Search results

  1. Mukuru

    MSNBC suspends Olbermann over political contributions

    MSNBC suspends Olbermann over political contributions By Michael Calderone michael Calderone – Fri Nov 5, 2:04 pm ET...
  2. Mukuru

    Elections 2010 Kuna aliyetarajia dr. Slaa kushinda urais?

    Kwa mazingira ya kisiasa ya sasa nchini ni kujidanganya kuwa kiongozi wa upinzani anaweza kuwa Rais kupitia njia ya kura. Kwa hiyo yeyote aliyetarajia kuwa Dr. Slaa angekuwa Rais ama hayafahamu vizuri mazingira halisi ya kisiasa au anajidanganya kwa kujipa matumaini 'hewa'. Haiwezekani kuwa Rais...
  3. Mukuru

    Elections 2010 Kitakachowaangusha CHADEMA

    Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.
  4. Mukuru

    Kizazi cha watumwa kutoka Afrika ya Mashariki kilifutika?

    Biashara ya utumwa ilifanyika miongo kadhaa iliyopita (inasemekana bado inafanyika baadhi ya maeneo duniani) na kusababisha watu weusi kuenea maeneo mbalimbali duniani mfano visiwa vya Carrebean, Amerika ya kusini, Marekani na kwingineko. Nimesoma kuwa watumwa wengi kutoka Afrika Mashariki...
  5. Mukuru

    DC kuambiwa hana adabu...JE, NI TUSI?

    Wakazi wa Kipawa wamwambia DC Ilala hana adabu WAKAZI wa Kipawa jijini Dar es Salaam wamemsikitisha Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Evance Balama baada ya kumwambia kinagaubaga kuwa hana adabu. Wananchi hao, walitoa kauli hiyo juzi ofisini kwa mkuu huyo baada ya wananchi hao, kuandamana hadi ofisi...
  6. Mukuru

    NDIYO, CCM NA IKULU WANATUMIKIA MAFISADI - Hii imakaaje?

    Source: Gazeti la Mwananchi NILIWAHI kuelezea ukigeugeu wa CCM wanapokuwa jukwani na wanapokuwa kwenye vikao vyao kwenye safu hii. Wanapokuwa jukwaani hujifanya watu wa watu na wanapokuwa kwenye vikao vyao hugeuka kuwa adui wa watu. Jamaa hawa wanapokuwa jukwaani huzungumza kama...
  7. Mukuru

    Cuf ikishinda zanzibar - nchi itatawalika?

    Nimekuwa najiuliza hivi CCM na watu wake wako tayari kukubali sehemu moja ya muungano kutawaliwa na serikali ya upinzani? Ikitokea hali kama hiyo ndo itakuwa mwisho wa muungano? Nadhani CCM wako tayari kuzuia hali hiyo isitokee kwa gharama yoyote ile. Wana JF hii imekaaje?
  8. Mukuru

    Sheria kama hii ikipitishwa bongo, kuna atakeyepona?

    Former Beijing airport boss executed in China BEIJING (AP) — The former head of Beijing airport's management company was executed Friday following his conviction on corruption charges, state media reported, making him the latest figure brought down in China's battle against widespread graft. An...
  9. Mukuru

    Nauliza...hivi ni lini wahalifu watachukuliwa hatua?

    Ministry in dubious exam deal THE Ministry of Education and Vocational Training last year awarded a private company a 72.6m/- deal to print primary school leaving certificates contrary to a government directive. As a result, the Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, has since underscored that all...
  10. Mukuru

    CAG akabidhi Ripoti ya Mapato ya Kituo Cha Mabasi Ubungo

    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Taarifa kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali( CAG),Ludovic Utoh kuhusu mapato na makusanyo ya kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es salaam, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Jana.Mheshimiwa Pinda alimuagiza CAG kufanya uchunguzi huo...
  11. Mukuru

    Hizi ndo hoja za wabunge wetu

    Komba ‘amzimia’ Waziri Nagu Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba amemsifu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk Mary Nagu, kuwa ana sura nzuri na anauzika. Mbunge huyo amelieleza Bunge leo kwamba, yupo tayari kutunga wimbo wa kumsifu Waziri huyo. Kabla ya kutoa sifa hizo...
  12. Mukuru

    CCM imewafanya wasomi watumwa?

    MWANASIASA mkongwe nchini, Musobi Mgeni ameibuka na kukishambulia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kuwafanya wasomi kuwa ni watumwa. Akizungumza na Mwananchi Jumapili, jana mkoani hapa, mwanasiasa huyo alisema kuwa CCM imewapumbaza hata wasomi kiasi cha kuwafanya hata wasithaminike kwa...
  13. Mukuru

    Polisi Tarime wasaidiwa simu 100 - HII IMEKAAJE?

    JESHI la Polisi limepokea msaada wa simu 100 kwa ajili ya kuwasaidia polisi waliopo wilaya za Tarime na Rorya, mkoani Mara kutekeleza majukumu yao ipasavyo katika maeneo ya mapigano yanayotokea mkoani humo. Msaada huo wa simu ulitolewa jana na mfanyabiashara wa simu za mkononi, Zahoro Khamisi...
  14. Mukuru

    MAPADRI/MAASKOFU KUOA - Hii imekaaje?

    Milingo slaps Catholics in the face Eight years ago, he annoyed the Catholic headquarters in the Vatican by breaking the code of celibacy. On Wednesday, controversial Archbishop Emmanuel Milingo arrived in the country and slapped the Catholic Church in Kenya in the face. At a secluded centre...
  15. Mukuru

    Zitto matatani - Hii imekaaje?

    Safari ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe nchini Hispania katika mkutano wa kuwakilisha shirika lisilo la kiserikali la Majirani Wasio na Mipaka (NWB) la mjini hapa, imezua mtafaruku mkubwa miongoni mwa viongozi na wanachama wa shirika hilo. Mtafaruku huo unatokana na kitendo cha baadhi...
Back
Top Bottom