Search results

  1. nandembako

    Bawasiri

    BAWASIRI kama unataka kupona kabisa na kwa uhakika just call this number 0755780631,0620448976 Usipopona unarudishiwa hela yako...na ni ndani ya siku mbili unaona mabadiriko.
  2. nandembako

    Kipindi kigumu ndicho hutoa matokeo halisi na uhakika

    Nimejifunza kitu, mimi kama mjasiriamali mara nyingi wanapotangaza hali ngumu ya maisha ndio nagundua pia fursa huwepo nyingi sana, na watu ambao wapo serious wanapiga hatua. Umewahi kutazama kwa upande wa pili kuliko kubaki unalalamika? Je, hapo ulipo ni mahali sahihi hujawahi kufikiria...
  3. nandembako

    Chanzo cha mahusiano kupoteza mvuto

    Wakati tunaingia kwenye mahusiano tunahurusu sana moyo kuchukua nafasi kubwa kuliko akili zetu,matokeo yake ni pale unaeza kuta watu wanadiriki hata kusema kuwa mtu kalishwa limbwata,ila ukweli ni kwamba mtu huyo anatumia moyo sana badala ya akili... Ukweli unaoumiza ni kwamba wengi wetu tupo...
  4. nandembako

    Magari ya bei rahisi na picha zake

    Wadau nawaletea huu uzi kwa mambo mawili,kwanza elimu na kujua kinachoendelea kwenye ulimwengu wa magari,wajuvi wa mambo tunaomba mtuletee mnachojua na fact kamili ikiwa na picha itapendeza zaidi.....
  5. nandembako

    Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

    Kuna hii kitu inaitwa Tecno CA7 imesimama balaa, mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana. Kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb, rom 32gb, camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo. Very nice phone ever...
  6. nandembako

    Njoo tujadiliane Maisha,familia na mahusiano

    Leo kila kitu kina changamoto,familia nyingi kwa asilimia kubwa zinapitia wakati mgumu,Familia pia wakati mwingine unaweza kudiriki kusema ndio chanzo cha matatizo yote maana ndio source ya awali kabisa ya kila kitu kwenye kila jambo,mf mapenz,mahusiano,maamuzi,misimamo nk. Jambo jingine ni...
  7. nandembako

    Vijana WEngi tunaingia kwenye mahusiano bila kujiuliza haya maswali yafuatayo

    Vijana WEngi tunaingia kwenye mahusiano bila kujiuliza haya maswali yafuatayo, 1.kwanini naingia kwenye mahusiano,ni mkumbo,au wakati unaenda mbio(umri),au shinikizo toka kwa jamii(wenzio wameoa we unasubiri nini).niamini mimi wengi wanaangukia hapa... 2.huyo utakayeolewa naye atakusaidia...
  8. nandembako

    Kwanini usipokuwa na pesa unakuwa mshauri mzuri lakini ukizipata inakuwa kinyume chake?

    Nimejaribu kufuatilia sana kwa muda mrefu automatically nimejikuta kama nafanya research. Watu wengi mawazo yao kabla ya kuwa na hela ni mazuri kuliko akiwa tayari na Pesa. Pengine sioni ajabu kuona wengi wetu tunaishia somewhere na kurudi nyuma kama ilivyokuwa mwanzo. Kwa experience yako...
  9. nandembako

    Dar inawapotezea watu muda

    Nimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi.. Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au...
  10. nandembako

    Nauza kiwanja kipo Njombe mjini Ngalanga jirani na wende sekondari

    wadau nauza kiwanja kipo njombe town mahali panaitwa ngalanga jirani na wende sekondari,kina ukubwa wa mita 30 kwa 30,mita 300 kutoka kwenye itakayo kuwa barabara ya magari makubwa,hakijapimwa ila kipo mahali salama,pia ni kilometre 2 kutoka stand mpya...Njoo Pm kwa mazungumzo zaidi. Sent using...
  11. nandembako

    Natamani kuishi na mwanamke

    Kuna kitambo sana tangu nitingane na mwanamke niliyezaa nae, sasa nowdays kumekuwa na tumawazo twa kutamani kuwa na mtu wangu ila sio wale niliowahi kuwa nao najitakia mpya, charming, anajua kazi za mke nk. Unajua vile unajaribu kuimagine halafu unakuta nyumba inapilika kila kona, kingine...
  12. nandembako

    Keki za masherehe mbali mbali,niunge mkono 0755780631

    Natuma keki mahali popote kwa makubaliano
  13. nandembako

    Iphone 5s gold 16gb sokoni

    Nipo njombe nauza iphone 5s yangu 0755780631 kama upo interested
  14. nandembako

    Small but important To Do

  15. nandembako

    Shida iko wapi kwenye kujiajiri

    Nimekuwa nikiuliza watu wengi maswali kuhusu kujiajiri na kuajiriwa....most of the answers imekuwa kujiajiri ndio "mchongo",sasa mbona sioni jitihada za watu kutaka kujiajiri.....halafu inakuwaje watu wanaongea sana kuliko vitendo!? Wanaishia kuwasifia waliojiajir wakati wao wanakazana kuomba...
  16. nandembako

    Nyota ya kifo kupendwa na wake za watu

    Dah ndugu zangu hili jambo lilianzaga kama utani na wala sikuwahi kulitilia maanani,nimekuwa nikikaa jirani na wanawake wa watu wanakuwa wananipenda sana.... Kama mara tatu tofauti nimepitiwa nimetoka nao,lakini mara mbili nyingine nilifichwa baadae nikaja kugundua mwenyewe kuwa ni wake za...
  17. nandembako

    Hii itakusaidia wewe na wengine...

    DARASA HURU. KUMJALI MTU NA KUMTHAMINI NI MUHIMU KULIKO HATA KUMPA PESA “Mkeo amefariki Msiba uko hapa nyumbani?” Denis alipokea ujumbe mfupi kwenye simu yake, kuangalia ulitoka kwa Mama yake mzazi. Nguvu zilimuishia, alikua akiongea na mteja ofisini kwake lakini sauti ilikauka. Bila kujijua...
  18. nandembako

    Nahitaji rafiki wa kike, very best friend

    Nahitaji rafiki wa kike, hii inaweza isilete maana nzuri kwamba pengine sipo serious, ila kuna wakati unajikuta hauna neno jingine la kusema zaidi ya hilo. And this is very serious, tangu nimekorofishana na x-girl nimejikuta nimekuwa mzito sana kuwa na urafiki ma wanawake, imepelekea kusahau...
  19. nandembako

    Tahadhari na wasaidizi wa kazi kwenye malipo

    Wamama mlioajiri kina dada wa kuwasaidia kazi za nyumbani mnawalipaje mshahara??? Unampa kwenye bahasha, cash, unatuma kwao au unafanyaje??? Nimeona hii topic sehemu nikasema tupeane uzoefu. Sasa dada siku kacheleweshewa akamchenjia bosi wake kuwa amechoka na kazi anataka arudi kwao hivyo...
  20. nandembako

    Mapenzi na upuuzi wake

    Mapenzi buana...hahahhaha ngoja nicheke kwanza, yaani wakati unamfuatilia ili awe mpenzi wako unatumia nguvu sana, ukikaribia kukata tamaa mara nyingi ndio huwa tunafanikiwa, tukishaingia kwenye mahusiano kwa muda fulani mambo yanaenda sawa sana, baada ya hapo mnazoeana, hapa ndio hasa penye...
Back
Top Bottom