Search results

  1. TheChoji

    Never date a girl who can't respect your wife

    Njia kuu kila siku inaumwa kichwa
  2. TheChoji

    Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Msamehe tu mrudiane maana wewe ameshakuona fala itakua kila akitokea mwanaume mwenye hela unaachwa, wakishindwana anarudi kwako.
  3. TheChoji

    Naombeni ushauri, nataka nizae naye tu kisha nitulie

    Nchi ya Tanzania ina wanawake 32,000,000. Kati ya hao wote, wewe umeamua kuchagua mwanamke mmoja ambae kwa maelezo yako ni "jeuri sana,kiburi,dhalau na mdomo wa kutosha" na ni malaya pia. Ina maana hao wanawake wengine 31,999,999 we hujawahi kuwaona au mwenzetu we ni kipofu? Jitathmini.
  4. TheChoji

    Je, Unaiamini hadithi ya mnara wa Babeli?

    Kwahiyo Mungu aliogopa kwamba asipowachanganya lugha huo mnara utamfikia mbinguni?
  5. TheChoji

    Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    Na mimi nimewaza hivyo hivyo manake naona mapacha ni baba yao mtupu
  6. TheChoji

    Uchumi wako unaweza kununua kitu gani unachojisikia?

    Ndio uchumi unachoruhusu mkuu 😀
  7. TheChoji

    Kwanini hujatoboa mpaka leo?

    Kuridhika mkuu. Kila nikiwaza nikomae sana naona ah.., yanini? Wakati hapa nilipo mbona freshi tuu maisha yanasonga mdogo mdogo? Basi ndio tu nabaki hapo hapo.
  8. TheChoji

    Uchumi wako unaweza kununua kitu gani unachojisikia?

    We usinitanie..! Mi kwa uchumi wangu jinsi ulivyoimarika kwa sasa nina uwezo wa kununua bidhaa yoyote ya Apple bila kupepesa macho..! Mfano Apple juice, apple moja nk
  9. TheChoji

    Wanaume wa kaskazini waangaliwe upya wananyanyaswa sana na wanawake zao hakika

    Hahahaa... umenikumbusha jamaa yangu kaoa mmachame. Daah kuna siku kala kelbu, hajakaa sawa kala mtama jamaa chini 🤣 Mimi niko nawaangalia tu sikutaka kuingilia
  10. TheChoji

    Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

    Wanawake wazuri hua wana tatizo kubwa sana la kisaikolojia. Wao hudhani kwamba uzuri wao ndio kila kitu, hawana tena haja ya kuwa na heshima, usikivu nk. Ndio maana wengi utakuta hata kitandani hafanyi chochote manake anaamini uzuri wake tu unatosha. Na kiburi chao kinatokana na ile kuona...
  11. TheChoji

    Aibu: Waajiriwa wanaojiweza ni wengi kuliko wafanyabiashara. Maeneo ya kishua kuna waajiriwa wengi kuzidi wafanyabiashara

    Hata wafanyabiashara wanaotoboa haraka nao wengi ni wezi/dhulumati/wapigaji/walozi nk
  12. TheChoji

    Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

    Hapo kwenye pisi kali kuwa tamu naomba nipingane na wewe mkuu. Uzoefu wangu ni kwamba pisi kali nyingi ni nzuri kuzitazama kama ulivyosema iwe inapitapita uchi au ndani ya lingerie/night dress nyepesi. Ila kwa suala la UTAMU kwa maana ya ladha ya mbususu ni sifuri. Nyingi ya hizi pisi kali...
  13. TheChoji

    Shaq awaambia watoto wake watafute mali zao

    Sisi nchi za dunia ya tatu tunazidi kuwa masikini kwasababu ya kudhani kwamba baba yako akiwa na mali, basi mali hizo ni zakwako! Badala ya kila mtu kufanya kazi kutafuta mali zake, tunakaa kukodolea macho mali za wazazi. Mimi nna rafiki yangu mzungu ke alikua anataka kununua apartment. Baba...
  14. TheChoji

    Siku yangu ya kwanza kuingia ofisi za kubeti kwa bahati mbaya

    Ndio iko hivyo. Focus ni kupata kodi na kuendelea kubaki madarakani.
  15. TheChoji

    Siku yangu ya kwanza kuingia ofisi za kubeti kwa bahati mbaya

    1. Kodi 2. Kura Kitu chochote kinachogusa mambo hayo mawili serikali hutokaa uione ikiingilia kati.
  16. TheChoji

    Hivi inawezekana kumaliza chuo bila kuingia kwenye mahusiano

    Chuo ndio sehemu ya kujifunzia mambo mengi ya kimaisha ikiwemo mahusiano. Watu wengi hudhani chuo unaenda kusoma mavitabu na mavitini tuu. Ukiwa chuo ndio muda wa kukomazwa kimahusiano, kupigwa matukio, kujifunza tabia za watu mbalimbali, kutembelea viwanja mbalimbali vya starehe nk. Unatakiwa...
  17. TheChoji

    Mpenzi wangu analalamika simtafuti

    Hayo mapenzi ya kweli yatoke wapi usawa huu? Mimi mwezi jana nilikula kibuti toka kwa mchepuko wangu niliedumu nae zaidi ya miaka mi3. Kisa na mkasa tulienda kukulana, then baada ya hapo ikapita kama siku 3 sijamtafuta kwa simu wala meseji yoyote. Siku iliyofuata nikapokea meseji ya lawama...
  18. TheChoji

    Mpenzi wangu analalamika simtafuti

    Mzee wa kupambania unachosahau ni kwamba katika jamii yetu hasa sisi watanzania hao wanaume wajinga ndio majority kwahiyo wala usishangae.
Back
Top Bottom