nimeona jioni wakati bunge lina ahirishwa na jinsi wabunge wa cuf walivyokuja juu.ukweli chadema wako sahihi na mhe wenje,alikuwa na haki ya kukataa kuomba radhi.nime google vyama vya kiliberali africa,tanzania ni cuf,na vitu waliberali wanachosimamia ni hayo mambo ya ushoga.cuf walipaswa...
da toka lini! Tz,hawachukizwi na kinachowakera wanachi,hawakerwi na kinachowakera wa tz.wanapenda maisha ya ukwasi,hawa viongozi wa aina hii hawatufai.
hii nimesikia dw -radio mahojiano na kamanda wa polisi arusha.wamekamatwa au wanashiliwa na polisi ni watu nane,wanne raia wa saudi arabia ,wawili watanzania.hapa suala si victor au ramadhan.ni nani anahusika na shambulizi la jana,katumwa na nani?.na kwanini?.
Hiyo ndizo kauli ambazo si sahihi,dk bilal hakwenda Arusha kama kiongozi wa kiislam,amekwenda kama Makamu wa Rais ,na ni halali kwake kufanya hivyo.
hebu tueleze huo unafiki wa waislam ni nini?
ha sijui polisi wetu wanafikiri hayo.
kwanza scene au eneo la tukio limeshaharibiwa sana..maana mabaki ya mlipuko yana maana sana.husaidia kujua bomu lilie limetengenezwa wapi ? na utaalam huo umepatikana wapi,ni style ya kina nani?.
i don't who advice the president,kwa sasa alitakiwa awe magogoni au chamwino au angani akirejea nyumbani,kukutana kamati ya ulinzi na usalama na kusimamia tatizo hili.
Siku nyingine ya majonzi ....tunawapa pole waathirika wa tukio hili,
as usual vyombo vyetu vya habari vya kitaifa wameshindwa kutupa habari za tukio hili.
Tatizo la viongozi wa serikali ni kukurupuka na majibu yasiyo na tija kwa wananchi..wanaleta maswali mengi zaidi.
hivi kuna tatizo gani kama ni wa kweli wangechunguza hizo tuhuma?.
chadema wanashindana kwa hoja....na kwa madudu ya serikali ya ccm siku zote watashindwa kwa hoja.
kawaida ya television station zetu hazipendi kukwaruzana na serikali ,sijui kama watarusha hicho kipindi huenda wakasema kinahatarisha usalama wa nchi tusubiri tuone....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.