Search results

  1. SOCIOLOGISTTZ

    Jukwaa la Wakubwa liko wapi?

    Nimekaa muda bila kuingia huku JF, Nauliza lile jukwaa LA Wakubwa liko wapi??
  2. SOCIOLOGISTTZ

    Jimbo la Kawe ni Moto wa Kuotea Mbali

    Mimi napenda kulipongeza Jimbo la Kawe kwa mambo mbalimbali ya kimaendeleo walivyojipanga baada ya Uchaguzi Mkuu 2015. Kuna madiwani wachapa kazi sana wakiongozwa na Mmbunge wao Rais wa Marais Kamanda Halima Mwana wa Professor James Mdee. Rais wa marais ameshazungukia kata mbalimbali za Jimbo...
  3. SOCIOLOGISTTZ

    Mbowe Kuhutubia Mkutano Mkubwa Kawe 24/05/2015

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kamanda Freeman Aikael Mbowe atakuwa na Mkutano Mkubwa siku ya Jumapili tarehe 24/05/2015 kuanzia saa 8.00 mchana hadi 12.00 jioni kwenye uwanja wa Tanganyika Packers Kawe Dar es Salaam. Atazungumzia maswala mazito ya Kitaifa yakiwamo 1...
  4. SOCIOLOGISTTZ

    Jamii Forums inakutanisha wapenzi hadi kwenye ndoa

    Jamii forums ni jukwaa kubwa sana na maarufu hapa Tanzania. Linakutanisha watu wa kila namna kwenye eneo wanalolipenda. Natoa ushuhuda wa watu waliokutana huku JF kwa muda wa mwaka mmoja uliopita na sasa wanapanga mipango ya ndoa yao na jinsi itakavyokuwa. Taarifa walizonipatia ni kwamba...
  5. SOCIOLOGISTTZ

    Lusinde (Kibajaji) ni mvivu kusoma

    Mbunge wa Mtera ndugu Livingstone Lusinde au Kibajaji amekuwa akisema mara kwa mara kuwa hajasoma kwa sababu wazazi wake walifariki wakati yeye akiwa darasa la nne. Kwa ufupi shule ya Msingi ndiyo ikawa mwisho wa elimu ya Kibajaji. Mawazo au malalamiko haya ya kibajaji hayana mashiko kwa sasa...
  6. SOCIOLOGISTTZ

    Shule za Sekondari za Serikali zimeanza kufungwa kwa kukosa chakula cha wanafunzi

    Shule nyingi za serikali hazina chakula hivyo zimesababisha kufungwa mpaka hapo hali itakapokuwa nzuri. Shule hizi ni za Tabora ...mfano shule ya sekondari Kazima wamefunga shule leo baada ya serikali kushindwa kuwalipa wazabuni kwa muda sasa ambapo wanadaiwa zaidi ya millioni 300kwa shule moja...
  7. SOCIOLOGISTTZ

    Profesa Mujinja kugombea Musoma

    Kuna tetesi kwamba Profesa Mujinja wa Muhimbili University atagombea Ubunge wa Musoma Mjini kupitia CCM. Marafiki zake wa karibu wamenitonya kuwa alishawishiwa na wasomi kadhaa wa Musoma akiwamo Prof. Muongo. Na zoezi hili la kumshawishi limefanyika kipindi cha mapunziko ya krismasi na mwaka...
  8. SOCIOLOGISTTZ

    Wenyeviti wateule Manispaa ya kinondoni Kuapishwa Jumanne

    Wenyeviti wote wateule wa serikali za mitaa wataapishwa siku ya Jumanne tarehe 06/01/2015 kuanzia saa 1.30 asubuhi pale Land Mark Hotel Ubungo. Pia watapewa semina ya jinsi ya kuongoza mitaa yao kwa kufuata sheria na taratibu watakazopewa. Pia watapewa mihuri na vitendea kazi vingine kwa ajili...
  9. SOCIOLOGISTTZ

    Ukatili kwa wanawake na watoto utaisha lini?

    Jana na Leo katika taarifa ya habari ya ITV imemuonyesha mama mmoja mwenye watoto sita wadogo, wakiwa ni mapacha kwa uzao wa mara tatu yaani kila alipojifungua alikuwa akizaa watoto wawili. Katika maelezo ya huyo mama anasema kwamba mumewe amemuacha kwa sababu anazaa zaa sana ovyo. Mama huyu...
  10. SOCIOLOGISTTZ

    Nape Kupelekwa India kutibiwa mkono

    Kuna tetesi kwamba ndugu Nape katibu mwenezi wa CCM atapelekwa India baada ya mkono wake kendeleea vibaya bila mafanikio yoyote. Wanadai kuwa mkono huo umeanza kuoza kwa ndani hivyo inahitajika matibabu ya haraka nje ya nchi kwani akicheleweshwa mkono huo unaweza kukatwa. Kama tetesi hizi ni za...
  11. SOCIOLOGISTTZ

