Search results

  1. frankgeneous

    Wanaume wapendeni wapenzi wenu wa kike

    Wao,kumbuka hayo hatakaposhindwa kukufikisha sikuzijazo
  2. frankgeneous

    Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

    mimi nimesema wakimuongezea muda atakuwa ametenda uhaini zidi ya Tanzania na atakuwa adui yangu since
  3. frankgeneous

    IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi

    yani Serikali imeshindwa kuendesha kabisa Uchumi wa nchi Hii na nahisi uchungu hasa vijana wengi wamekuwa mazombi kutwa kufurahia kiki na umbea wa vibamia sijui tunaenda wapi ,wachumi wanapika data .viongozi wanadanganya mchana kweupe yani !!!!
  4. frankgeneous

    Max Melo kajitolea kutulinda, sisi tumeshindwa kumlinda, lakini vifungu hivi vinawapa nguvu polisi

    He will be Out sisi White hacker tutakuwa incharge
  5. frankgeneous

    Nahitaji kujifunza U-DJ

    Please naomba kujua Ni wapi nitaweza kujifunza Kuwa DJ Wa music hasa club
  6. frankgeneous

    Ujasusi wa Kiuchumi na Kiteknolojia unakuwa kwa kasi, Je Tanzania iko tayari

    Maendeleo gelezea aka ujasusi Wa kiuchumi
  7. frankgeneous

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Nimekuwa ni msomaji zaidi kuliko mchangiaji kwa muda mrefu lakini nimekuwa nikishangaa sana watu wanapokuwa wanaongea vitu wasivyovielewa ama kwa ushabiki au kwa kutokuelewa. Mfano watu wameandika sana kuhusu uwezo wa Dr John Pombe Magufuli kuwa anafaa kuwa rais wa jamhuri ya muungano...
  8. frankgeneous

    Yaliyojiri : Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA Lowassa, Masasi 22/09/2015

    Nimekuwa ni msomaji zaidi kuliko mchangiaji kwa muda mrefu lakini nimekuwa nikishangaa sana watu wanapokuwa wanaongea vitu wasivyovielewa ama kwa ushabiki au kwa kutokuelewa. Mfano watu wameandika sana kuhusu uwezo wa Dr John Pombe Magufuli kuwa anafaa kuwa rais wa jamhuri ya muungano...
  9. frankgeneous

    Wanaoishabikia CCM

    kama kuna mwanafunzi alijiandikishiaga chuoni na wakati wa kupiga kura atakuwa kwao aende kwa mkurugenzi au ofisi ya kata/wilaya wambadilishie taarifa zake ili aweze kupiga kura sehemu aliyopo:- sambaza ujumbe huu kwa wanafunzi wa chuo na rafiki zako kwenye magroup. Wakati wa mabadiliko ni sasa
  10. frankgeneous

    Kilichojiri ujio wa Edward Lowassa jimbo la Bukoba Mjini viwanja vya Gymkhana

    Dar es salaaaaaaaam Mpo tyariiiiiiiiiih LOWASAAAAAAAAAH Live in dar Ni cku ya jumapil Tar 20/9/2015 Katika viwanja vya KIGAMBONIII Saa9:00 asbuh mpka Saa12:00 mchana MBAGALAAAAAH Zackem Saa1:00 mchana mpk Saa3:00 Alasiri UKONGAAAAAH[pugu] Saa3:30 Alasiri mpk Saa6:00 jion Patakuwa Hapatoshiih...
  11. frankgeneous

    Barua ya wazi kwa Bw. James Mbatia

    Viva lowasa
  12. frankgeneous

    Nimeshangazwa na mengi lakini Kinana kavunja Rekodi

    Ona ratiba yangu ya oktoba 25 1. Naamka mapema sana 2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira 3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne 4.naangalia picha ya mwangosi 5.nakunywa tena juice ya ukwaju 6.nachukua kikatio 7.nachukua bic mbili mpya(tested kabsa) 8.naelekea...
  13. frankgeneous

    Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Jamani hali ni mbaya sana ccm...kwa mujibu wa kikao cha usalama ndani ya ccm kilichokaa jana kidogo kivunjike kutokana na watu kulaumiana na wengine kushikana mashati...baada ya ripot kutoka kuwa kwa miujibu wa takwimu uchaguzi ukifanyika leo lowassa lazima ashinde kwa asilimia 70 huku magufuli...
  14. frankgeneous

    Maelfu ya wanachama wa CHADEMA wampokea Dr. Magufuli na kujiunga na CCM

    Jamani hali ni mbaya sana ccm...kwa mujibu wa kikao cha usalama ndani ya ccm kilichokaa jana kidogo kivunjike kutokana na watu kulaumiana na wengine kushikana mashati...baada ya ripot kutoka kuwa kwa miujibu wa takwimu uchaguzi ukifanyika leo lowassa lazima ashinde kwa asilimia 70 huku magufuli...
  15. frankgeneous

    Updates: Mikutano ya Lowassa mkoa wa Dar Es Salaam - Tarehe 7 Septemba, 2015

    🗿NIMEJARIBU KUFUATILIA KWA UKARIBU MIKUTANO YA CCM, NIMEGUNDUA WANA VIPAUMBELE VINNE 1. LOWASSA 2. SUMAYE 3. UKAWA 4. BARABARA 🗿Nadhani mwaka huu hawajajipanga kwa Sera zaidi ya kuwa waratibu wa Fiesta ktk mwonekano tofauti, tuwape muda, labda 2020 watakuja na tunayoyataka...
Back
Top Bottom