Kiswahili ni Tanzania kama ilivyo Ujamaa, Tanzania inajivunia Nyerere daima kwa kufanya Tanzania kuwa na influence kubwa ulimwenguni
Tafiti zinaonekana kwamba Tanzania ndio taifa lenye ushawishi mkubwa wa kitamaduni duniani kutokea Africa
Tanzania to the world 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Hope this is the next...
Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa
Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba
Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700
Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar...
Kenya ni fukara la mwisho hata Burundi hawaoni ndani kwenye EAC *****
Report mpya ya 2021 inasema 61% ya wakenya ni masikini wa kutupwa
Report inazidi kudadavua kwamba umasikini uliopo Kenya ni mara 10 ya uliopo Afghanistan na Iraq
Ama kwa hakika awamu hii world bank wamechoshwa na mapishi ya...
Tanzania and Rwanda to collaborate on SGR
Construction of Isaka-Kigali standard gauge railway to start this year.
During a bilateral meeting between President John Magufuli and his Rwandan counterpart Paul Kagame at State House, Dar es Salaam, on Sunday, Magufuli said the 400 kilometre long...
Hili ni tukio kubwa lakini sioni likipewa attention na media, ni baada ya miaka mingi Sana kupita mlima Meru mkoani Arusha umeonekana kuwa na theluji nyingi kama Ile ya mlima kilimanjaro kwa kipindi cha siku mbili kuanzia jana 2nd January 2018 hata leo 3rd January bad theluji inaonekana tena kwa...
Tanzania ni nchi nzuri sana kiasi kwamba inavutia mpaka wa afrika wenzetu kuwa na ndoto za kuingia Tanzania siku moja katika maisha yao na sio wazungu tu kama tulivyozoea.
Najivunia kuwa mtanzania mwenye nchi inayopendwa kote duniani.
Data from Tanzania’s Immigration Services Department...
State-run railway firm Reli Assets Holding Company (Rahco) is seeking the supply of the locomotives, 14 of which will be cargo trains.
Tanzania has floated a multimillion dollar tender for 19 electric trains to be used on the standard gauge railway (SGR) which is under construction...
Huu utamaduni wa wachagga na baadhi ya makabila kurudi kwao wakati wa sikuku ya Christmas umekua gumzo kwa baadhi ya wengi na kujenga sintofahamu kichwani mwa wengi either kwa kukosa ufahamu wa swala hili au kwa sababu maalum.
Wengi wamekua wakiupongeza na kutaka wengine waige utamaduni wa...
#KWANINI WACHAGGA HUPENDA KWENDA KWAO MWISHONI MWA MWAKA?
Nimeamua kuandika kipande cha waraka huu kutokana na kuwepo kwa dhana nyingi potofu juu ya wachagga kwenda kwao kipindi cha mwisho wa mwaka, maarufu kama "kwenda kuhesabiwa".
Je ni kweli wachagga huenda kuhesabiwa? Jibu ni Hapana.. si...
Ubungo hali tete,yaelemewa na Abiria wa mikoa ya kaskazini
Mmoja wa abiraia aliyekosa usafiri katika kituo cha mabasi Ubungo akiwa amekaa chini na mtoto wak mara baada ya kuchoka na kadhia ya kukosa usafiri.
Sehemu ya kituo cha mabasi Ubungo ikionekana kwa juu majira ya saa mbili asubuhi huku...
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA SPIKA BUNGE WA BUNGE LA ISRAEL
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Israel (Knesset) Mhe. Yuli Yole Edelsten wakati Mhe. Spika alipomtembelea Bungeni hapo. Mhe Ndugai yupo nchini Israel kwa ibada ya...
Wiki moja baada kutokea ajali mbaya ya ndege iliyokuwa na wachezaji wa timu ya Chapecoense inayoshiriki Ligi Kuu ya Brazil na kuua abiria 71 wakiwemo wachezaji wa timu hiyo, waandishi wa habari, makocha na wafanyakazi wa ndege hiyo, imetoka ripoti kuwa mchezaji Helio Neto aliyenusurika alikuwa...
Dubai Fountain ni moja kati ya vivutio vikubwa vya kitalii vikubwa Dubai na ni moja kati ya water fountain kubwa ulimwenguni.
Dubai Fountain mara nyingi huchezwa nyimbo maarafu kama wa Whitney Houston I will always love you na Michael Jackson thriller.
Cha kushangaza ni hivi karibuni Dubai...
Hamidu ni Mtanzania ambaye elimu yake ni darasa la saba tu lakini hakukata tamaa sababu aliamini kufeli elimu sio kufeli maisha, akaamua kufanya kile alichoamini anakiweza na leo hii ni Milionea na ameanza kujenga kijiji chanyumba zake 1500 Kigamboni Dar es salaam, stori yake kamili iko kwenye...
Ile kauli ya Uhuru Kenyatta na Robert Mugabe kwamba wakenya ni majambazi Africa wanaongoza imejidhihirisha huko Rio Brazil.......
Afisa wa tano wa michezo ya Olimpiki nchini Kenya amekamatwa ikiwa ni miongoni mwa uchunguzi unaozunguka fedha na vifaa vilivyopotea katika mashindano ya Olimpiki...
Are laptops more important than desks in Kenya's schools?
By Emmanuel IgunzaBBC Africa, Nairobi
2016
FromAfrica
Share
In theory, six-year-old Kenyan pupil Kizito Wafula could soon be using a government-funded laptop, but his school in the west of the country has no desks or chairs - and...
Analysis of International air travel to East Africa this year (January to August) reveals strong growth of 11.2% compared with the same period last year. This is an exceptional performance as growth for Africa as whole has been 5.6%, with countries like Algeria, Egypt, Morocco and Tunisia seeing...
Wakenya zaidi ya million 1.5 wanahitaji msaada wa dharura wa chakula baada ya kukumbwa na janga la njaa kutokana na hali ya ukame mkali uliolikumba taifa hilo la East Africa msimu huu.
Source RFA watanzania tuzungumze magazeti Zanzibar Leo.
======================
By Aggrey Mutambo
About 1.3...
CELESTIAL CITY OF NEW JERUSALEM PHOTOGRAPHED BY NASA’S HUBBLE SPACE TELESCOPE
photo source: weekly world news magazine
WASHINGTON, DC – Despite new repairs to the Hubble Telescope, NASA refuses to release old photos or take new ones of Heaven!
A researcher smuggled one top-secret photo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.