Search results

  1. J

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Uko sahihi kabisa
  2. J

    Tusiwe wepesi kulaumu na kujaji

    Unataka kuniambia huelewi ninachosema hapo juu dhidi ya viongozi wetu wezi ndani ya Serikali?
  3. J

    Wanaume muna roho mbaya ndio maana mnakufa mapema

    Kabla ya kuoa mwanamke inabidi umpime kwanza no matter how long it takes ila uwe tu na malengo naye ya kumuoa na bahati mbaya kama anawahi kuchakaa kabla ya muda uliopanga kumuoa si vibaya ukamuacha kwani kuna wanawake wengine ni mizigo tu na hawafai kuwaoa
  4. J

    Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Hapa ni kama unapiga gita kwenye maji maana hapa Bongo hakuna mapenzi japo tunajitahidi kuiga lakini wapi, kazi bure tu. Si wanawake wala wanaume wote ni mahenga wa kuruka njia na kusalitiana na bahati mbaya siku hizi wanawake ndiyo wanaongoza kusaliti mahusiano yao.
  5. J

    Ujanja mpya umeibuka wa kutapeli wanawake hela kwa kutumia dating page za Instagram

    Desperation ya wanawake wanaotaka kuolewa ndiyo inawaweka mjini hawa watu
  6. J

    Tuambizane ndugu zangu uliishije na mwanamke mbishi na mjuaji?

    Sikuweza ishi naye, nilishampiga chini
  7. J

    Nini kirefu cha herufi ya kati herufi G kwenye jina la Gadner G Habash?

    Gangwe Iła mwanae anasema ni Gongo la Mboto
  8. J

    Ukipewa nafasi ya kuwa Kiongozi kwa siku moja ni kitu gani utabadilisha cha kwanza?

    Kukamata na kunyonga viongozi wote waliopita na hawa walio madarakani hivi sasa kuliibia taifa
  9. J

    Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi

    Serikali ya Msumbiji inabidi imuue tu huyu gaidi kwani lengo lake yeye ilikuwa ni kuua na kujilipua ili akienda motoni akapewe majini 72 aliodanganywa kupewa.
  10. J

    Jirani kanikwaza sana kajenga fensi

    Amekuwekea fensi kwa sababu ameona hauna jambo la maana la kuongea. Naunga mkono maamuzi yake✊
  11. J

    Tusiwe wepesi kulaumu na kujaji

    Huu ni ujinga, sielewi kwanini tunapiga na kuua watu wasio wezi wakati mawaziri na makatibu wakuu wapo wanatuibia tu na tunawaacha salama.
  12. J

    Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Tatizo la Waislam ni hili tu, kutotaka kukubali ukweli juu ya Muddy.......mlidanganywa sana kuhusu Muddy kuwa mwema na sasa mnaona ukweli wake ulivo mchungu, kwa habit mnaibua hoja za uwongo kupotosha wenzenu. Hiyo haya uliyoweka hapo juu ni wakati shetani anamuomba Muddy kuwa mshikaji wake na...
  13. J

    Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Sidhani na siamini hivyo kwani Mungu wangu mimi ni "Omnipresent."
  14. J

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Mimi nakunywa konyagi huu mwaka wa 30 sasa na kila mwaka napima afya yangu, sijawahi ambiwa na Dr. kuwa maini yangu yameungua. Hao waliounguza maini yao sijuwi wanakunywa kinywaji gani?
  15. J

    Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Sijawahi kuzichukia hizi nchi maana sina sababu
  16. J

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Ulishawahi kunywa konyagi na kuunguza maini yako?
  17. J

    Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Mungu wangu mimi kajiumba, bado sijakuelewa
  18. J

    Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Mbona Yesu hajawahi kushawishiwa na shetani, ila shetani alimshawishi Muddy na kumpa kichaa kisha kumpa Qur'an ili amuabudu yeye na majini aliyempa.
  19. J

    Lindi Tanzania

    Bado sielewi, unataka kumaanisha nini?
Back
Top Bottom