Search results

  1. M

    30 years older,anataka,nifanyeje?

    Wana jamvi Mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja Mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,Huyu baba Ana mke na watoto wa nne wakubwa,tatizo linakuja tu pale anaponiomba tufanye sex yani naogopa namuana Kama baba...
  2. M

    Kuwa single ni raha jamani!

    Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and I cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na...
  3. M

    Sijui hata sh kumi ya mwanaume huyu,loo mapenzi gani haya!

    Madam B yani Nipo mbioni kumkimbia Huyu bwana,yani ni screpa hana msaada
  4. M

    Sijui hata sh kumi ya mwanaume huyu,loo mapenzi gani haya!

    Basanorare you are too young for me
  5. M

    Sijui hata sh kumi ya mwanaume huyu,loo mapenzi gani haya!

    Jamani ni miaka mitatu sasa tangu niwe na mahusiano na Huyu bwana wa kichaga yani hajawahi kunisaidia hata siku moja kifedha,nikimuomba msaada huwa anapindisha,lakini Mimi huwa namsaidia akipata tatizo,pia kila mara huwa analalamika kuwa amefulia kama defensive mechanism ili nisimuombe...
  6. M

    Mume wako ananitaka

    GRACE popote ulipo ujue kuwa mume wako ananitaka,nimevumilia vya kutosha,nimemkanya hasikii, Message sent
Back
Top Bottom