Search results

  1. A

    Kwa waliowahi kuomba kazi online kwa zoom Tanzania

    Salama wakuu. Leo nilikuwa na task ya kuomba kazi. Baada ya kumaliza ku edit CV, nikaanza zoezi la kutuma application. Nikiwa katika mchakato huo ( najaza zile fields), nikakuta field moja INANITAKA NIJAZE linkedIn URL. Hapo Sasa ndipo nilipokwama. Nikajaribu kuweka www.linkedin.com lakini...
  2. A

    Uhalali wa kipengele cha ukomo wa uongozi CHADEMA

    Ndg wana jukwaa Taarifa ya habari ya asubuhi hii ya saa nne ya star tv inasema Kwamba, mwenyekiti wa bavicha john heche, Katibu wake ndg munishi na naibu Katibu bara somebody daffa, wamesema hawatogombea nafasi zao tena, Ili kukidhi kifungu cha katiba ya chama kinachohusu ukomo wa uongozi...
  3. A

    Boti isiyotumia nahodha yavumbuliwa Tanzania

    Mvumbuzi wa boti isiyotumia nahodha, Emmanuel Bukuku akitoa ufafanuzi wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Dar es Salaam. Mamlaka ya Mafunzo na Ufundi Stadi (Veta) imevumbua boti...
  4. A

    Lula wa Ndali Mwananzela na sakata la CHADEMA

    KWELI bado lipo tumaini. Hata kwa watu ambao walitarajia kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kingeweza kuvunjika vipande vipande na kila mtu kugawana mbao, inawapasa wavute pumzi kidogo na kuona kilichotokea na kukiri kuwa labda CHADEMA watasalimika. Kwamba kweli CHADEMA...
  5. A

    Chadema jimbo la nzega waanza harakati za kulikomboa jimbo hilo rasmi ifikapo 2015

    Jimbo la Nzega litakombolewa rasmi 2015, kamanda mpiganaji, experienced proffesianal engineer ( jina namhifandhi kwa sasa) tayari ameshaanza kazi nzega akishirikiana kwa karibu na viongozi wake wa jimbo la nzega kupitia CHADEMA, mpaka ifikapo 2015 magamba watakuwa wameshasahaulika nzega...
  6. A

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Habari wana JF Ni muda sasa, tangu mwezi wa sita hivi nimekuwa nikisikia kwamba Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuzuia wafanyakazi wa sector binafsi kuchukua NSSF zao mpaka wafikishe umri wa kustaafu uliowekwa na seerikali, like 60yrs. nilisikia kwamba mpango huu ulikuwa uanze mwaka huu...
  7. A

    J.K Nyerere na siasa za maji taka

    Nani alishawahi kuusikia huu wimbo wa Mchaka Mchaka ? " Kambona , ah, ah! Kambona, ameolewa! Wapi? Uko Ulaya! Wivu? Wamkereketa!" Ulikuwa maarufu sana mashuleni siku za nyuma, sina uhakika kama bado unatumika mpaka leo. Ulikuwa ni wimbo wa kumdhalilisha Kambona baada ya kukimbilia...
Back
Top Bottom