Search results

  1. S

    Makaa ya mawe njia pekee kujikwamua na tatizo la umeme tanzania

    Hello, samahani nntakuwa nje ya topic kidgo, naomba mwenye ujuzi na free energy generator tuyajenge tafadhali!!
  2. S

    Dawa ya ugonjwa wa kisukari

    Assalamualaikum sheikh, naomba faida kuhusu MVUJE
  3. S

    Natafuta sehemu ya kupata whey protein kwa hapa Tanzania

    Aisée mkuu nahitaji hii kitu,na jee kwa mgonjwa aliepungukiwa protein itamsaidia!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Swali langu kwako, je ni dawa gani itakayosaidia mtu mzima 55yrs kuongeza protein kwa haraka !!? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Tatizo lolote la PC/device

    Masaada computer yangu imezima ghafla ina heat Sana indicator ya charge inawaka ukiweka chaji ila ukiiwasha haiwaki kabisa hakuna indicator yyte ni Acer laptop Aspire E1-11 Tafadhali kama kuna fundi mzuri anisadie !!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Jinsi ya kutengeneza umeme kwa kutumia choo!

    Kaka hii mada kwa muda huu inanihusu sana, tafadhalii naomba share na mimi ulipofikia!!!
  7. S

    MSAADA wa kupata Flat screen spair

    Nahitaji Kioo ( LCD)
  8. S

    MSAADA wa kupata Flat screen spair

    Hello guys tafadhali mwenye kufahamu wapi nntapata spair ya SAMSUNG FLAT TV inch 32 na Bei yake naomba nijulishwe nntaipataje nipo GEITA Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
  9. S

    Pata bidhaa mbalimbali hapa

    au nitumi e kwa 0758396255
  10. S

    Pata bidhaa mbalimbali hapa

    Asante sana, ungeweka bei ya kla bidhaa ingekuwa bora sana maana mm nahitaji kuwa mtumiaji tu ila si kujiunga!
  11. S

    Matokeo ya kikao cha majadiliano kati ya CHAKAMWATA na wadau mbalimbali

    CWT mbona hawakaguliwi jamani, CAG inahusu vyama vya siasa tuuu
  12. S

    BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Acha ajenge kaamua kutubu mbona sauli nae alitubu tu kunamtu alimuona gaidi baada ya hapo?
  13. S

    BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Umesema kweli mkuu waaache wapambane na hali zao, waislamu kaeni kimya mchezo huu wataumaliza wenyewe wasitafute huruma ya waislamu!!!!!
  14. S

    BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Sisi waislsmu hatufuati mikumbo hiyo ya nyaraka, na mjuwe kabisa waislamu si watu wa kukurupuka, tunajua chuki zenu dhidi ya uislamu na waislamu hivyo mtego huo hatuingii!!!!?
  15. S

    Haya ndio matokeo hasi ya kutokuwa na Bunge mubashara. Aibu sana kwa wanaoonekana pichani

    Photoshop haijawahi acha mtu salama hapo!!!!
  16. S

    Simu yangu alcatel 5023F haiingizi charge

    Wakuu heshma kwenu,! Simu yangu alcatel 5023F imezingua haiingizi charge na kuna notification inayosema "Phone is charging out now" charge inazidi kuisha na sijui la kufnya ! Tafadhali sana wenye ujuzi na hili natarajia masaada wenu na mola wenu mkarimu atawabariki sana!
Back
Top Bottom