Nachukizwa sana na viongozi wetu Africa. Ni wanafiki sana, hawana misimamo, wanauza uhuru kwa maslahi binafsi. Tumeona haya kwa Mugabe na sasa Gadafi. Congo wamarekani wanashabikia vita huku wakiiba utajiri wa wananchi wake. Libya kwa kutumia branketi la demakrasia wanaisambaratisha nchi, watu...
Tunapaswa kujenga uwezo wa "wa kumeza habari na kuzichambua tumboni" kabla ya kuzitoa hadharani. Hili litatuepusha kupoteza muda wetu kupambana na "upupu".
nakubaliana 100% na Mutekanga. we have to address issues and not personalities. Kwa hakika huyu dada anastahili pongezi. Mengi tukijadili kwa mfumo huu, tunaweza kufanikiwa kuleta chachu ya mabadiliko katika taifa letu. Tutangulize maslahi ya taifa, na hasa wanyonge mbele kwa kila tulisemalo, au...
we should be constructive. kwani kuna ubaya kwa kiongozi wa nchi akienda kupumzika katika moja ya hifadhi zetu za taifa! Nafikiri ni muhimu tutoe maoni yatakayosaidia kuboresha utendaji, na si si "upupu" kama baadhi yetu tufanyavyo
I have been closely following discussions on various issues, and now I am concluding, may be its just wasting of time. Most issues are baseless and lacks analytical tools. can we change this to make our "VENUES MORE MEANINGFUL AND EFFECTIVE?"
Pole sana Dr. Mwakyembe. Lakini tutumie fursa hii kujadili. Ajali Tanzania, Nani wa kumlaumu? Serikali, Madereva? au wengineo?. Kwa mujibu wa miongozo, watumiaji barabara wanapaswa kuendesha KM 80 kwa saa. Viongozi (hasa Mbunge, mwanasheria) haeshimu agizo hili. Matokeo yake tutasema shimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.