Search results

  1. Chapakazi

    Katiba Zote Huandikwa, Kwanini Si Ya Uingereza...?

    maggid Wacha kudanganya watu. Katiba ya New Zealand imeandikwa. I quote: "New Zealand is often incorrectly described as not having a "written constitution". New Zealand has a constitution, but it is not all in one document, and it includes crucial pieces of legislation, several legal...
  2. Chapakazi

    Mahakama ya Rufaa: Ukishindwa uchaguzi, shitaki mwenyewe

    Huyu jamaa alikuwa muhuni tu! Yani aliona huu uovu wote unatendeka alafu akaa kimya tu! Ni sawa na baba aone mtoto wake anaiba alafu aanze kuongea kwa mafumbo tu! Hovyo kabisa...
  3. Chapakazi

    Mahakama ya Rufaa: Ukishindwa uchaguzi, shitaki mwenyewe

    Mnaandika different opinions only kama mna a different view. Kwa hiyo kama wamekubaliana, hamna haja ya kupoteza muda!
  4. Chapakazi

    Eneo la Oysterbay Police lauzwa kwa mwekezaji!

    Mbona kwenye hiyo habari ndani ya gazeti hakuna mahali inasema pameuzwa? Hiyo idea ya sehemu kuuzwa mleta mada umetoa wapi? au kiingereza kimekupiga chenga?
  5. Chapakazi

    TZ Tumefika hapa?:Ati kufungua ofisi k/koo siku ya ijumaa ni hatari kwa usalama wako na Biashara!!

    alafu amani inawezaje kuwa utamaduni wa mtu? Ivi unaposema 'amani ni utamaduni wetu' hii statement kweli ina-make sense ukiichambua? Au tunaisema kwa vile it sounds good?
  6. Chapakazi

    TZ Tumefika hapa?:Ati kufungua ofisi k/koo siku ya ijumaa ni hatari kwa usalama wako na Biashara!!

    nachukia hii comment 'amani tuliyonayo haikushushwa na Mungu'. Ivi kweli unafikia mahali unamkufuru Mungu namna hii? Hakuna chochote kitokeacho humu duniani bila yeye kuki 'ruhusu'. Kwa maneno mengine, huwezi kufanyikiwa kwa matendo yako peke yako. U obviously have to put work, but God blesses...
  7. Chapakazi

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Hii ya Oman ni ya ngapi?
  8. Chapakazi

    Dk. Mwakyembe afunguka! Aeleza mkakati wa kumuua ulivyopangwa...

    Wanafiki kweli hawa! Juzi Slaa amemwaga Sitta live jinsi alivyo mnafiki. Kama wanawajua hao watu, kwa nini wasiwataje? Mafumbo mengi ya nini? Mnatafuta nini huko ccm? Upuuzi mtupu!
  9. Chapakazi

    Watanzania tumekwisha. Ufisadi kila corner ya nchi!!!

    Hii nchi imeshaniboa. Hatufai kuitwa nchi, bali wajinga!
  10. Chapakazi

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    ivi ccm ina wasomi gani?
  11. Chapakazi

    Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

    Ndio shida ya kuwa na polisi waliofeli darasa la saba na form IV! Ujinga mtupu...
  12. Chapakazi

    Video: Slaa auweka wazi Unafiki wa Sitta

    duh! kazi kweli kweli! Umeelewa nilichoandika?
  13. Chapakazi

    Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

    RIP kamanda. May ur shed blood be the need ammunition to bring the end of a tyrant ccm rule. May u children live in a better Tanzania with an open democracy resulting from your shed blood. May ur blood not have been shed in vain.
  14. Chapakazi

    Video: Slaa auweka wazi Unafiki wa Sitta

    lakini ninajiuliza pia umakini wa Chadema. Baada ya Sitta kuonyesha kutetea ufisadi akiwa kama spika bungeni kwa kugunga mijadala mbalimbali, kumtoa Zitto bungeni, nk (Slaa ameeleza vizuri katika hii video), Chadema walikuwa tayari kumpa ticket ya kugombea Urais kupitia chama chao?! Kwa maoni...
  15. Chapakazi

    Video: Slaa auweka wazi Unafiki wa Sitta

    Chadema wangeweka evidence ingemaliza kila jambo. Maana sasa akikanusha si inakuwa mambo ya 'he said..., she said...'
  16. Chapakazi

    Mdahalo wa Ugomvi: Ati Nyerere alikuwa Dikteta; aliua wengi...

    Figures zipo wapi? Mbona unaandika tu?
  17. Chapakazi

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Hii nchi imeoza sasa! duh! Viva Ukombozi Viva!
Back
Top Bottom