Search results

  1. S

    Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake

    Hivi Kikwete ametekeleza hii ahadi ya kumwita Mnyika, DAWASA na DAWASCO Ikulu kuhusu maji? serayamajimbo
  2. S

    Picha: Mbunge Mnyika akabidhi madawati 120 S/M za Manzese

    Halafu kuna mtu amezusha huku kuwa Mnyika hajawahi kwenda Manzese wakati wowote toka achaguliwe serayamajimbo
  3. S

    Emanuel Buhohela acha kumzushia Mh.Mnyika

    Mbona japo manzese uzuri ali kwenda JOHN MNYIKA: Hatua kuhusu maafa katika Jimbo la Ubungo
  4. S

    Full Text: Hoja Binafsi ya Mnyika iliyozua kizaazaa bungeni (na Ripoti ya CAG)

    Hoja hii ya Mnyika bado ina umuhimu ili ufisadi kwenye mradi wa mabomba ya mchina uweze kubainika na wahusika waweze kuwajibishwa serayamajimbo
  5. S

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    Hii ni mwaka 2015 mwanzoni, telabite hebu tupe mwelekeo
  6. S

    LIVE UPDATES: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya ukombozi - MANZESE

    Safi sana kwa picha hii, naona umma ulipiga kura ya wazi kukubali msimamo wa chama. Niliona pia kwenye taarifa ya habari ya ITV watu wengi walivyokuwepo kuunga mkono. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
  7. S

    Mwanakijiji: CHADEMA ilete muswada wa mabadiliko ya sheria ya Tume ya Uchaguzi

    Mwanakijiji, Hayo unayoyasema mbona tayari Kamati Kuu ya CHADEMA imeshaamua kwamba Kambi Rasmi ya Upinzani iyatekeleze mwaka huu wa 2013? soma hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/390684-kamati-kuu-ya-chadema-katika-mkutano-maalum-kwa-siku-mbili-3.html serayamajimbo
  8. S

    Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

    Nape na Shonza ni vizuri wakaangalia haya matokeo ya kura wajue mwelekeo wa 2015. serayamajimbo
  9. S

    Mnyika awabana Spika Makinda na Waziri Dr Kigoda ufisadi wa kiwanda cha Urafiki

    Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika amebana Spika wa Bunge Anna Makinda na Waziri wa Viwanda na Biashara Dr Abdalah Kigoda kwa kukwepa kuchukua hatua juu ya madai ya ufisadi katika Kiwanda cha Nguo cha Urafiki. SOMA SPIKA ASILINDE UFISADI KIWANDA CHA URAFIKI NA WAZIRI KIGODA ASIKWEPE KUTOA...
  10. S

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    Aliahidi, ametekeleza? serayamajimbo
  11. S

    Majibu kwa Mnyika na CHADEMA juu ya watumishi wa umma na mikutano ya CCM

    Nape mbona hajarudi tena kwenye hii hoja? serayamajimbo
  12. S

    Mnyika ataka SUMATRA idhibiti nauli Kiluvya na Kibamba

    MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetakiwa kudhibiti nauli za daladala zinazofanya safari zake katika barabara ya Morogoro. Inaelezwa kuwa daladala zinazokwenda Kata ya Kibamba zinatoza sh 650 na zile zinazokwenda Kiluvya zikitoza sh 900. Mbunge wa Ubungo, John...
  13. S

    John Mnyika anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012

    Kazi yake bungeni na jimboni inajieleza;https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/311117-taarifa-fupi-kuhusu-kazi-za-maendeleo-jimboni-ubungo-amua-10.html
  14. S

    John Mnyika anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012

    Kazi zake zinajieleza bungeni na jimboni kwake: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/311117-taarifa-fupi-kuhusu-kazi-za-maendeleo-jimboni-ubungo-amua-10.html
  15. S

    BAVICHA: Tupo nyuma ya Dr Slaa hadi mwisho

    Bavicha Mkoa wa Singida, wameibuka na kuwaunga mkono wenzao wa Mwanza kwa kusema kuwa watasimama nyuma ya Katibu Mkuu huyo hadi mwisho wa mapambano. SIKU chache bada ya Baraza la Vijana wa Chadema Mkoa wa Mwanza kutamka kuwa hawako tayari kuunga mkono maandamano ya kumpinga Katibu Mkuu wa...
  16. S

    Mnyika amkaba koo Mwakamele Ufisadi TANESCO

    “Kauli ya Mwakamele kwamba yupo kiongozi mmoja wa Tanesco ambaye alimwomba rushwa ya Sh100 milioni, ikiwa ina ukweli inazidi kudhihirisha kuwa mtandao wa ufisadi ulioko ndani ya Tanesco na Mwakamele, anapaswa kuhojiwa na Takukuru, ili ataje jina la mtuhimiwa huyo wa ufisadi,” alisema Mnyika...
  17. S

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Jina: Kubenea Kabila: La Mafia Dini: Muislamu Madai- 1. Zitto anatumiwa na unasalama wa taifa: Usalama wa Taifa wavamia CHADEMA | Gazeti la MwanaHalisi 2. Zitto na Rostam Aziz:Zitto ahusishwa na Rostam | Gazeti la MwanaHalisi 3. Zitto kuhujumu wagombea wa CHADEMA kusaidia vyama vingine...
  18. S

    VIJANA wa CHADEMA Mwanza waja juu, wasema watakilinda chama, viongozi wao

    Tayari Magafu amevuliwa ukatibu, BAVICHA Taifa kwanini isimfukuze kabisa uanachama? serayamajimbo
  19. S

    Mbowe: Mwaka 2013 CHADEMA kutangaza nguvu ya umma rasmi endapo...

    Ni kweli, nguvu ya umma mpaka kieleweke. serayamajimbo
  20. S

    Rais Kikwete na Mnyika ndani ya nyumba uzinduzi wa Hospitali ya Sinza!

    FMES, Mbona umeweka pia moja? Weka picha zingine basi tuone namna ambavyo Rais Kikwete na Mnyika walizindua Jengo kwa pamoja. Unadhani kwanini hakuwepo Mkuu wa Mkoa, au wilaya au Meya ikawa Mnyika? Kama hukuwepo ona hapa kwa mpiga picha wa Ikulu: MICHUZI: RAIS KIKWETE APOKEA MAJENGO MAPYA...
Back
Top Bottom