Search results

  1. music mimi

    Commonwealth na Chevening Scholarships: Naomba USHAURI, Nilikosa lastly

    Hakuna chuo kisichoitaji karatasi ya lugha ndio maana mwamba hapo maelezo mengi kachemka kutaja mkapige tu paper British council
  2. music mimi

    Commonwealth na Chevening Scholarships: Naomba USHAURI, Nilikosa lastly

    Kitufe iko unaweza tafuta course unayotaka ila huwezi pata info kuhusu IELTS au application fee. All in all vyuo vyote UK vinahitaji hiyo cheti ya lugha if didn't know now u know
  3. music mimi

    Nafasi ya kazi kusimamia apartments Arusha

    Jobless bongo lazima utubu 😅
  4. music mimi

    Commonwealth na Chevening Scholarships: Naomba USHAURI, Nilikosa lastly

    Naomba nitajie ivo vyuo without ielts vilivyo kwenye list of Chevening.
  5. music mimi

    Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

    Nilikuwa sijaingia umu siku nyingi. Naona watu wanasema mimi ni mganga nimekuja kufanya marketing 😂😂😂 Jamani mimi nimewasilisha nilichosikia mengine nimekuachia msomaji
  6. music mimi

    Wataalam wa bata ni wapi pa kujiachia weekend hii Dar es Salaam?

    Kk kula life achana na uyo malaya mchafu. Ana stress
  7. music mimi

    Taja mwiko, mila au desturi za kabila lenu au mahali ulipokulia

    Kwenye ukoo wetu 1. Mwiko kuoa mchaga 2. Mwiko kuzaa nje ya ndoa 3. Mwiko kuvuta bangi, waliovuta wote ni machizi sasa hivi
  8. music mimi

    Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

    Picha ya nini mkuu, mie sina sababu ya kuongopa. Ilaeulivyo shangaa na mm pia ilikuwa hivyo hivyo
  9. music mimi

    Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

    Najua huwezi amini ila nachokwambia ni uhalisia. Mamangu afe kesho kama nimedanganya, nilichokwambia ndio nilichokisikia ndio maana ile sauti bado naiskia toka saa 6 mchama nimeona hilo tukio. Hata mm nilibaki najiuiza inawezekana vipi
  10. music mimi

    Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

    Kuna ile tu mtu aonyeshe interest hata kama haumkubalii ila just kupata feedback kuwa watu wanaona nafaa...sasa kama kimya kabisa ni hali inayotisha. Mimi nilishindwa kumshauri kwa kuwa simjui na aliyekuwa anaongea nae ni kama mtaalam wa tiba na mambo ya kiroho so alikuwa anamwelezea ampe msaada
  11. music mimi

    Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

    Kwa kweli kuna watu wana changamoto aiseee. mtu anaweza vipi kuishi bila kuambiwa nakupenda.
  12. music mimi

    Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

    Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana. Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni " Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa" "Nikitaka...
  13. music mimi

    Vyuo Ulaya au America vinavyotoa certificate kwa ada nafuu

    Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc. Nataka nipambane nikasome majuu.
Back
Top Bottom