Search results

  1. U

    Ujumbe wa kichungaji wa pasaka 2014 kwa waamini na watu wote wenye mapenzi mema: Katiba mpya

    Kwa kweli nawaunga mkono kwa suala la umoja unaoleta amani ambayo inatupa fursa ya kumuabudu Mungu wetu kwa uhuru zaidi.......Ebu toeni msimamo wenu wa nguvu. Mbarikiwe wakuu wa masinagogi!!
  2. U

    Shibuda kufukuzwa CHADEMA

    Pole sana Shibuda kwani umegusa maslahi ya wenzio bila ya kufahamu ama umefanya maksudi!! CDM wana uhakika sana na 2015, lakini msuguano wa Mbowe, Slaa na Kabwe katika kuwania Urais kupitia Chama hicho unaweza ukaleta balaa na umaarufu wote ukaisha, hakuna aliyekamilika tukifikia kwenye suala la...
  3. U

    Tume ya Warioba kutafuna bil. 40/-

    Kwa kweli Mungu wa Majeshi aingilie kati juu ya suala hili, kwani hata wale niliwaona kuwa ni waaminifu kumbe walikuwa hawajapata nafasi tu ya kuitafuna Hazina yetu ambayo hivi sasa ni nyeupeeeeeeee!!!!!! Najiuliza hivi zile barabara zinazojengwa kwa kutumia fedha za ndani kwa asilimia 100...
  4. U

    Nathan Mpangala!!

    Kwa kweli kuna wenginee wamepewa nafasi hiyo wala hawana maadili kabisa ni hasara kubwa ndugu zanguni
Back
Top Bottom