Search results

  1. kaligopelelo

    SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

    Nilikuwa nahitaji hili portable speaker Lakini nikiangalia bei yake ni ndogo kuliko shopping cost kama ilivyo hapo chini nafanyaje hapa?
  2. kaligopelelo

    Biashara ni imani, kama hauna imani usifanye biashara

    Imani bila elimu ni zaidi ya ujinga. Elimu kwanza
  3. kaligopelelo

    Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

    Naunga mkono hoja kwa asilimia 100
  4. kaligopelelo

    Niulize chochote kuhusu biashara ya duka la rejareja

    Sukari ya sh 500 ni g 150 na Kuna zilizopekiwa tayari Kwa ujazo wa g 150 na unaweza kupima wewe mwenyewe Kwa ujazo huo ingawa siku hizi sukari ya ujazo huo tunauza sh 600. Ila hiyo sukari ya sh 300 hata mimi nahitaji uzoefu .
  5. kaligopelelo

    Hii tabia ya shemeji yenu inanikera, nakaribia kubwaga manyanga!

    Njoo kwangu,nishauza ng'ombe zangu mimi
  6. kaligopelelo

    Shida zisikie tu kwa mwenzako. SIO POA!

    Shida zako zibebe mwenyewe,ukisema uombe ushauri Kwa watu utaishia kuchekwa na na kukatishwa tamaa
  7. kaligopelelo

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Mama Samia wekeza bandari achana na kelele za makapuku
  8. kaligopelelo

    Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

    Wazungu ni nani? Nina mashaka na upeo wako wa kufikiri.
  9. kaligopelelo

    Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

    Kuzaa watoto ni jukumu langu, siwezi kuchukua kitu ambacho si jukumu langu kikaingilia au kuathiri jukumu langu. Kwani wewe unalea watoto wangapi yatima? Pamoja na hayo yote kusaidia ni moyo wa mtu na ndio maana hata masikini wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe kwa kile kidogo wanachopata.
  10. kaligopelelo

    Mlioko Jikoni Pay Roll za August zipoje?

    Kaza Buti Mama wanao wana kelele sana mjini.
  11. kaligopelelo

    Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

    Vinginevyo Dunia ingeshuhudia wale wasiooa/kuolewa wangekuwa matajiri zaidi kuliko waliooa/kuolewa na hawana watoto. Na wale waliooa/kuolewa na wakawa na mtoto mmoja au wachache wangekuwa matajiri zaidi kuliko wenye watoto wengi. Binafsi nina watoto wengi na ninaishi vizuri kuliko baadhi ya watu...
  12. kaligopelelo

    Kwanini Yanga na Singida wapo kambi moja Tanga?

    Kwahiyo Leo mtatoa hamtoi?
  13. kaligopelelo

    Kwanini Yanga na Singida wapo kambi moja Tanga?

    Sasa ulitegemea Yanga wawahurumie?
Back
Top Bottom