Search results

  1. Mathias

    MKIKIMKIKI - Mdahalo wa vyama vya Siasa vikijadili masuala ya Elimu na Afya

    kwanini hamkutanishi wagombea? vyama vya siasa sidhani kama vina mashiko majira aya.
  2. Mathias

    Lipi bora, SimTank au PolyTank?

    Wakuu nashukuru sana kwa ushauri wenu, maoni ya wengi hapa naona ni sim tank. Nimechukua ushauri wenu na ntanunua sim tank. Asanteni sana.
  3. Mathias

    Lipi bora, SimTank au PolyTank?

    Wakuu heshima kwenu, Nataka kununua tank la maji, lipi bora zaidi, Sim tank au Poly Tank?
  4. Mathias

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Ngoja tuone mzee wetu atakavyojibu
  5. Mathias

    Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Mkuu Maggid, heshima kwako! Japo sitojaribu kuwaeleza hawa wazee wa Dar es Salaam ni watu gani nani-wa aina gani, ntasema kidogo yanayohusiana na maongezi yao na bwana mkubwa. Binafsi nafikiri hii kasumba imepitwa na wakati na vile vile viongozi wetu wamepitwa na wakati. Kwa kifupi hawana...
  6. Mathias

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Ngoja nikanywe nilale nisinzie nisahau machungu ya Jairo na nduguze
  7. Mathias

    Akaunti za Msekwa, Luhanjo zichunguzwe

    Lakini wewe si ni ccm? sasa wachunguzwe ili iweje? na unayetaka achunguzwe si ni makamu mwenyekiti wa chama! manake yake nini? Na waliokwisha kuchunguzwa wako wapi? Kuna ubovu katika chama na uongozi mzima na ili hamtaki kulibali endeleeni hivyo hivyo mpaka mtakapoambiwa nchi imeuzwa na...
  8. Mathias

    Bunge kutooneshwa live kwenye TV, kisa CHADEMA

    Mkuu Mwana wa Daudi Nafikiri ulisoma kwenye gazeti la Raia Mwema ilikuwa ni Makala ya Chesi Mpilipili, labda kama makala inayofanana iliandikiwa kwenye Rai pia
  9. Mathias

    Katibu wa CHADEMA Kilimanjaro Akalishwa chini katika Kongamano Moshi

    Huu ni upuuzi na ujinga wa kupitiliza, hizi sherehe za miaka 50 ya uhuru kwanini tuongelee mafanikio? Ingekuwa jambo la busara kuongelea changamoto na wapi tumeshindwa na tufanyeje kwa miaka 20-50 ijayo. Hii tabia ya kutaka kusifiwa niya kijinga naniya viongozi wasiopenda kuwajibika. Kama...
  10. Mathias

    Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

    Mkuu Edson Mbona iyo link ulotoa inaitaji password? Baada ya kudownload vlc na kukocopy and paste link yako inataka password na user name! any suluhisho?
  11. Mathias

    Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

    Thanks Mkuu naona kama vile kuna tatizo katika connection labda baadae bunge likirudi unless kama kuna alternative nyingine
  12. Mathias

    Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

    Wakuu hivi kuna online radio yoyote au tv inayorusha bunge? kwa watu tulio nje ya bongo tupate kuona au kusikia! msaada plse
  13. Mathias

    Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

    Amechoka kubanwa na gamba naona anajivua pole pole
  14. Mathias

    Iliyo keketwa

    Aya ni mateso makubwa kwa dada na watoto zetu, ukikuta pahala wanakeketa tafadhali wachukulie hatua manake ni wauaji. Baada ya kuona hizi picha ni hasira tu ndo zimenishika, nilikuwa nasikia juu juu ili jambo, lakini baada ya kuona sitamani hata kuwasikia hao wanao keketa.
  15. Mathias

    Mbowe ndani ya Bunge

    Unapotosha ndugu yangu sote tumeangalia, kilichofuatia baada ya mda wake kuisha ni Mh Lukuvi kumpa Mh Mbowe taarifa, kwamba kamati ya bunge na nishati sio cha ccm niya bunge na pia Lukuvi katoa ufafanuzi kuhusu legitimacy ya serikali. Ukweli ukuweke huru ndugu yangu.
  16. Mathias

    RAM 4GB Hard Disk 300GB

    Du, kumbe una ishu nyingi! Ni vizuri ukawaona watalaamu kuliko ivyo unavyotaka kufanya! Iyo short cut itakugharimu zaidi, hapo ni kama kulazimisha nokia 3310 iwe na bluetooth. Ni vizuri uwe na uhakika una processor yenye nguvu kiasi gani.
  17. Mathias

    UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu

    Hii ndo bongo, pale unapowategemea tanesco ndo wanafanya tofauti
  18. Mathias

    UDSM: Mgomo unaokuja nani alaumiwe?

    Hapo naona mna kila sababu ya kufanya mgomo manake hoja zenu hazisikilizwi kinachofanyika ni kusogeza mbele matatizo badala ya kuyatafutia suluhisho la kudumu. Hii ni staili ya uongozi wetu, hatutafuti suluhisho la mda mrefu na badala yake tunapenda kutumia ujanja wa mjini hata kwenye mambo ya...
Back
Top Bottom