Search results

  1. Ngambo Ngali

    Gerson Msigwa: Tuko mbioni kuanzisha Televisheni ya Serikali itakayorusha Habari za Maendeleo tu

    Ianzishwe na channel ya kuonesha mapungufu ya serikali. Wananchi wana haki ya kujua mabaya na mazuri
  2. Ngambo Ngali

    Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

    MUASISI (sic) neno sahihi ni mwasisi maana yake ni mtu mwenye kuanzisha jambo fulani Kwa maana ya neno mwasisi kama ulivyooneshwa hapo juu wafuatao ndio waasisi wa Upinzani Tanzania baada ya mfumo wa chama kimoja kuwepo Tanzania tokea 1963 1. James Benard Mapalala Chama Cha Wananchi 2...
  3. Ngambo Ngali

    Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

    Mkuu, Wewe uliye mtanzania hebu ielezee historia ya upinzani Tanzania na waasisi wake. Faida ikiwa ni kuelimishana na kuongeza uelewa na sio kulumbana tu bila tija
  4. Ngambo Ngali

    Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

    MBATIA HAJAWAHI KUWA MUASISI WA UPINZANI TANZANIA. KASOME HISTORIA, ELIMU YA URAIA NA SIASA YA TANZANIA ITAKUWEZESHA KUWAJUA NI AKINA NANI WAASISI WA UPINZANI TANZANIA
  5. Ngambo Ngali

    Waziri Simbachawene: CHADEMA walihamasisha makundi makubwa ya watu na daladala nyingi kwenda Magereza

    JokaKuu, Taarifa ya awali ta polisi, taarifa ya magereza,taarifa ya polisi baadaye na hii ya waziri zinapishana kwa kiasi kikubwa sana. Haijulikani ili ni ya kweli ili ya kutunga
  6. Ngambo Ngali

    Waziri Simbachawene: CHADEMA walihamasisha makundi makubwa ya watu na daladala nyingi kwenda Magereza

    Waziri askari magereza hawakuwepo wakati akina mdee wanahamasisha nakutafuta watu wengi kwenda Segerea. Ilikuwaje walipofika Segerea polisi wa magereza wakaacha watu wengine nakuwashughulikia Wakina Mdee pekee na kuacha watu wa kwenye madaladala ??
  7. Ngambo Ngali

    Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Mama Amon, Mahakama ina mchango mkubwa sana Kwenye hili. Mahakama nzuri na huru inapatikana pale ambavyo tume ya mahakama ni huru. Kutenganisha vyombo hivyo mahakama na tume ya mahakama na kuwa na dhana kuwa havina uhusiano na tume ya uchaguzi haitaleta matokeo chanya hata Siku moja
  8. Ngambo Ngali

    Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Ramark, Tume ni chombo kilichoundwa na katiba huwezi kufumua tume peke yake lazima iendane na kuondoa ukiritimba uliopo chini ya katiba ya sasa. Ingawa Kuna mgawanyo wa madaraka lakini kiuhalisia na chini ya katiba ya sasa dhana hiyo haiwezi kufanya kazi. Ona jinsi jinsi tume ya mahakama...
  9. Ngambo Ngali

    Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    With all those sponsored acrobatics you still maintain that ule ulikuwa ni ushindi wa kishindo. If the answer is yes then I have to retire from this discussion
  10. Ngambo Ngali

    Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Mahakama iulizwe kukikuwa na uharaka gani wa kuisikiliza hiyo rufaa ya Mwanasheria Mkuu wa serikali? Ndani ya Miezi miwili rufaa imesikilizwa rufaa nyingine zina miaka zaidi ya sita na hazijasikilizwa. Kulikuwa a nini Kwenye hii rufaa ??????
  11. Ngambo Ngali

    Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Pascal, hii hapo juu sio tatizo la sheria ya uchaguzi. Ni sababu tume ya uchaguzi inaogopa kugombeza na uoga huo unatokana na ukweli kuwa tume haiko huru. Mwenyewe unakiri kuwa CCM inaingia Kwenye uchaguzi ikiwa ni chama dola chenye NEC. Kama unakiri kuwa NEC ni ya CCM unashindwaje kuona kuwa...
  12. Ngambo Ngali

    IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

    DUH this is very serious. Hili ni suala la kitabibu, polisi analizungumziaje suala hili
  13. Ngambo Ngali

    Kwanini Serikali iliamua kuwadhalilisha na kuwavua nguo uchi wa mnyama viongozi wa CHADEMA walipokuwa Magereza? Wahusika wachukuliwe hatua

    Ni utaratibu unaoenda kinyume na katiba. Ni utaratibu unaotweza heshima ya mtu. Ibara ya 16 ya katiba inasema " kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi nafamilia yake na unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake ya...
  14. Ngambo Ngali

    CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania

    Are you writing as a politician or lawyer. If you are writing as a lawyer whom are you representing the accused persons, the complainant, the prosecution or the INTERESTED PARTY ?
  15. Ngambo Ngali

    Meya Mstaafu Arusha achambua kauli ya Dkt. Bashiru, alia na wachochezi

    Atuoneshe ni wapi kwenye sheria ya uchaguzi ni wapi au kifungu gani cha sheria unasema vyombo vya dola vitasaidia kinda amani wakati wa uchaguzi. Stake tu ni kifungu gani
  16. Ngambo Ngali

    Meya Mstaafu Arusha achambua kauli ya Dkt. Bashiru, alia na wachochezi

    Yeye mwenyewe anajinadi kisiasa na anawakataza wengine wasijinadi. Halafu anataka tumsikie
  17. Ngambo Ngali

    Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

    Na huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni kiashiria kingine cha alikuwa na maana gani. Kuanzisha wasimamizi mpaka wote
  18. Ngambo Ngali

    RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

    Kwa nini alikubali Posho ya ujumbe wa Bunge la katiba kama anaona haina haja. Arudishe kama anavyotakiwa kurudisha za TASAF
Back
Top Bottom