Search results

  1. D

    Tiba ya kansa ya damu (saratani)

    Huyu ndugu yangu ana kansa ya anal na bladder, tumeshaonana na madaktari wanasema inabidi apasuliwa ili kupambana na shida hii.
  2. D

    Tiba ya kansa ya damu (saratani)

    Naomba kujua tiba ya kansa ya kitaalamu au tiba mbadala tafadhalini.
  3. D

    Natafuta tender ya jiko kwenye Bar/Grocery/Restaurant

    Fanya mawasiliano na mwenye namba hii 0715994725 ana sehemu nzuri ya biashara hiyo.
  4. D

    Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

    Na wiki iliyopita siku ya Ijumaa kama sijakosea sana, alikuwa anaunga mkono hoja ya Mh. Mbatia bungeni kuwa serikali inapaswa kuimarisha masomo ya shule ya msingi kwa kuyapunguza na kubaki na 3K yaani: Kusoma, Kuandika na Kuhesabu. Mh. Mulugo akasema wao wizarani wamelijadili hilo na wamekuja 3R...
  5. D

    Raha lakin mbona naumia?

    Acha kwenda kigoma kwenye madini ingawa umemsifu kuwa ni msafi.
  6. D

    Kumbe mume ni Buzi tu!

    Hii kali, lakini ndivyo ilivyo kwani angalia kama umeoa na mke wako anafanya kazi, umewahi sikia kuwa mwezi huu mwanamke atatoa angalau chakula tu. Hata kama anamshahara na anausafiri wa kwenda kazi mume ndio atamjazia mafuta katika gari hilo.
  7. D

    A trouser

    Huo ndio ukweli!!!! Teeeh teeh
  8. D

    Huyu Dada anastahili pongezi kwa kweli...Tazama.

    Naona watu wanaimagine picha kisha wanatoa comment, sioni kitu kabisaaaaa!!!
  9. D

    bora akili au akili bora ?

    Hapo anaonyesha matumizi mengine ya nguzo za umeme wakati wa mgao wa umeme. Hasa hapa bongo.
  10. D

    Huyu bosi vp

    Nenda kascan hiyo flash kijana.
  11. D

    Wazo tete la dr. Olomi

    Nimekuwa nafuatilia jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa inavyozidi kushika kasi, ikipelekea ule wigo wa kuomba michango kupanuka kiasi kwamba sasa hata mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba mchango. Aidha michango na sherehe hizi zimekuwa mzigo mkubwa sana kwa...
  12. D

    Miss JamiiForums

    Swadakta
  13. D

    Kiwanja kinauzwa - pugu mwakanga

    Wa ndugu habari za Alasiri, Ninauza kiwanja, kipo maeneo ya Pugu Mwakanga kuelekea CHANIKA. Kimepimwa na kina letter of offer na ukubwa wake ni 971sqm. Bei ni 5.7 M tu. Kipo sehemu nzuri kabisa iliyotambarare.Upande mmoja kinapakana na Barabara ya mtaa. Mawasiliano kwa njia ya simu...
  14. D

    The Tanzania Law of Contract

    Mimi nilivyomwelewa ni kuwa wengine tusimwekee hiyo kitu mpaka mwanakijiji atakapo shindwa kufanya hivyo.
  15. D

    Ibada ya "maombEzi "

    Hilo lazima liwe pepo la ngono linalotolewa. Hata lugha inayotumika hapo ni ile kunena kwa lugha ambayo wahusika hapo hawaielewi. Hah haaaaaaaah haaaah
  16. D

    Graduate Salary: The Market Rate

    topilo View Profile View Forum Posts Private Message View Articles Add as Contact Junior Member Join Date Wed Aug 2010 Posts 1 Thanks : 0 Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power0 natafuta kazi ya...
  17. D

    Kiwanja kinauzwa

    Nilikuwa offline kidogo, nilirudi nimeona vijana mmejadili hili dili kwa upana sana, Thanks all of u!!!. Hicho kiwanja hakina hata mti wa kung'oa, nimeshakilima majani mara mbili, Ki-ukweli hutaweza kujutia kukipata. Kupimwa kuna maana kuweka plan ya barabra na huduma nyingine muhimu sehemu...
  18. D

    Kiwanja kinauzwa

    Naona nimepelekee PM huyu shapu ili tunene kwa lugha. Haaha hahahaaa
  19. D

    Kiwanja kinauzwa

    Ndio mkuu, ninasogeza rasilimali moja ili iboreshe rasilimali nyingine.hihiiiiiiii.
Back
Top Bottom