Search results

  1. M

    Nini hasa maana ya utajiri?

    Utajiri ni fikra zako tu kila mtu ana mtazamo wake kuh dhana ya utajiri
  2. M

    Wanawake acheni unafiki

    halafu its like wanawake ndio watoa huduma ina maana na wewe unapojipinda hutoi huduma?
  3. M

    Wanawake acheni unafiki

    unajitia hujui wakati wewe ni mteja wao mkubwa, nenda kwenye madanguro utawakuta wao pesa kwanza kikojoleo baadae, hao wala hawahitaji hata kujua jina lako ukilipa unahudumiwa kwani hujui ? uwanja wa fisi huwa unafuata nini kila siku?
  4. M

    Usifungue uzii huu kama huna cha Ku comment

    mi najua kama wewe nimwanamume kweli na mpaka leo bado unatafuta style basi una matatizo flani hivi.. either you are too young for that au haisimami ndio maana hujui cha kufanya hadi leo... nenda shule dogo hizi style kila siku zinaibuka mpya zisikupotezee muda umeskia dogoo point 4...
  5. M

    Wanawake acheni unafiki

    talking about money mnayonunulia kumbe ni sh.2000:(:( no wonder....
  6. M

    Sina furaha, ninatamani kurudi kwa wazazi wangu

    At age of 25 still need to go back home, u must be jocking:oops: Unapotafuta maisha, jitahidi sana kuwa positive katika safari yako nzima, umri ulionao sio mdogo wa kukumbatiwa na ndugu, jitahidi usome unachosoma, ukaafute maisha mbele ya safari, usije ukajenga hiyo negativity yako ikamfikia...
  7. M

    Wanawake acheni unafiki

    sundoka ututake radhi kaka, wanaojiuza wanajulikana hata wanakouzia 'vikojoleo' vyao kwa hiyo kugeneralize kuwa wanawake wote sio sawa, inamaana hata mzazi wako wa kike anauza kwa mzazi wako wa kiume:(
  8. M

    Kutoka Dodoma: Fred Mpendazoe atangaza rasmi kurudi CCM

    njaa mbaya , ana kiu ya uongozi tu akikosa hawezi kukaa kama mwanachama wa kawaida, hiyo dhana si nzuri sana kwani hakuna alieumbwa kuwa kiongozi tu
  9. M

    Lake Ngozi (Ziwa Ngozi) na simulizi za ajabu

    poleni, haya maziwa yana maelezo yake ya kisayansi na kijiografia, sema kwa wasiojua ndio wanayahusisha na kuwa na maajabu mara mashetani lakin kiukweli ni kwamba kina chake huwa ni kirefu sana na ni kama shimo na hivyo kusababisha kinachoingia kuvutwa chini na kushindikana kutoka, but hilo la...
  10. M

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Mada ni nzuri sana kwa kweli na mimi imenielimisha vizuri ingawa sijamaliza kusoma post zote
  11. M

    Gharama za uendeshaji wa gari

    Hata japan walianza kama sisi, tupongeze pale ambapo kuna jambo la kujiongeza limetendeka, matatizo ya kiutendaji mahali popote mfumo mpya ukianzishwa hutokea na baada ya muda hufanyika tathmini ya mafanikio na matatizo na kutafuta ufumbuzi na kuboresha.
  12. M

    Uhuru wa mwanamke mwisho ni mlangoni

    hiyo heading ilinishtua kuwa uhuru wetu mwisho mlangoni???? kumbe aaah hayo mambo madogo, kwani huyo mwanamke atakuwa anatafuta nini sehemu hatarishi kama hizo???
  13. M

    Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

    eeeh eeeh hivi kumbe degree 1 nayo ni elimu ya kumfanya mtu amdharau mwenzake !!! kama kwenye elimu hakufai naamini kuna maeneo anayamudu vema esp ya kitandani thats why kila ukiwaza kumuacha kwa ajili ya elimu ukikumbuka utamu wa kitandani unamrudia mbio! chezea uroda wewe....
  14. M

    Alamsiki wana JF

    asante, nawe usiku mwema ulale unono!
  15. M

    Simuamini tena mke wangu!

    labda mkeo ambaye anapata pesa ndogo hivyo haoni cha kufanyia zaidi ya hayo uliyoyataja, lkn sisi wengine pesa zetu zinafanya mambo makubwa sana hadi wanaume wanatuheshimu kwa hayo tunasomesha tunajenga tunaendesha maisha na familia zetu tunanunua magari kwa pesa tulizozifanyia kazi, acha dhana...
  16. M

    Msaada wa wataalamu wa kutoa b**ra msichana

    mh nina mashaka na uume wako kama kweli huwa unasimama!!! mara tatu uume ulale kisa tu kelelee za i mtu ambaye tayari alikubali hadi kuvua nguo !!! kwanza kwa taarifa yako ck hz hakuna hata hizo bikiri za kuvunja kwa nyundo, hizo zilikuwa enzi hizooo miaka ya 80 kurudi nyuma
  17. M

    Ni yupi MKE anayefaa: Mfanyakazi au asiye na kazi (golikipa)?

    labda mie ndio sielewi jamani, nijuavyo mimi MKE ni MKE na KIPATO ni KIPATO havina uhusiano wa karibu wa moja kwa moja. Halafu sikuwahi kufikiri kama mpaka leo kuna mtu ambaye ameelimika japo kwa level ya degree 1 ambaye bado anaamini kuwa mwanamke as long as haendi kazini basi anakula na...
Back
Top Bottom