati wa harakati za kusaka uhuru ni kukomeshwa kwa vyama vya siasa vilivyoundwa na waafrika weusi. Pia kupiga marufuku harakati zozote za kisiasa...
Back
Top Bottom