Search results

  1. E

    Mwenye kuoka na kupamba cakes Iringa

    By the way naomba namba yako if u don mind
  2. E

    Mwenye kuoka na kupamba cakes Iringa

    Thanx for your concern, ikitokea nimekuja nitakutafuta.
  3. E

    Mwenye kuoka na kupamba cakes Iringa

    Hbr!natafuta mwny kujishughulisha na biashara ya baking esp cakes ili anisaidie kuongeza taaluma ktk hilo hata kwa malipo.Ani-pm au # yangu 0652-753759.Pls help
  4. E

    Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

    Jerrytz ni wapenzi kwani hata ktk tuyafanyayo ni ya wapenzi kasoro hilo la kitandani tu.Nahic usipompa ndo atajenga eagerness ya kuwa mke ili aone pia yaliyomo,na pia ataniona nna msimamo na nnafuata andiko la biblia ipasavyo.
  5. E

    Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

    Omurwanga badooo cjampa,anakuja kunitembelea Ijum na tutoke kdg sasa ndo najipanga kumpa au lah
  6. E

    Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

    Watu8 kazi ninayo ndio na naifanya ktk uchambuzi wa ushauri wenu.Yap am grown up enough na naamini nitafikia kuamua moja.Nitawashirikisha km mtapenda
  7. E

    Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

    Abou sasa mbona unanichanganya mara msinyimane ili kuwa na ulinzi, mara nisimpe nitalizwa.Sasa which z which kakaa?
  8. E

    Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

    Ndo hicho ninachowaza icje ikawa km waliopita.Am not virgin but nimefikia muda I just want kuingia kwny really committment.
  9. E

    Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

    Habari wana Jamii Forums. Tayari nipo kwenye mahusiano na kijana ambaye tunaonyesha dhamira za kupendana sana.Japo tulikuwa katika mahusiano kama miez 6 kwanza ya urafiki wa kawaida tu.Hatimaye tumeanza ya ukaribu zaidi miezi miwili iliyopita.Ananishauri mawazo mazuri, na tupo kwenye harakati...
  10. E

    Inawahusu zaidi wanawake

    Burtons mi hoi hapa kila nikirudia kuisoma hiyo topic yake,nafkr unaelewa ninachocheka.I wish angetupia na picha yake ili tucheke zaidi.Some ppo are born to others happy,its a talent!
  11. E

    Usipoolewa kuendesha hizi gari ni ndoto

    Wewe unaendesha nini,umeoa au umeolewa?duh weka post za akili bwana!
  12. E

    Inawahusu zaidi wanawake

    Is it 28 yrs old au nimeona vby ni 08???
  13. E

    Nahisi ananipenda na mimi nampenda sana ila bado hajanitamkia,nimtamkie mimi?

    Ni kweli cwez kwnd kwake kumpikia wala kufua mwenzenu,labda nitumie hz za kumpelekea vitu km bites au nitengeneze natural juice etc. Je nikiwa namtext msgs za Missing u n.k je napo atanielewa vby?
Back
Top Bottom