Search results

  1. Adolph Sendeu

    Waziri Jafo: Hakuna mtendaji kufunga ofisi leo ili watu wote waliochukua fomu waweze kuzirejesha. Hakuna uchaguzi duniani usio na figisu figisu

    Nachukia sana napoona kiongozi anayetolea mfano wauovu wa nchi nyingine. kwa hiyo kama watu wanauana kama Marekani nasi tuone ni la kawaida tuige kuuana?
  2. Adolph Sendeu

    Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Huu ujinga nani anaweza endekeza, who can waste time kukata rufaa, kesi hiyo uipeleke wapi waka this is arranged all over the country?
  3. Adolph Sendeu

    Kamanda Mambosasa: Mwandishi Erick Kabendera anahojiwa uraia wake

    wito halali hutolwaje? je kuna summons alipelekewa akakataa kusain au alisaini halafu akakataa kwenda>
  4. Adolph Sendeu

    TARIME, MARA: Mkutano wa Kampeni Kata ya Turwa wasambaratishwa kwa mabomu ya machozi

    Tumetoka wapi, tuko wapi na tunakwenda wapi kisiasa? Hivi wananchi hawaoni, hawasikii au hawaelewi ni nini kinachoendelea hapa nchini kwa sasa? Unaweza kuwanyanyasa watu fulani , mahali fulani kwa wakati fulani, Lakini kamwe hutaweza kuwanyanyasa watu wote, mahali pote ndani ya Tanzania kwa...
  5. Adolph Sendeu

    Serikali: Waraka ulioandikwa kwenda Kanisa la Kilutheri (KKKT) ni batili; Msajili wa vyama Wizarani asimamishwa kazi

    Watanzania wana Busara sana, swala la kujiongeza ni la muhimi sana, Hivi nikuulize, kama mnabishana na mdugu yako kuhusu kukarabati gari la baba yenu kulipaka rangi, wewe unataka nyeupe na yaya anataka damu ya mzee, ukamwona anakimbilia kushika panga kisa anataka kulipaka rangi ya damu ya mzee...
  6. Adolph Sendeu

    Richard Kasesela na Mchungaji Peter Msigwa wararuana, kama Simba na Yanga

    Mtu akikurea mwonyeshe kakukera na maliza. saa ya kazi chapa kazi nae bila kinyongo. Sio unaweka hasira kifuani mpaka mnashindwa kufanya kazi pamoja. Mwambie ajue hupendi nini na kipi unapenda, sio unakuwa MNAFIKI!
  7. Adolph Sendeu

    Richard Kasesela na Mchungaji Peter Msigwa wararuana, kama Simba na Yanga

    hajalilia kutajwa cheo, bali amelelemikia tabia ya kumchafua wakati hayupo, na pia mbung wa viti maalumu hakustahili kuitwa mbunge
  8. Adolph Sendeu

    Vinanda vinauzwa

    Naomba tuwasiliane, mimi nahitaji kinanda piga namba 0764801062
  9. Adolph Sendeu

    NANI ANAYETAKIWA KUFANYA KAZI ZA MWENYEKITI WA MTAA ENDAPO HAYUPO AU ANAUMWA?

    Naomba kuuliza maswali kama ifuatavyo 1. Endapo mweyekiti wa mtaa anaumwa au amesafiri a) ni nani anatakiwa kufanya kazi zake na anapatikanaje na kwa sharia au kanuni ipi? b) Mhuri wa mwenyekiti anatakiwa auache au ukae kwa nani c) Nani ataongoza vikao vya halmashauri ya mtaa...
  10. Adolph Sendeu

    Sheria ya ndoa: Haki na wajibu wa mume/mke katika ndoa

    Mka, Elimu hii ni nzuri sana sana isipokuwa naomba kuuliza mambo yafuatayo 1. Je ndoa haizungumzii kuhusu hali ya wanaotaka kufunga ndoa kabla ya ya kufunga ndoa? a)mwanamke kutokuwa bikra au kuwa ameshazaa na mtu mwingine kabla ya ndoa? b) sijui ni semeje labda na mwanaume...
  11. Adolph Sendeu

    Kamanda Mambosasa: Tunamtafuta Mbowe, pia tunawashikilia Askari 6 waliotumia silaha za moto kudhibiti waandamanaji

    R I P Akwilina, nenda, nenda, nenda Akwilina Mwanetu. Tunakuombea kwa Mungu akupokee, ukakae naye pembeni mwa kiti chake cha Enzi, ukamuulize, Je Tanzania ndiyo nchi yetu aliyotuahidi na kutupa? kama akikuitika ndiyo, teta nae Muulize, je? yanayofanyika sasa ameyaruhusu? kama siyo, Mwombe...
  12. Adolph Sendeu

    Je, wajua majukumu ya Mwenyekiti wa mtaa?

    Madaraka na Majukumu ya Mkutano Mkuu wa Kijiji[hariri | hariri chanzo] Kusimamia na kuwajibisha watendaji. Kuweka taratibu za namna ya kuitisha vikao vya dharura. Kupitia Mkutano Mkuu Maalum wa uchaguzi kuwachagua Mwenyekiti wa kijiji na wajumbe wa halmashauri ya Kijiji. Kujaza nafasi za...
  13. Adolph Sendeu

    Je, wajua majukumu ya Mwenyekiti wa mtaa?

    Wanajamvi, nimeweka majukumu ya mwenyekiti wa mtaa nikiwa nataka kuwauliza, na kuwaomba wengi wenu humu ambao ni wasomi, je kuna ambaye ni mwenyekit wa serikali ya mtaa humu? Je kuna hata mwenye wazo la kugombea uenyekiti wa mtaa anapoishi? jamani amkeni, nyinyi ambao ni wasomi mnaacha kushika...
  14. Adolph Sendeu

    Je, wajua majukumu ya Mwenyekiti wa mtaa?

    Majukumu ya Mwenyekiti wa Mtaa Atakuwa ndiye Mkuu wa Serikali ya Mtaa; Atakuwa na wajibu wa kuitisha na kuongoza mikutano yote ya Halmashauri ya Mtaa, pamoja na Mikutano Mikuu ya Mtaa. Lakini endapo Mwenyekiti hayupo katika mkutano wowote, wajumbe wa mkutano unaohusika wanaweza kuchagua...
  15. Adolph Sendeu

    Mwenyekiti wa mtaa anapokuwa anaumwa au hayupo ofisi anakaimishwa nani?

    wanajamvi niliuliza swali hili nikiwa sijui na kwa sababu kulikuwa na hali hiyo mtaani kwangu, mwenyekiti wa mtaa wetu anaumwa, kakurupuka mtu tuu, mkorofi, hajui chochote anajiita mwenyekiti ndio maana nikauliza. nimetafuta majibu ya tatizo hilo na ndiyo hayo hapo juu asanteni
  16. Adolph Sendeu

    Mwenyekiti wa mtaa anapokuwa anaumwa au hayupo ofisi anakaimishwa nani?

    Ni kweli halmashauri ya mtaa huwa na wajumbe kama ulivyoeleza isipokuwa 1. M/kiti hakaimiwi. Utaratibu ni kwamba, kwa kuwa Mtendaji mkuu wa mtaa ni VEO/MEO ambaye ni mwajiriwa wa Serikali, huendelea na na kazi zote za utendaji na mhuri hurudishwa kwake. 2. katika kuendesha vikao vyote ambayo...
Back
Top Bottom