Search results

  1. Dreams LLC

    Ningekuwa kiongozi Afrika watu weupe/wanjano wangeshika adabu (waafrika wanavo baguliwa nchi za wazungu)

    umofia kwenu, Bara la Africa nadhani kweli bado tupo gizani,huwa sielewi kwanini wengi wa viongozi wetu huwa wanawakumbatia watu wa rangi tofauti na yetu,licha ya sisi kutendewa mambo ya ajabu na hawa watu tukiwa nchi zao.Sijui ni kuwa huwa tuna chagua na kuweka madarakani watu ambao hawana...
  2. Dreams LLC

    Pata smartphone yenye ubora stahiki

    pata simu original zenye warranty ya mwaka mmoja kwa special order.tuna ofisi kariakoo dar es salaam inayojihusisha na uuzaji wa simu.kupanua uwanja wa biashara sasa unaweza kuweka order na ukaagiziwa simu uitakayo na utaipata ndani ya siku zisizozidi nne. samsung s1-240000 samsung s2-270000...
  3. Dreams LLC

    Rastafari ndiyo harakati ya maisha iliyostaarabika zaidi

    habar wanajamvi. Rastafarian movement ni harakati ya maisha kama zilivyo harakati zingine. Hii harakati imechipuka miaka ya 1930's.ni harakati ambayo imelenga kumuinua mtu mweusi. Watu wa tamadun hii wanaamin katika biblia takatifu zaidi vitabu vya agano la kale, ingawa wanabiblia yao...
  4. Dreams LLC

    Kwa mahitaji ya simu

    Habar wananchi kupanua wigo wa biashara sasa unaweza ukaweka order ya simu aina yoyote kisha ukaletewa mzigo wako ndani ya siku nne.tuna ofisi mtaa wa aggrey dar es salaam.malipo unafanyia ofisini tu na sio vinginevyo
  5. Dreams LLC

    Tafadhali okoa jahazi hili

    solved
  6. Dreams LLC

    Saidia uelewa hapa nisaidie my village then

    salam zenu toka kwa wanasiasa
Back
Top Bottom