Unajua kama biashara zako mjini hauwezi ona umuhimu wa kuwa na line zaidi ya moja, kuna mikoa ukienda hakuna network za voda unakuta ni airtel tuu, vijiji vingi voda na tigo hakuna na kama unabiashara ya mazao maeneo hayo na uko na line moja ambayo haina mawasiliano je utafanyaje??? Pili kama...
Ivii kuna watu serikalini wamemiss zile enzi za Ukoloni?? Mbona kama tunarudi kule kwa zamani!.... maana channel moja nasikia na line moja mwisho tutaambiwa gari moja moja nyumba moja moja mtoto mmoja [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani mtoto wangu anasumbuliwa saana na ameshaanza dawa ya ku spray lakini hakuna nafuu hata kidogo. sasa unaweza kuongea na huyo workmate wako kama atakuwa na namba ya huyo dr aliemfanyia huko KCMC
yaani mtoto wangu anasumbuliwa saana na ameshaanza dawa ya ku spray lakini hakuna nafuu hata kidogo. sasa unaweza kuongea na huyo workmate wako kama atakuwa na namba ya huyo dr aliemfanyia huko KCMC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.