Mwenge una faida nyingi kubwa kuliko zote ni;
1. Unajenga Uzalendo na Umoja. Wakimbiza Mwenge hawatoki Mkoa mmoja lkn Mwenge huwaunganisha. Wananchi Mwenge unakopita hupata taswira ya umoja wetu.
2. Mwenge unaharakisha ukamilifu wa miradi ya Maendeleo
3. Mwenge ni mwakilishi wa Rais, taarifa...
Najua ni vigumu kuamini maovu ya kundi hilo, lakini mtaka ukweli aende kijiji cha Lwande kuuliza Wananchi wa hapo juu ya kundi hilo utapata ukweli. Na ni vema utakapoenda ukajisema kuwa wewe ni mtafiti maana waweza kuuawa na waislam wa Lwande, Lulago na Kwamfyomi. Matendo mabaya ya makundi hayo...
Mimi ni mkazi wa Kilindi kundi la Wahuni waliojiita waislam liliweka kambi kijiji cha Lwande (kambi hiyo iliitwa Kandahari) kambi nyingine iliwekwa kijiji cha Kimamba kata ya Negero ilijulikana kama Madina. Jamaa hao waliungana na baadhi ya wenyeji na kuweka kambi hizo. Wakiwa maeneo hayo...
Sifa zote ninazo lkn nami ningependa nitest hiyo nani hiiiiii".......... !!! Si unajua yaweza kuwa haiendani na ninayotaka Mimi. Pia toa contacts zako tutafutane. Kununua mbuzi kwenye gunia is not an issue. You know!!?
Watanzania tuna tatizo la kuangalia wajibu wa wengine na kusahau wa kwetu. Mfano mtoa mada hajasema yeye amewasaidiaje baada ya kuwaoona hapo!!!! Au amewavizia akapiga picha na kuleta lawama zake kwa wengine. Tafakari Chukua Hatua
Wasanii ni binadamu na wana haki kujiunga na Chama chochote wanachokipenda kuwabeza ni ufinyu wa uelewa wa demokrasia. Lkn pia wasanii wanaoona Chama makini na chenye mwelekeo wa kimaendeleo. Baadhi ya vyama hapa Tz havina ustaarabu na vina lugha chafu ambazo kwa Watanzania wenye Akili timamu...
Msioone vyaelea vimeundwa, hadi hapo alipofikia ni watu wamemtengeneza. Fanya kazi Jack usibweteke na misifa hiyo ya wenye pepo za ngono. Ingawa hata mm unaniumiza sana ukiwa umekunja ndita zako.
Mwaka Mpya ni mwaka wa dini hususani dini ya kikristo kwa sababu hii miaka inahesabiwa kuanzia alipozaliwa Nabii Issa ( Yesu Kristo). Na suala la saa kuanza saa 6:1 Ucku ni suala la kijiografia kwani linategemea mzunguko wa dunia. Ushauri Wangu kwa Watanzania minor things kama hizi zisitufanye...
Mimi ni Muislam na nipo Kilindi kulikotokea hayo yanayosemwa. Kiukweli walioshambuliwa na polisi SI WAISLAM kwa matendo yao. KUFUNDISHA WATOTO KUUA, KUCHUKIA MAKUNDI FULANI YA JAMII, KUNYANG'ANYA ARDHI WATU, KUUA WATU HADHARANI KAMA KULE LULAGO, KUKATA WATU MIKONO, KUENDESHA MAFUNZO YA KIJESHI...
Acha unafiki. Acha kulisha watu sumu, kama ulishiriki kikao hicho kwann hukusema mapema. Huo ni unafiki na uzandiki, tutaaminije maneno yako pasipo kielelezo chochote!!? Wadanganye wasio na uwezo wa kutafakari mambo mimi muelevu siwezi kamwe kuamini uzushi wako. Lindeni heshima ya nchi yetu kwa...
Hao ndio wapewe madaraka!!!!!? Nchi yote itakuwa ni ya mahayawani. Too much ubinafsi , too much unafiki, too much ukabila. CHADEMA hao. Watanzania oneni Mungu anavotupenda, tuwaepuke CHADEMA too much ujingaaaaaaaaa
Dr Slaa ameonyesha jinsi alivo boga na mchonganishi. Wao CHADEMA ndio wanao chaguana bila kuangalia sifa bali uhawara na ukabila na chama hakijaonyesha kukemea tabia hiyo Kama CCM walivofanya. Kinana na CCM mnajua kuongoza kwa maslahi ya Watanzania. CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO ( CHADEMA )...
Big up Mh. Kikwete, kubwa ambalo pia amefanya ni kutoa uhuru wa watu kujieleza, kutoa maoni, kumkosoa n.k kupitia uhuru huo Serikali yake imeweza kufanya kazi kwa umakini na kufanikiwa kutekeleza miradi mikubwa kwa ufanisi. Lkn pia ni Rais alieonyesha uvumilivu na kutafsiri kwa vitendo...
Jamani tuwe waungwana mbona naangalia live kupitia Tbc 1 na naona jinsi watu walivosheheni na Mc anasema huko nje nako watu kibao wanaendelea kuingia uwanjani,!!! Kusema sherehe zimedorora ni unafiki. Mwenge Oyeeeeeeeeeeee!!
Kamwe hamuwezi kushawishi Watanzania kuiacha CCM kwani wanatambua hakuna mpinzani wa kukizidi, kina sifa zote hakina udini, ukabila, wala ubinafsi. Ni chama cha Watanzania. Watu hawaitaki CHADEMA kwani ni chama cha kikabila CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO, Mpo hapo.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.