Search results

  1. MCHARO

    Wakazi wa kata ya Chome wanaoishi nje ya kata hiyo wameunga mkono jitihada za serikali kuboresha miundombinu ya barabara ya urefu wa kilomita 15

    Uko Sahihi kabisa Chalao Sekondari ni Miongoni mwa Shule 3 zenye kidato cha 1 hadi 4 ikiwa na Maabara Tatu zinazojitegemea kwa Masomo ya Fizikia, Kemia na Elimu ya Viumbe.
  2. MCHARO

    Wakazi wa kata ya Chome wanaoishi nje ya kata hiyo wameunga mkono jitihada za serikali kuboresha miundombinu ya barabara ya urefu wa kilomita 15

    Wakazi walioko Nje ya Chome wanaitwa "Wacharo" Barabara iliyo tengenezwa na TARURA ni Msanga hadi Ndiveni.
  3. MCHARO

    Wakazi wa kata ya Chome wanaoishi nje ya kata hiyo wameunga mkono jitihada za serikali kuboresha miundombinu ya barabara ya urefu wa kilomita 15

    Kata ya Chome ina kwamishwa na Barabara na nitasema kwa nini 1.Chome ina Msitu wa Hifadhi ya Dunia ambao ni fursa kubwa kwa Utalii, kikwazo ni Barabara na TFS wanalifahamu. 2. Chome haina Soko la Kisasa japo kuwa na Kilimo kinacholeta Maeneo mengi ya Same na Mikoa Mbalimbali. Soko la Chago ni...
  4. MCHARO

    Waziri Prof. Ndalichako aibana NECTA kuhusu matumizi ya GPA

    Wana JF kuna mambo ya msingi ambayo hayahitaji ushabiki wa mawazo kama sio Mtaalamu. Mimi ni mwalimu na Sioni maana ya GPA kwenye Elimu ya sekondari pamoja na kuondoa penati ya Hesabu. Tunaweza kujidanganya tunasoma badala ya kusonga mbele tukawa tunapiga gwaride tu lakini hatusogei. Mfumo wa...
  5. MCHARO

    Carrier Opportunities at TPDC - NEW

    Dar university dont accept diploma from 2001 for education to join undergraduate courses !!!!!!! How many gvt do we have ? Who is the boss? Ministry or udsm
  6. MCHARO

    Carrier Opportunities at TPDC - NEW

    I just wish if u had a knowledge on body language and characters
  7. MCHARO

    Careers in zain

    Could i share messages from jamii members as from today ?
  8. MCHARO

    Careers in zain

    Hallow could i get more detailed information on the attachments concerning Zain . thanks
Back
Top Bottom