Search results

  1. D

    Masikini Haji Manara!

    Mimi ninachotaka kujua kama ni kweli jamaa ni tapeli au anaonewa. Mwenye adat azishushe basi humu
  2. D

    Marley & Tosh: Who is the truest legend of Reggae?

    Bob ni noma mwana, ni hayo tu
  3. D

    Ipi ni THE BEST SERIES?...:'twenty four(24)' na 'ALIAS'

    Mambo yote Desperate House Wives maana utakenua mwanzo mpaka mwisho hapo utamuona character ambaye anaitwa Gabrielle Solis ambaye amechezwa na Eva Longoria-Parker, pia kuna watu kama Nicollete Sheridan, Marcia Cross etc. If u r a fan of romantic, comedy and drama series then hapa ndipo kwako
  4. D

    naomba title za romantic movie/comedy na wapi nitazipata

    Pia jaribu na hizi Sleepless in Seatle, Guess who, Brown Sugar, ni za siku nyingi kidogo but if you're a movie goer im sure you'll enjoy
  5. D

    Muziki Zaidi: Vipi JB Mpiana, Werason, & Koffi

    George-Porjie umenikuna kwa kunikumbusha hicho kitu cha JB Mpiana a.k.a bina adam.. Feux de l'amour hiki kitu si mchezo toka nikisikie for the first time wakati ulee i've never stopped loving it, one of the classic rhumbas i've evr heard, it is surely a bomb!! Period! Kinafanana na kibao kimoja...
Back
Top Bottom