Search results

  1. cantonna

    Natafuta mume

    ye kigezo chake uwe unapumua tu, na mtalimbo uwe fit kwa kaz bas!
  2. cantonna

    Anatafuta mume/mwenza wa maisha sio boyfriend

    Ebhana chombo hyo inajitangaza!
  3. cantonna

    Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

    Siasa za watu weusi haziaminiki hata kidogo!!!
  4. cantonna

    TAMISEMI ninyi ndio chanzo cha rushwa na utapeli ajira za walimu

    Hatar! Mambo ni magumu kwa mtaa ila vijana tuendelee kupambana had mwisho!
  5. cantonna

    Mpaka sasa, Waziri wa Mambo ya Ndani (Kangi Lugola) ameshafeli

    Daa!! Kiukweli 2tashuhudia vi2ko ving sana ktk utawala huu! #yangumacho!
  6. cantonna

    Lissu soma nyakati, na ukae kimya

    kuwa mpinzani ktk nchi za Afrika ni kujitoa muhanga maisha yako!! so tundu lisu kishajitoa muhanga wala usishangae coz analala lupango kwa ajili yetu wanyonge!!
  7. cantonna

    NIMERIDHISHWA NA AJIBU YA MH. MBOWE JUU YA KUPOTEA KWA SAANANE!

    Kweli kutokana na majibu ya mh. mbowe nimeamin kuwa cdm ni taasisi yenye utulivu mkubwa sana ktk masuala nyeti kama haya! kila mtu alikuwa anataka kila kiongoz atoe taarifa juu ya kupotea kwa ben na wengi kuhoji why mbowe yupo kimya? kumbe chama kina watu wake wa kutoa taarifa na si kila taarifa...
  8. cantonna

    Wito wangu kwa watanzania bara na visiwani

    Watakuben saa nane kaka!
  9. cantonna

    Swali muhimu: Mahakama ya mafisadi imekosa washtakiwa?

    Hawezi kufukua makaburi maana na yy ni kaburi vilevile!!!
  10. cantonna

    Ujenzi wa miundo mbinu ya shule kule Kagera ni zaidi ya bilioni 22!

    Unapokuwa kijana wa lumumba ni lazima kujitia akili ili uwe unatumika vilivyo!!!
Back
Top Bottom