Search results

  1. Darius

    MSAADA; LIVE STREAMING KWENYE SMART TVs

    Wakuu natumia Samsung smart tv....But nafeli katika kustream vitu live kwa mfano mpira...Je kuna njia yoyote nyepesi itaweza nisaidia...nimejaribu firstrow sports through web browser but sijafanikiwa. Apps zilizopo kwenye Smart Hub je zina msaada wowote katika hili.
  2. Darius

    Kiwanja kilicho na nyumba kinauzwa

    Kipo Mbezi Msumi Nyumba imefikia kwenye lintel bei 10 million nicheck humu 0786192808
  3. Darius

    Msaada hp pavilion dv6 imekata display/vga fail

    Wakuu nasikia hilo n tatizo common kwa laptop aina ya pavilion...swali langu je inaweza tengenezeka na kama inawezekana je gharama yake n sh. Ngap...msaada wakuu maana boom limekata ,assignment,projects kibao now then pc imezingua....what this? 0712441899 kwa msaada zaidi wakuu
  4. Darius

    Hongereni mlio be selected from tcu kuja ardhi university.......hope of tanzania/africa

    kinaitwa chuo kikuu ardhi na sio chuo cha ardhi...kipo adjacent na mliman(udsm) from ubungo njoo darjan kama unaelekea mwenge kuna kituo cha daladala panda gari za chuo then shuka ardhi..or ukitoka mwenge/makumbusho panda gari za chuo shuka ardhi utakuwa umefika...official website ya chuo ni...
  5. Darius

    Get laptops

    new laptops HP ELITE BOOK 8440P CORE i5 processor speed 2.4ghz RAM 4gb hard disk 600gb webcam. bei ni tsh.750,000 kumbuka hii ni mpya. pia kuna Toshiba satellite pro S500 core i5 processor speed 2.4 ghz ram 4gb hard disk 320 webcam. bei tsh 630,000 shukrani.
  6. Darius

    Nauza Laptop

    Samsung brand 4gb ram processor 2.4ghz Core i3 hard disk 500 gb battery time idle 4 hours window 8 installed 1 year warranty niliyopewa nakukabidhi coz ina mwezi mmoja tuu tangu ninunue bei Tsh520,000 ni pm kwa mawasiliano zaidi nipo ardhi university....mlimani adjacent
  7. Darius

    msaada ; pdf files to word softwares

    msaada link kwaajili ya software inayo perform hio task. Shukrani..!
  8. Darius

    Kw aliyenayo hii software "pc scan and repair by reimage"

    kwa yeyote anayo ambayo ni cracked plzz anisaidie ..!
  9. Darius

    Window 8.1 store haina watsapp , ntafanyaje ili niipate in ma pc

    bluestack, youWave android zinakataa kurun! natumia HP pavilion dv6, ram 6gb, processor 3ghz msaada plzz
  10. Darius

    Tsh.500,000 cash nahitaji laptop

    iwe Ram 4gb processor 2ghz hard disk 500gb manufacturer •dell •toshiba •hp kwa mawasilianoo
  11. Darius

    Tsh.500,000 cash nahitaji laptop

    iwe Ram 4gb processor 2ghz hard disk 500gb manufucture •dell •toshiba •hp
  12. Darius

    nahitaji laptop bajeti yangu ni laki 5

    Iwe na ram 4GB..! Iwe na uwezo wa ku-render programes/softwares zote za 3D..! programes kama AutoCAD, ArchiCAD ziwe applicable..!kuhusu aina iwe ni easy incase of hardware maintanance
  13. Darius

    ushauri:laptot itakayo install-archtcard,AutoCard

    Naomba ushauri, laptop gani nzuri kwa matumizi yangu ya chuo i.e programe za kuchorea kama AutoCAD, ArchiCAD! bajeti yangu ni laki 5..!nawasilisha
  14. Darius

    uwezo wa laptot aina ya samsung n150 processor type atom n450

    procesor type-atom N450 processor speed-1660.0MHZ memorysize-1024MB memory type DDR2 SDRAM memory speed-800MHz drive size-160.0GB Hard drive speed-5400.0RPM drive controllers-serial...
  15. Darius

    verify code kwa ajili ya ku-activate whatsapp accnt yangu

    jaman nime install whatsapp kwenye simu yangu., so kwenye ku-activate inaniambia ni put verify code, msaada ndo zp hzo verify code
  16. Darius

    msaada..!

    samsung duos C3312 ina-install whatsApp? kama yes.! naomba mwenye link anisaidie ili ni-download.,!
  17. Darius

    help plzz....!

    jaman naomba msaada nina samsung yangu Duos C3312 ..! je inaweza ika-install whatsApp ..! naomba link ni download if possible!!
  18. Darius

    New... ARDHI UNIVERSITY TUKUTANE HAPA....!

    Ukipenda paitee uclas...! Chuo kinafunguliwa tar 7/oct/2013 for first year orientation na tar 14/oct..! Kwa continous! yoyote anajua tarehe nyinine tofauti na hizo hapo juu
  19. Darius

    Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

    Me binafsi ARDHI UNIVERSITY- Bachelor of science in Building Economics(Quantity Surveying
  20. Darius

    Kwa wale mliochaguliwa NDANDA BOYS HIGH SCHOOL

    Shule ni nzuri ina huduma muhimu kama maji, hospital, walimu na umeme, coz imezungukwa na wamissionary wa shirika la benedictne, aisee nimegraduate pale 2013 na nimefaulu, so ila kuna sheria balaaa sababu mkuu wa shule anasimamia sheria balaa anaitwa Saimon Molega Mongate(double m)! KAMA UNA...
Back
Top Bottom