Search results

  1. F

    Umasikini unaambukizwa, tuweni makini?

    Niwe mkweli , mimi ni mtu wa kipato cha kati. Niliwahi kuoa mwanamke kutoka katika familia ya kipato cha chini. Ilikuwa sipati nafasi hata mara moja ya kukaa mimi na mke wangu tule pamoja mchana. Lazima shemeji ua mama mdogo au baba mdogo lazima waje kumtembelea mke wangu wakati wa kula...
  2. F

    Uaminifu ni bidhaa adimu sana Tanzania

    Umezungumza kitu hasa. Wengi wetu tunafikiria kuiba tu. Yaani mtu akosee kukuamini na wewe unachukua nafasi hapo hapo. Na hii tabia sijui kama tutakuja kuiacha. Biashara nyingi zinakufa kwa sababu ya wizi / udokozi wa wafanyakazi.
  3. F

    UEFA wanakera

    Nina imani kuwa wamekusoma. Usikonde nitawaambia wakutafute uwape ushauri uso kwa uso!!!
  4. F

    Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

    Tuwe wakweli tu, mtu unayemchangia si ajabu ana nyumba yake, wewe unaelazimishwa kuchanga hata kiwanja huna. Ni sawa na hawa ombaomba wao wana nyumba zao wamepangisha . Hili mimi nimewasikia wao wenyewe ombaomba wakiongea. Sasa wewe unayejifanya una huruma sana unawachangia ilhali huna hata...
  5. F

    RC Dar es Salaam, kamata Mkurugenzi, Watendaji na Madereva wote wa mabasi 70 yaliyoharibika. Kuna mchezo mchafu hapo Mwendokasi

    Hili ni tatizo la serikali kutaka kufanya biashara. Serikali kazi yake ni kuongoza, biashara waachiwe wengine.
  6. F

    Kwa huu mgao wa umeme unaondelea Hayati Magufuli alikuwa sahihi kuziba masikio na kujenga bwawa la Mwalimu Nyerere

    Kutegemea maji kuwa ndio chanzo cha umeme ni kujidanganya. Ukuna ukame wa mfululizo itakuwaje? Ufumbuzi ulikuwa gesi tu. Lakini tatizo viongozi wanaloona wao kuwa ndilo linafaa basi ni hilo hilo. Hawataki ushauri kutoka kwa wataalamu wa fani hiyo.
  7. F

    Maajabu ya kampuni ya safe land world investment

    Wapelekee tupate kujua uhalisia.
  8. F

    Hospitali gani Dar ya kujifungulia unahudumiwa na daktari wa kike?

    Kuna hospitali moja ya kinamama ipo Kariakoo mtaa wa Narun'gombe corner na Luvingstone. Nyuma ya NMB iliopo mtaa wa Luvingstone. Inaitwa Kings hospital.
  9. F

    TRA: Taarifa ya Bodaboda na Bajaji kuanza kulipa Kodi sio taarifa rasmi

    Imefikia wakati taarifa rasmi na isiokuwa rasmo hazina tofauti. Sisi tuliosoma shule za Kanumba ndio mnatuacha tupu kabisa.
  10. F

    DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

    Aliniambia binti yangu ambaye ni daktari, '' Baba usiende kwa madaktari vijana, hawa walisoma ili wapate vyeti sio kuelewa''. Na mimi nakubaliana nae kabisa. Bora nitibiwe na nurse mtu mzima kuliko kutibiwa na daktari kijana.
  11. F

    DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

    Labda inawezekana, lakini ingekuwa fikra hizo zipo sawa basi nusu ya matajiri wa hapa bongo wasingekuwepo leo hii. Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
  12. F

    Wahenga hawa ninkina nani? Anzia kulia kwenda kushoto

    Kuna Mkwasa hapo. Yupo Omar Hussein. Yupo Mohamed Mkweche , Iddi Pazi . Wengine nisaidieni
  13. F

    Nahitaji kuacha kunywa pombe

    Tafadhali nakuomba usiache kunywa pombe. Kodi hiyo uliokuwa unalipa atalipa nani? Barabara na dawa hospitalini itakuwa shida kwetu. Tafadhali usiache. Watoto wanasoma shule kwa kodi yako. Tafadhal !!
  14. F

    Hizi ndizo sababu 10 za wanawake kutoolewa

    Asante, makala nzuri yenye faida.
  15. F

    TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

    Moja katika vitu vizito sana kuvibeba duniani ni kubeba jeneza lenye mwili wa mtoto wako. Mwenyezi Mungu akupe nguvu na subira katika kipindi hiki kigumu. Amin.
  16. F

    TANZIA Fred Jim Mdoe mwandishi wa zamani wa BBC afariki dunia

    Kwa sisi ambao umri umesogeasogea kidogo ndio tunamwita nguli. Kwa kiwa tunamjua. Ulishawahi kusoma gazeti la Fahari? Kama utaweza kulipata basi lisome.
Back
Top Bottom