Search results

  1. TheChoji

    Hivi ni kwanini wanawake hamjiui kwasababu ya mapenzi?

    Nimetoka kusoma kisa cha mwanamuziki mmoja wa Zambia ambae amejiua na kuacha ujumbe mrefu kwamba chanzo cha kifo chake ni tabia ya mkewe kuchepuka kulikopitiliza ambapo jamaa ameshamfuma zaidi ya mara 15 kitandani kwake akiwa na wanaume tofautitofauti including ndugu, jamaa na marafiki zake...
  2. TheChoji

    Hivi Corona bado ipo?

    Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali. Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo...
  3. TheChoji

    Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

    Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu...
  4. TheChoji

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikuwa nadhani hivyo! Cha ajabu ni kwamba kila ninapojaribu kutia mguu kwenye biashara nachezea za uso mbaya kabisa najikuta natoka...
  5. TheChoji

    Mgao wa umeme unaivua nguo Serikali

    Hakuna haja ya salamu. Unajua kuna vitu unaweza kupiga siasa, ukapiga porojo, ukatia nakshi nakshi, ukatetea nk na watu wakakuelewa. Ila inapokuja kwenye vitu ambavyo vinaonekana wazi na vinaathiri maisha ya watu MOJA KWA MOJA kunakua hakuna kiasi cha porojo, siasa, mbwembwe wala maneno matamu...
  6. TheChoji

    Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

    Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk. Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za...
  7. TheChoji

    Kwanini Waswahili hatuwezi kwenda na muda?

    Tunakubaliana kabisa, jamani eeh kesho tukutane saa tatu kamili asubuhi. Watu wote wanaitikia "Sawa, saa tatu imekaa vizuri kabisa!" Wewe unawahi saa tatu kasoro dakika 5 unafika eneo la tukio unakuta hakuna mtu hata mmoja. Unaanza kusubiri... saa tatu kamili, saa tatu na dakika 10, saa tatu na...
  8. TheChoji

    Nje ya lodge ni mazingira hatarishi kukaa!

    Kuna vijana wa hovyo sana nchi hii. Utakuta mijitu imeweka kijiwe nje ya lodge/guest house inapiga stori zisizo na kichwa wala miguu. Hivi nyie mmekosa mahali pa kwenda mpaka mje mkae hapo nje ya guest na kusababisha watu wanashindwa kutoka humo ndani. Si muende uwanjani au sehemu nyingine...
  9. TheChoji

    Mgao wa umeme umeturudisha zama za mawe za kale

    Imagine leo hii kila mtu ana TV na king'amuzi nyumbani, lakini tunalazimika wote kwenda kurundikana bar za vichochoroni zenye jenereta ili kuangalia mechi ya ufunguzi..!! Kwenye mitandao ya kijamii watu wanaulizana ni bar gani kuna jenereta watu wawahi siti.
  10. TheChoji

    Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

    Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka. Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni...
  11. TheChoji

    Kama wewe ni kijana na una sifa zifuatazo njoo hapa tujipongeze!

    hujatokea kwenye familia ya kitajiri (hujarithi mali) huna jina wala umaarufu wowote mjini hujawahi kupigiwa chapuo sehemu yoyote huna kipaji (sio msanii, mchezaji nk) hujawahi kufanya biashara haramu hutumii ndumba humtegemei mtu yoyote (sio marioo) hujawahi kudhulumu mali ya mtu Lakini...
  12. TheChoji

    Kama hauko "fiti" unaweza fia kifuani..!

    Kwa mda wa wiki kama 2 hivi hali yangu kiafya sio nzuri kutokana na huu upepo wa mafua makali, homa na kikohozi. Hapa nilipo bado nabanja kama trekta mbovu na kwa mbali kifua kama kinabana hivi.. Kifupi afya yangu haijatengamaa napiga ma antibiotics hata sijamaliza. Pamoja na kua siko poa...
  13. TheChoji

    Wenye LINE nyingi za simu mnakera sana..!

    Binafsi nakerwa sana na watu wenye "line" lukuki za simu. Unakuta mtu ana line ya voda, tigo, airtel, zantel nk. Zote izo za kazi gani?? Matokeo yake kila ukimtafuta mtu utasikia mara.. "Nicheki kwenye airtel hiyo Voda haina chaji.." "Nipigie namba ya tiGo, airtel nimeacha nyumbani" "Hela...
  14. TheChoji

    Natamani simu kali zisiwekwe kioo mbele na nyuma

    Siku hizi simu zote za ghali utakuta zina material ya kioo nyuma (battery cover). Hii ni kwa simu zote kuanzia iphone 8, samsung s8 kwenda mbele zote mfuniko wa nyuma ni kioo. Kwangu mimi naona kuweka kioo nyuma ya simu ni wazo la hovyo kwa sababu zifuatazo; 1. Kioo kinateleza. Simu yenye kioo...
  15. TheChoji

    Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

    Nategemea kwenda Morogoro kwa shughuli za kiofisi. Naomba anaejua hoteli nzuri isiwe mbali sana na Msamvu anijuze. Napendelea hoteli mpya mpya kwani ndio hua zinakua bado safi, vyoo havijagandia ukurutu, na magodoro hayajawa chapati. Kwavile nina muda kidogo sijafika Moro, naomba msaada kwa...
  16. TheChoji

    Wadada: Kuweni makini na teknolojia

    Juzi kati kuna mfanyakazi mwenzangu mdada aliniletea "external" yake baada ya mimi kua nimemuomba movies na yeye kudai ana ma series ya kufa mtu. Huyu binti ni mtu na heshima zake, hatuna urafiki kivile zaidi ya kuonana tu kazini mara kwa mara. Sasa baada ya ku connect ile external nikamuuliza...
  17. TheChoji

    Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage. Hii itakusaidia sana kudumisha mahusiano yako ya SASA kwa njia zifuatazo: 1. Itakujengea komfidens...
  18. TheChoji

    #COVID19 Waoga wa Sindano: Mikakati gani tutumie kuchanjwa?

    Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado nambwelambwela kwenda kuchanjwa kisa tu naogopa ile sindano. Kama mliona ile video ya mwanajeshi aliepelekwa...
  19. TheChoji

    Nifanyeje nizoeane na majirani?

    Tangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi jioni wakiwa ndani ya magari yao...
  20. TheChoji

    Kwenye UVIKO hatupigwi kweli?

    Hili li ugonjwa limekaa kipigaji pigaji sana. Mi sio mtaalam wa mambo haya, lakini sijui kwanini naona kabisa li korona kama ni li biashara fulani la kupigia hela. Kinachonifanya niwe na wasiwasi ni haya mambo yafuatayo: 1. Ndani ya miaka miwili, kuna zaidi ya variants 5 za korona! Halafu eti...
Back
Top Bottom