Search results

  1. Chapakazi

    Video: Slaa auweka wazi Unafiki wa Sitta

    Naona leo Slaa kaweka live mambo yote yaliyokuwa nyuma ya pazia. Kaongelea unafiki wa Sitta kaatika uchaguzi mkuu 2010, kuhusika na CCJ, Unaibu Waziri, kutaka kiti cha Uspika 2010, nk. Sitta ni hatari kwa maendeleo yetu. HAFAI KUWA KIONGOZI WA CHEO CHOCHOTE!
  2. Chapakazi

    Kazi ya Ubaharia

    Jamani wakuu...ivi kazi ya ubaharia ni nini hasa? Huyu Willy naona anajisifia kuwa ni baharia. Je ni kazi gani hasa hiyo?
  3. Chapakazi

    Tanesco seeks Sh408bn loan from local banks - AIBU!!!

    Matatizo niyaonayo: 1. Inakuwaje huyu Public Relations Manager hajui kuwa Tanesco inataka kuchukua mikopo ifikayo Tsh408 Billion? 2. Kwa nini priority ya hii habari imeelekea kupewa Foregin Media? i.e: kwa Managing Director kwenda kuongea nao kwanza na kuwachunia The Citizen 3. Kwa shirika...
  4. Chapakazi

    Why Tanzania is top 'beggar' after Iraq, Afghanistan

    Hii habari imenisikitisha sana ukizingatia tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru. Haya ndio mazao ya ccm na ujinga wa wananchi. Kweli ukimwona mtu yupo CCM jua ni mpumbavu! By The Citizen Reporter Dar es Salaam Tanzania, whose aid portfolio has ballooned to over Sh3 trillion (about $2.89...
  5. Chapakazi

    Sheria ya Dhamana

    Habari Wakuu, Naomba mwenye reference ya wapi naweza kupata sheria ya dhamana atoe hapa, au kama anayo aweke hapa, maana nimesoma habari ya Lema na kushtuka pale hakimu alipogoma kukubali dhamana bila kutoa sababu yoyote. Je hiyo ni sahihi? Hii inaweza ikawa point nyingine kwenye katiba....Haki...
  6. Chapakazi

    Video of the Week!

    Cheki jamaa alivyopewa kitu...!hahahahaha Hii hawezi kusahau maisha...
  7. Chapakazi

    Imagine kwenye 6x6 hapo...

    Embu imagine kwenye 6x6 inakuwaje hapo...hahahaha!
  8. Chapakazi

    UFISADI Marekani

    Govt Dept Marekani imeingia kwenye maji moto baada ya kulipa $16 kwa muffin moja. Huu ndio ule ufisadi kwenye wizara zetu wa chai na maandazi. Only if we had good media!!
  9. Chapakazi

    Ukweli unauma

    Nimemsikiliza huyu jamaa na nimeona ukweli katika utani wake. Kusema kweli imeniuma. Kwa nini Waafrika tukiongea kiingereza kwa accent ya kiafrika tunaonekana wajinga?? Mara nyingi unakuta mzungu anajifanya hakuelewi. I experienced that a lot, lakini siku izi na mimi najifanya siwaelewi. Wengine...
  10. Chapakazi

    Malaysia nako maandamano!! Wanaopinga ya bongo hapa vipi?

    Malaysian police have said they will block access to the capital Kuala Lumpur for 24 hours because of a planned pro-electoral reform rally. Major roads will be shut and public transportation suspended from midnight (1700 GMT). A group calling itself the Bersih 2.0 coalition plans to hold the...
  11. Chapakazi

    Kikwete Hosts 30 US Investors at the State House

    Nimekutana na hii habari kwa Michuzi na picha waweza kuziona hapa: http://michuzi-matukio.blogspot.com/2011/07/president-kikwete-hosts-us-investors-at.html Ivi policy ya investment kwa sasa ni ipi? Criteria za kuwa investor ni zipi? Na wazao tunapewa nafasi gani za ku-invest katika nchi yetu...
  12. Chapakazi

    Happy Dependence Day, America! Love, China

    Katika pitapita zangu nimeokutana na hii. Very interesting and truthful in my opinion. Je sisi nasi twaweza kuandika kama hii juu ya nchi yetu hasa tukiangalia utawala wa ccm na sherehe za miaka 50 ya uhuru?
  13. Chapakazi

    Je, CCM imeweza kutuletea maendeleo?

