Search results

  1. M

    Msaada unatakiwa amepotelewa au kuibiwa kikatio udasa 22 08 2015

    twatwatwa hutendi haki Kitambulisho cha mpiga kura hakina chama ila mwenye kitambulisho chama chake kiko moyoni mwake wewe toa msaada ni ombi
  2. M

    Msaada unatakiwa amepotelewa au kuibiwa kikatio udasa 22 08 2015

    Ndugu wote wana jamii forums. Dada mmoa anaomba msaada kwa yeyote ambae amebahatika au atabahatika kukiona kitambuliho cha mpiga kura ambacho kimepotea au kuibiwa na vitu vingine ambavyovilikuwa ndani ya pochi ya mkononi tarehe 22 08 2015 pale udasa chuo kikuu ca dar es salaam akiwa katika...
  3. M

    MSAADA: NATAFUTA REMOTE CONTROL RM 886 KWA SONY TRINITRON KV92fx11u

    Mbona kimya namba yangu nimekutumia
  4. M

    MSAADA: NATAFUTA REMOTE CONTROL RM 886 KWA SONY TRINITRON KV92fx11u

    wewe uko wapi kwa wakati huu maana hiyo kitu naihitaji sana Tv bila remote ni usumbufu kwa nyakati hizi za kisasa
  5. M

    MSAADA: NATAFUTA REMOTE CONTROL RM 886 KWA SONY TRINITRON KV92fx11u

    MAMA KIBUNJU ebay used wanauza pound 7.50 mpya equivalent to original wanauza pound 15.50 sina uhakika kwa kusafirisha hadi dar na ushuru itagarimu kiasi gani, KAMA INAWEZEKANA WEWE KUNILETEA FANYA HIVYO.nawasilisha.
  6. M

    MSAADA: NATAFUTA REMOTE CONTROL RM 886 KWA SONY TRINITRON KV92fx11u

    Asante mkuu Idimi mimi nipo Dar nitakwenda hapo Uhuru na Msimbazi lolote nitakalo likuta hapo nitarudi kutoa taarifa. Juu ya e-bay taratibu zote nipo gizani kabisa ndio maana nimeomba kufahamishwa.
  7. M

    MSAADA: NATAFUTA REMOTE CONTROL RM 886 KWA SONY TRINITRON KV92fx11u

    Ndugu wana JF nisaidieni niweze kupata REMOTE CONTROL NUMBER RM 886 FOR SONY TRINITRON KV29fx11U nimebahatika kununua tv aina tajwa katika mitumba lakini haina remote nasiwezi fanya mambo mengi kwenye tv hii hadi nipate hiyo remote. au kwa mwnye ufahamu nimegoogle nimeipata e-bay je nafanyeje...
  8. M

    Msaada: nimeshidwa kukonect modem kwenye laptop yangu.

    Msaada: kwenu wataalam wote modem iana gani ninunue kwa matimizi ya kawaida
  9. M

    Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    kama yeye ni makamu wa kwanza wa rais ktk smz basi aambiwe kwamba hakuna haja ya kutangaza hautaki muungano. Bali yeye na wenzake wasije bara waishie huko huko. Lakini huyu bwana maalim si mkweli kwa sababu. Hahitaji kusema tu ajitoe haraka ndipo na wenzake watafuata.
  10. M

  11. M

    Milioni Hamsini (50,000,000) zimeingia kimakosa kwenye Account yangu

    Usisubutu kuchukua hizo fedha si halali yako. 1. Ukifika benki kuchukua kama huna kawaida ya a/c yako kuweka hela nyingi ndo mwanzo wa kuhisiwa mwizi . 2. Hata kama kuna watu wa IT wameweka kwako basi ni mtego kwako 3. Wataarifu hiyo benki kumwokoa tela aliyekosea njia na kuweka kwako atafungwa...
  12. M

    Channel za utu uzima kwa watumiaji wa DSTV

    nina decoder 1333 ya dstv kwangu inasuch muda wote nifanyeje
  13. M

    gharama ya kuagiza toyota verossa

    E52 enjoy hizo link ambazo zitakusaidia kuwa na maamzi sahihi.
  14. M

    gharama ya kuagiza toyota verossa

    http://www.tra.go.tz/documents/Motor%20Vehicle%20Tax%20Computation.doc
  15. M

    gharama ya kuagiza toyota verossa

    http://www.tra.go.tz/documents/Motor%20Vehicle%20Tax%20Computation.doc Mkuu OMANORYX LINK ULIYOMBA NDO HIYO
  16. M

    gharama ya kuagiza toyota verossa

    TAX COMPUTATION ON IMPORTED NON-UTILITY MOTOR VEHICLES A. For non-utility vehicles of less than ten years old from the year of manufacture. Illustration 1 Imported non-utility vehicles with engine capacity between 0-1000 cc. The computation of duties and taxes will be based on the applicable...
  17. M

  18. M

    gharama ya kuagiza toyota verossa

    JARIBU KUFUATA HUU MTIRIRIKO HALAFU UTAONA NI WAPI UNASIMAMIAKWA WAZO LANGU HII NI NJIA RAHISI KWA WEWE KUJIPIMA. KAZI NJEMATAX COMPUTATION ON IMPORTED NON-UTILITY MOTOR VEHICLESA. For non-utility vehicles of less than ten years old from the year of manufacture.Illustration 1Imported non-utility...
  19. M

    Msaada natafuta tairi za gari

    Nashukuru mkuu kwa msaada nitakwenda mlimani city kuangalia kama nitapata hizo tairi
Back
Top Bottom