Kwa muda mrefu nilikuwa napenda kusikiliza kipindi cha "Je Wajua?" cha RFA ambacho kinarushwa Jumapili saa 9:30am (sijui kama bado kinarushwa). Nilikuwa nafurahia habari za kushangaza na kusisimua ambazo mara nyingi zilikuwa zinatoka tovuti ya bilieveitornot.com au jarida la Guiness World Book...
Habari wanajamvi. Nimekuwa nikifikiria kwa muda sasa kuhusu suala la haki na nikaona ni muhimu kutunza rekodi ya matukio ya uhalifu yanayotokea Tanzania ili kuwasaidia wananchi, wapigania haki, wapigania haki za binadamu, wanasheria na waendesha mashitaka kupata sehemu ya kuanzia wanapoamua...
Najua kuwa pengine hili si suala la kipaumbele kwa kuwa mko 'bize' kuwafikia wananchi moja kwa moja, wengi ambao pengine hata hawatawahi hata kuitembelea tovuti yenu. Pia, katika ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii, ni rahis zaidi kwenu kuwafikia wanachama wenu, Watanzania na ulimwengu kwa...
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2015, aliyekuwa katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) wakati huo, Bw Nape Nnauye, alidai kuwa CCM ingeshinda uchaguzi huo hata kama ingekuwa kwa goli la mkono.
Bw Nnauye alikuwa akiufananisha uchaguzi huo na mchezo wa mpira wa miguu. Katika mpira wa...
Tunapozungumzia maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu, CCM na wapambe wa Rais Magufuli huwa hawaelewi kabisa. Trevor Noah kutoka The Daily Show with Trevor Noah anamhoji mkurugenzi wa shirika la fedha duniani (IMF), Bi Christine Lagarde kuelekea mkutano ujao wa mataifa 20 yenye uchumi...
Rais Magufuli, kwa muda mrefu yamekuwepo malalamiko juu ya katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano, wala hayakuanza wewe ulipoingia madarakani. Serikali iliyokutangulia ikiongozwa na Raisi Kikwete ilikumbwa na kashifa nyingi za ufisadi, ubadhirifu na rushwa (IPTL, Escrow, Richmond, n.k.) mpaka...
TANESCO, kuna malalamiko sehemu mbalimbali za nchi kuhusiana na mpango wa usambazaji umeme vijijini (REA) ila sauti za wananchi zimekosa uwakilishi. Nitazungumzia yale niliyoyaona huko Rungwe, katika vijiji vya kata ya Kalalo.
Sehemu nyingi umeme waliunganishiwa watu wachache tu, tena wale wa...
Habari zenu wakuu.
Leo nimepita kituo cha mabasi cha Mbezi Louis almaarufu Mbezi Mwisho. Kama picha zinavyoonyesha, kati kati ya sehemu ya juu na ile ya chini (zinapopaki gari za Gongo la Mboto) za kituo , taka zinachomwa na moshi kusambaa kituoni. Huu ni uharibifu wa mazingira. Pili, ni...
By Pius Muteekani KatunziFormer Prime Minister John Patrick Amama Mbabazi has finally done what he ought to have done a long time ago. He has declared he will run for presidency outside the National Resistance Movement (NRM).
Mbabazi said although he had not quit the party, he would not be its...
Mwandishi anataja mambo machache kati ya mengi ambayo itakuwa ni mwiko kuyatolea taarifa za kiutafiti endapo muswada wa sheria mpya ulioleta mkanganyiko utasainiwa na Raisi.
Macho ya ulimwengu yanaiangazia sheria hii.
Five charts that may soon be illegal in Tanzania - The Washington Post
Wanajamvi,
Kwa yeyote mwenye kopi laini (soft copy) ya kitabu cha historia ya Tanzania, hasa vile vilivyoandikwa na Taasisi ya Elimu Tanzania, naomba anitumie au kuiweka hapa jamvini kama inawezekana.
Asante,
Freesoule
Kwa muda mrefu nilikuwa napenda kusikiliza kipindi cha Je Wajua? cha RFA ambacho kinarushwa Jumapili saa 9:30am. Nilikuwa nafurahia habari za kushangaza na kusisimua ambazo mara nyingi zilikuwa zinatoka tovuti ya bilieveitornot.com au jarida la Guiness World Book of Records.
Lakini pia nilikuwa...
Hi Tech giants, hope you are doing well.
I've a 14GB memory card that I've been using in my Android phone, but it got corrupted after the phone crashed down. It changed it's format from the normally readable one (was FAT32) to a raw, Windows unrecognizable format (RAW).
Now I've tried so many...
Katika chaguzi nyingi zilizopita hapa Tanzania mengi yamekuwa yakijitokeza. Mojawapo ni wapenzi wa vyama mbalimbali kutoridhishwa na asilimia ya ushindi wa vyama vyao. Si mashabiki na wapenzi tu, bali hata kwa viongozi wenyewe wa vyama limekuwa jambo la kuwashangaza kuona tofauti kubwa...
Hellow members,
I've been trying to apply for a passport to the Ministry of Home Affairs but they pose somewhat difficult conditionalities.
As a cititizen I think I've got the right to own a passport since I can travel at any time upon my wish. I don't want to rush for the last minute to apply...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.