    Great Thinkers naomba tujadili maendeleo CCM iliyotuletea toka ichukue madaraka. Ivi kuna kitu CCM imefanya 'beyond the ordinary'? Ni sera gani CCM imeweza kusimamia kwa nguvu zake zote kuhakikisha hiyo sera inafanikiwa? Hapa tunaweza kuweka mfano wa ELIMU, Maji safi, Umeme, Kilimo, nk...
  14. Chapakazi

    A Political Revolution in Kenya

    Jinsi Mapinduzi yanavyotokea Kenya huku sisi bado tunaimba na kucheza kama watoto!! Katiba mpya inahitajika haraka!! Lakini tatizo sisi bado tupo nyuma kiakili mno. Watu wengi hawajui umuhimu wa Katiba mpya. Hivyo ni muhimu kuanza na elimu ya uraia. Ama sivyo tutakuja na Katiba mpya...
  15. Chapakazi

    Wakenya na Entertainment

    Cheki hii uone jamaa wanavyojua kuji-entertain! Huyu Churchill live anaburudisha kweli. Bongo zaidi ya ZeComedy, naona bado hii fani inatupiga chenga! P.S: I wonder dance styles za bongo zikoje!
  16. Chapakazi

    Dark Girls - Mbona tunajidharau?

    Juzi nilianzisha thread ikiongelea hii ishu. Wengi wakasema ni uongo. Sasa sijui ni wao ndio wanajidanganya maana naona ni ishu iliyo serious sana. Unaweza kuipata hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/136549-je-ni-kweli.html Leo nimekutana na hii trailer ya Documentary...
  17. Chapakazi

    Obama to speak in Westminster Hall

    This is one of the highest honours any leader can receive from the British. Only three other leaders have given an address at the Westminster Hall. These are the Pope (Benedict), Nelson Mandela and the Queen. A bit of its history: Westminster Hall is the oldest building on the Parliamentary...
  18. Chapakazi

    Nyimbo nyingine kupiga club ni hatari...

    Mimi nashindwa kuelewa nyimbo nyingine wanapiga club. Jana nacheza mziki mara unakuja wimbo wa Enrique Iglesias - Tonight im f*** u. Ghafla mademu wanajirusha kwa nguvu kweli. Nikajua labda leo tunapewa za bure...kumbe wanacheza wimbo tu na ukiisha hao nyumbani wenyewe!! Nadhani nyimbo kama hizo...
  19. Chapakazi

    Maswali Magumu

    Its about Love na hii hisia ya Mapenzi. Nina maswali machache ambayo nimekuwa nikijiuliza: 1. Hii hisia ya love inawezaje kugawanyika? Kwa kugawanyika nina maana kuna love za aina nyingi. Kwa mfano mzazi na mtoto, kaka na dada, marafiki, na wapenzi. Nadhani tunaweza kukubaliana kuwa mapenzi...
  20. Chapakazi

    Je ni kweli?

    Mimi sio mwenyeji wa hili jukwaa, lakini napitapita mara kwa mara angalau kusoma mada. Juzi w/end nilikuwa kwenye kasherehe na vijana wenzangu kutoka mataifa mbalimbali ya Africa (sana Zimbabwe). Mazungumzo yalielekea upande wa ukabili uliopo Zimbabwe - hasa hao Washona na Wandebele. Katika...
Back
Top Bottom