    Mwanaume alivyoumbuliwa

    Nikiwa napita pita mitaa ya mji wa watu nilikutana na kisa kimoja. Nikiwa napita mitaa fulani fulani nikakutana na mkusanyiko wa watu kama kumi hivi na mwanamke akiwa ameshikilia kiuno anachonga ile mbaya. Nikasogea karibu ili nijue kulikoni. nilivyosogea nikasikia huyo mdada akimsema jamaa...
  12. SOCIOLOGISTTZ

    Watumiaji wa JamiiForums wapongezwa na TCRA

    Katika kipindi cha Kipimajoto ITV leo Ijumaa, mada inayohusu "kuongezeka kwa matumizi mabaya ya mawasiliano kwa njia ya mitandao je nini kifanyike?" Afisa Uhusiano wa TCRA Bwana Innocent Mungi akichangia moja ya maoni yaliyotolewa na mtazamaji wa ITV ambaye alikuwa analalamika kuwa vyombo vya...
  13. SOCIOLOGISTTZ

    Jinsi nilivyookoa ndoa ya watu

    Jumapili iliyopita nikiwa nimejipumzisha nyumbani kwangu mara akatokea rafiki yangu ambaye ni jirani yangu, akaniomba niende kwake nikamsaidie kusuluhisha kwani kuna kasheshe limetokea kati yake na mke wake. Pia huyu mkewe ana undugu na mimi kwa mbali hivyo tunaheshimiana kama kaka na dada...
  14. SOCIOLOGISTTZ

    Kwanini UKAWA wanazuiwa na polisi kufanya mikutano yao?

    Nimesikiliza taarifa ya habari kupitia kituo cha ITV leo saa mbili, kuwa jeshi la polisi limezuia mikutano ya UKAWA ndani ya mkoa wa Kigoma kwa muda wa siku tatu sasa. Anayejua nini kilichopo nyuma ya pazia atujuze tafadhali.
  15. SOCIOLOGISTTZ

    Wanawake wanaoendesha magari

    Kuna malalamiko mengi yanatoka kwa wananume wenye wake au wapenzi wao ambao wanajua kuendesha magari kwamba wamekuwa kiguu na njia. Jana nikiwa sehemu fulani, nikiwa na jamaa fulani tukawa tunapiga story mbili tatu hivi. Huyu jamaa akaniambia kuwa mke wake tangu ajue kuendesha gari mke wake...
  16. SOCIOLOGISTTZ

    UKAWA yaigaragaza CCM

    Katika kura ya maoni iliyoendeshwa hapa JF kwa siku mbili yaani tarehe 3 - 4/5/2014 kuhusu nani anakukubalika zaidi kati ya UKAWA au CCM kwa wananchi juu ya katiba mpya. Kura zimehesabiwa na matokeo ya kura ni kama ifuatavyo; CCM wamepata kura 0 = O% UKAWA wamepata kura 100 = 100% Kwa matokeo...
  17. SOCIOLOGISTTZ

    Kura ya wazi UKAWA vs CCM

    Utangulizi UKAWA ni Umoja wa kutafuta Katiba ya Wananchi ambapo inaundwa na vyama vya Chadema, CUF na NCCR Mageuzi. CCM ni chama cha siasa kinachotawala hapa Tanzania. UKAWA na CCM wamevutana na wanaendelea kuvutana kuhusu mchakato wa katiba mpya. Mabishano ya UKAWA na CCM yamefikia mahali...
  18. SOCIOLOGISTTZ

    Inakuwaje kulazimishwa kusalimia mdogo wako?

    Wana MMU, Kuna dada mmoja tunafanya naye kazi, sasa cha ajabu ananilazimisha niwe namwamkia shikamoo wakati nimempita na kama miaka miwili hivi, nikiacha kumwambia shikamoo ananuna siku nzima na wala hataki kuongea na mimi, mara ya kwanza nilidhani ni utani kumbe anafanya kweli. sasa mimi kwa...
  19. SOCIOLOGISTTZ

    Ukawa mkakati wa ushindi huu hapa

    1. Utangulizi UKAWA ni Umoja wa Kutafuta Katiba ya Watanzania, ambayo imehasisiwa na vyama vya NCCR-Mageuzi, CUF na CHADEMA. Katika kuwepo kwake UKAWA imewafungua wananchi wengi macho kuhusu katiba iliyopo na mapungufu yake.Kujitoa kwa UKAWA kwenye bunge la katiba inaashiria kwamba katiba...
  20. SOCIOLOGISTTZ

    Muumini Mwijuma sasa anaimba taarabu

    Baada ya kutamba sana kwenye miziki ya bendi za dansi hapa nchini, Muumini mwijuma amehamia kwenye taarabu. Ikumbukwe kuwa Mwijuma muumini alianza kujulikana sana akiwa na Nchinga sound mpaka akajipachika jina la kocha wa dunia, baada ya hapo akachuliwa na bendi ya African Revolution iliyokuwa...
Back
Top Bottom