Tunauza vipodoz bora na original kutoka ndani na nje ya nchi kwa bei unayo imudu.Duka lipo Kawe opposite na kanisa la roma Kawe.
Mawasiliano:
Simu:,0719094897
cjui watu wengine tuwaiteje nikikuuliza kabila gani watasema ni ukabila huo.Jaribu kutembea kidogo hv nani kakwambia W.ya Missenyi ina shida ya maji kama Kakola,Msalala,Segese na maeneo mengine ya mkoa wa shinyanga? Tatizo la Kagera ni bei ya Kahawa jambo ambalo Malinzi co mhusika.
Mkuu lazma kuwapongeza makamanda jasir.Pia viongoz wa CDM kahama nilipita pale wanajtahid sana chini ya M/kt wao wa jimbo wamepambana na sasa kahama inapigwa lami mjini kote kwa gharama za mgodi wa BUZWAGI ambao ccm wanauita mradi wa BUZWAGI.
Ndg zangu naamin hata Kahama wapo wana JF .Kama upo ntakuwa kahama kesho nikitokea mkoa jiran ntapumzika hapo kabla ya kurudi Dar er Salaam-
-----Asanteni----
Wana JF pole na majukumu---
binafsi naomba kujuzwa kati ya magari tajwa hapo juu lipi ni imara na lenye jatumizi bora ya mafuta na pia spea.
Natanguliza shukran wadau--
hv hawa ccm wanaitakia nini nchi hii au mnadhan wakipata hela watawahamisha masaki? kwan hata Mwangosi alidhuliwa na kemikali? yaan hata ukiwa mtu mzima ukjiigiza ccm unakuwa kichaa.Jaman tatueni matatizo ya msing na sio kuwaza ujinga.Unajua inauma xana ila nadhan Mungu anatuckia watanzania.
Elisha Chuma
mkuu hata mm nakubali mtaji ni changamoto ila pesa bila kujua ni kipi ufanye hilo ni tatizo kubwa ndo maana unaona 'post' nyng mara nna m.3 nifanye nn.Mfno kwnye semina za Lunyugu anakupa mbnu za soko,customer care,vpeperush vyenye bei za ''rawmaterials'' kwahyo kabla ya kutengneza...
Hawa watu mm naona bora wapongzwe make binafsi nimewah kuudhuria semina ya Dr.Didas Lunyungu imenisaidia sana.Ningesema namilik nn ila najua watasema najiproud.Unajua hapa Tz kadri unavyosoma sana ndo unazid kufanya maisha yawe magumu.Make tunajifanya kujua mno wakat kaz hatuna kuponda...
Kwanza wana jf oyee kwan hakuna mtandao wowote wa kijamii dunian nauheshim kama JF,
Nije kwenye point mimi natengeneza vitu tajwa hapo juu.Hata sasa nipo kanda ya ziwa nasambaza batik za vikoi.Kwa yeyote anaetaka kufundishwa,kununua jumla hasa batik tafadhali tuwasiliane .Nasema batik kwakuwa...
mkuu asiyejua maana usimwambie maana, wajuao wameshamaliza ndo nimerud dsm nina oda ya kwenda Rwanda.Ila kwa msaada vikoi ninavyosema ni vile vitenge vya akina mama vilivyotengenezwa kwa batik.Najua bado hutaelewa mwombe Mungu atakujalia zaid ufaham kwani ''ur lacking that''
Habar wapendwa,
Wajasiliamali wa kahama na maeneo jiran nawajulisha nipo kahama na vikoi vya pekee kabisa kahama nzima wamesaluti hakuna duka vilipo.So kama upo kahama ucpitwe vimebaki vichache sana kabla cjarudi Dsm.Wameniomba nibaki kahama ila mzigo ndo hvo unaisha ila nitarudi ''soon as...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.