Search results

  1. Gazillionaire

    Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    Huyo Mzinzi unaedai umemweka magogoni ni nani? Wewe huwa unamshuhudia vipi mpaka useme ni Mzinzi? Acha kupotosha watu kwa hoja dhaifu za vijiweni.
  2. Gazillionaire

    Camp site for sale at Rombo mashati

    Ni umbali gani kutoka katika kivutio chochote cha kitalii? Hivyo vibanda ni self contained au kuna public toilet and bathrooms? Kuna facilities gani nyingine kwa ajili ya kuhudumia wageni, mf: majiko, dinning hall, n.k ambazo zinaweza kumpatia mtu mwanga zaidi juu ya eneo? Rates za kulala kwa...
  3. Gazillionaire

    Mbao za Mnazi zinauzwa

    Zinatumika kama mbao za kawaida ila zinafaa zaidi kwa fenicha za nakshi, milango ya mapambo na zina sifa ya kuwa imara kuliko mbao za kawaida. Kama ukitembelea Bagamoyo au Zanzibar, utaona kuna baadhi ya majengo yana milango ya mbao za mnazi yenye miaka zaidi ya 100.
  4. Gazillionaire

    Mbao za Mnazi zinauzwa

    Zina urefu wa futi 12 na mnazi umekomaa
  5. Gazillionaire

    Mbao za Mnazi zinauzwa

    Kwa alie na uhitaji wa mbao za mnazi za size mbalimbali kama: 2x2= sh.3000 2x4= sh.6000 2x8=sh. 10,000 Ziko Kigamboni Tungi, mwenye kuhitaji karibu PM.
  6. Gazillionaire

    Nyumba zinapangishwa Kigamboni

    Feni! Happy now?
  7. Gazillionaire

    Eneo la heka 10 mita 50 kutoka chuo cha S.T. Augustine Vikindu Linauzwa

    Hayo nakubali, yalikuwa ni makosa ya mmiliki. Hili nimeconfirm na mita 50 ndivyo ilivyo, nilikuwa huko juzi na hata jana.
  8. Gazillionaire

    Eneo la heka 10 mita 50 kutoka chuo cha S.T. Augustine Vikindu Linauzwa

    Vikindu ni Mkoa wa pwani, njia ya kusini mbele ya Mbagala Kongowe
  9. Gazillionaire

    Kiwanja kinahitajika

    Njoo fancity square meters 1200, kina offer Million 15
  10. Gazillionaire

    Nahitaji Kiwanja haraka Kibada au Kisota-Kigamboni

    Tuangoma kuna square meters 1200 zenye title deed mita 800 kutoka kwenye lami, bei milioni 25.
  11. Gazillionaire

    Nahitaji Kiwanja haraka Kibada au Kisota-Kigamboni

    Naelewa hilo ila vyenye status hiyo viko vingi na sio huko tu, ninavyo vingine viko Mwasonga navyo viko kwenye status ya offer, kwa hiyo usidhani kuwa ni jambo la ajabu saana.
  12. Gazillionaire

    Nahitaji Kiwanja haraka Kibada au Kisota-Kigamboni

    Ndio vyote vina offer na hicho cha milioni 18 kina Title Deed.
  13. Gazillionaire

    Nauza kiwanja chenye hati miliki

    Kwanini uzungumze sana mkuu, kwani wengine hatuna wateja pia, usiingilie biashara za watu? Inawezekana huyu jamaa yuko well connected na ana uhakika na kile anachokifanya ndio maana akasema "hahitaji dalali hata kidogo". Kuuza atauza tu, si unaona anavyoshuka? Akifika kwenye viwango vya...
  14. Gazillionaire

    Nahitaji Kiwanja haraka Kibada au Kisota-Kigamboni

    Ninavyo fancity na kwa Pinda, ukubwa unaanzia square meter 900 hadi 1400, bei inaanzia milioni 10 hadi 18.
  15. Gazillionaire

    Nahitaji Kiwanja haraka Kibada au Kisota-Kigamboni

    Mkuu kwa hiyo budget, huwezi kupata Kiwanja Kisota au Kibada kilichopimwa kwa namna yoyote. Sikukatishi tamaa ila kwa sasa hizo ni Prime areas, ninacho Kisota cha square meters 1900 kinachouzwa kwa Milioni 250 negotiable. Na hata kisichopimwa unaweza kujikuta umepata eneo la mradi. Kama...
  16. Gazillionaire

    Natafuta nyumba Dar, 2 bedrooms, bajeti yangu ni 200- 250 Maximum

    Zipo Kigamboni, moja 200,000 ya pili 250,000. Ni PM
  17. Gazillionaire

    Nyumba zinapangishwa Kigamboni

    Ziko Tungi na Kisota, Umbali wa kama KM 4 na 4.5 kutoka feri. Nyumba ya kwanza ina vyumba 4 kimojawapo kikiwa ni Self contained, masterbedroom, Sebule, Dining, public toilet na jiko. Ina tiles na Mapangaboi ndani, maji na umeme vipo na ina parking space ya magari 3 au 4. Kodi yake ni laki 3...
Back
Top Bottom