Search results

  1. kwemsangazi

    Nahitaji HP Pavillion 2511x Monitor

    Muhali gani wakuu wa kaya? Naomba msaada kwa yeyote mwenye kuweza kunisaida kuipata Monitor tajwa hapo juu iwe kwa kuagiziwa nje au vyovyote vile. Napatikana Dar es Salaam, naomba kuwasilisha.
  2. kwemsangazi

    Msaada: Ninahitaji nyumba ya kupanga NHC

    Wandugu salaaam za Eid ziwafikie wote popote mlipo. Naomba kufahamishwa namna navyoweza kupata hizi nyumba za kupanga za National Housing. Naamini nitapata ushirikiano wa kutosha toka humu jamvini.
  3. kwemsangazi

    Hospitali kuu ya taifa MUHIMBILI mnatia aibu...

    Nasema haya kwa masikitiko makuu kwani tangu saa nne nipo jirani na mgonjwa ametoka handeni kaandikiwa na daktari akafanyiwe kipimo cha xray cha ajabu mhusika mkuu hayupo eti ameenda kula ni masaa mawili sasa yamepita. Inasikitisha sana kwakweli utoaji wenu wa huduma hauridhishi. Nawasilisha
  4. kwemsangazi

    Suzuki Escudo manual inahitajika haraka

    Kwa mwenye gari tajwa hapo juu naomba tuwasiliane. Sifa za gari: 1. Gari iwe ya milango mitano 2. Iwe manual 3. Hali ya gari iwe inaridhisha kwa muonekano wa ndani na nje 4. Bei yake isizidi milioni 5.5 Tuwasiliane kupitia 0754-342-034
Back
Top Bottom